Search results

  1. Kahtan Ahmed

    Pesa ya mkulima wa ufuta kimya

    Do world wageni
  2. Kahtan Ahmed

    Pesa ya mkulima wa ufuta kimya

    Leo tarehe 26 June 2023 tayar baadhi ya mishahara ya watumishi imeshaanza kumiminika. Ila mkulima wa ufuta aliepeleka mazao ghalani tangia mwezi uliopita kwa mtwara na Lindi hawajaingiziwa pesa zao. Imempasa mkulima kuuza ufuta wake Kwa cash kwa walanguzi. Mkulima wa ufuta inabidi akope ili...
  3. Kahtan Ahmed

    Je, tuna uhakika kuwa Usalama wa Taifa ni Wazalendo?

    kwamba wewe ni sniper [emoji3]
  4. Kahtan Ahmed

    Je, tuna uhakika kuwa Usalama wa Taifa ni Wazalendo?

    sio kweli wapo watu ambao wana uchungu na hali ilivyo, Ni wazalendo, kama wapo wanaolia sababu simba na yanga kufungwa watakosaje Watakaolia kwa Tanzania kuumia?
  5. Kahtan Ahmed

    Je, tuna uhakika kuwa Usalama wa Taifa ni Wazalendo?

    sawa wasiseme haya yanayotokea wao hayawahusu hawayaoni? mfano mdogo ripoti ya cag makosa yanafanyika kwa kiasi kikubwa wao wapo wapi? Great thinkers wanazidiwa akili kuibiwa wazi wazi
  6. Kahtan Ahmed

    Je, tuna uhakika kuwa Usalama wa Taifa ni Wazalendo?

    sio usalama ni mwandishi njaa
  7. Kahtan Ahmed

    Je, tuna uhakika kuwa Usalama wa Taifa ni Wazalendo?

    0762987034 na anifate anaetaka
  8. Kahtan Ahmed

    Je, tuna uhakika kuwa Usalama wa Taifa ni Wazalendo?

    Tatizo sio kila mmoja anaweza kula chumo la haram, bora nikose niongee kuliko kula isiokua haki yangu
  9. Kahtan Ahmed

    Je, tuna uhakika kuwa Usalama wa Taifa ni Wazalendo?

    Kuna mambo nafikiria ikiwa kweli usalama wa Taifa ni wazalaendo wa Tanzania. Je Usalama wa Taifa hawawezi kudhibiti ufisadi unaofanyika? au na wao wanashiriki? Je usalama wa taifa hawawezi kuithibiti serikali ikiwa inakwenda kinyume na maadili ya kazi yake au wao ndio serikali Je usalama wa...
  10. Kahtan Ahmed

    Vyombo vya habari Vinaogopa au Vinalishwa

    Najiuliza kwanini vyombo vya habari vya Tanzania vinashindwa kuripoti na kufichua uovu wa Serikali ya Tanzania Kuna Matatizo mengi kama Umeme, Maji, Usalama wa Raia, Huduma mbovu ya Fya, Mfumo mbovu wa elimu, Ufisadi kwanini hawayasemi na kutakemea inamaana hayapo? Ni dhahiri kua wanaogopa...
  11. Kahtan Ahmed

    Serikali imeshindwa kuendesha TANESCO

    bora ninunue unit moja kwa sh 1000 kuliko kukosa umeme kutikana na shughuli zangu za kiuchumi
  12. Kahtan Ahmed

    Serikali imeshindwa kuendesha TANESCO

    unafkiri ikibinafsishwa kuna atakae baki kwenye uongozi wa tanesco? [emoji1787]
  13. Kahtan Ahmed

    Serikali imeshindwa kuendesha TANESCO

    hahaha sawa nimekubali kusahihishwa sababu si wasukuma wote ni sukuma gang
  14. Kahtan Ahmed

    Serikali imeshindwa kuendesha TANESCO

    usukuma kusema ukweli wa hali halisi ya Tatizo la umeme, nadhani ww ndio msoga gang
  15. Kahtan Ahmed

    Serikali imeshindwa kuendesha TANESCO

    kila sikua hali mdio hii
  16. Kahtan Ahmed

    Serikali imeshindwa kuendesha TANESCO

    allah pekee ndio namuogopa ila yeye namuheshimu tu
  17. Kahtan Ahmed

    Serikali imeshindwa kuendesha TANESCO

    kiukweli bimkubwa anamuogopa sana january makamba
  18. Kahtan Ahmed

    Serikali imeshindwa kuendesha TANESCO

    mimi naishi mtwara masasi kwa siku moja umeme lazima ukatwe zaidi ya mara nane mfano mpira wa leo ilibidi nisikilize kwemye redio wakati ulikua unaoneshwa live, naongea na ww hapa umeme umezimwa tena
  19. Kahtan Ahmed

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kiukweli Tansco imewashinda ia kuitoa kuwapa wawekezaji ni dhambi kwao sijui tunakwama wapi
Back
Top Bottom