Nyumba na kiwanja vyauzwa Bunju B Sokoni 80m/=.
Kina title deed, 890 Square Meters, master, vyumba 3 vya kwaida, public toilet, garage, karibu na soko na barabara kuu ya Bagamoyo.
Bunju
Mzee Jaros
0754826668
0712168055
Safi sana. Naongezea tu. Wale wanaotaka kufanya hizi kazi wasidhani ni lelemama. Hakuna kitu rahisi. Yabidi ujuwe ku operate hiyo laptop au pc kwa spidi kidogo. Malipo yaweza kuwa kidogo kidogo kama vile wadunduliza. Nami natuma link...
Nakubaliana nawe 110%. Huku mjini wanajifanya hawana muda. Wakuta mtu anakimbiza upepo wakati boma yake imejaa majani ndago na si ajabu hata ka bustani hana! Wao wanaona heri wamuajiri mtu afanye shughuli za nje ya nyumba na ndani. Hata kuosha magari yao ni shida. Hata ukiwashauri hizo shughuli...
Swali tatanishi sana, ni kama jirani yangu BunjuB, ana bonge la ghorofa huku na lingine Znz, mke yupo Dom Mme Znz, mtoto mmoja na keshaondoka home anajitegemea...
Wana Hayo magari na nini...
Nafikiri swala ni choice na uwezo, I am not the one to judge matumizi ya mtu aliyejitafutia mwenyewe na...
Pascal Mayalla anatumia fursa yake iliyopo kwenye katiba yetu, akivunja sheria atashughulikiwa kama wengine, tukumbuke demokrasia lazima iwepo pande zote ya kusema utakacho bila kuvunja sheria...
Hana kosa lolote...
Lea tu mwenyewe, dereva wa bajaj yuko sawa kwa kusema ukweli, mambo yakikaa vyema kwake mtasaidiana, ila ujuwe mzigo ni wako, na si mchezo mchezo jiandae kisawasawa kabisa....
Tatizo ni watu kupenda kuhemea vya watu kwa kutokutaka kufanya kazi na kuwa na sehemu zao za kuishi. Kupenda vya bure mpaka wanaishia majungu fitina na umbeya.
Yote yanasababishwa na uvivu wa kazi uliopitiliza na uvivu wa kufikiri. Typical Tanzanians...kama alivyosema JPM...na asiyefanya kazi...
Sawa. Ila kwa sasa tuna janga la mvua. Mitaro kujaa, barabara mbovu, uchafu kutokukusanywa, yasiyoeleweka coco beach, foleni, EBU AJITAHIDI NA HAYO KWANZA, kusalimiana kupigana ngwala na nini siyo kipaumbele kwetu kwa sasa..
Yah. Figures hasa za mapato zinatamanisha. Ila muhimu naona uni pm uandike cost za kununuwa vitu vya kazi. Kurent eneo. Wafanyakazi wangapi na malipo yao kama nawe utaingiza hela ili nijuwe mgawanyo wa mapato.
Kifupi andika cost zote na income. Tengeneza kama ka spreadsheet hivi kidogo.
Halafu...
Hatupendi kulisema hili. Haipendezi kusema. Hakuna mwanamke atakayekubali hii mada. Ila ni ukweli usiopingika. Na ndiyo maana hawapendani hata kidogo. Tumeshuhudia...na watakuwa hivyo milele..wanaume tukubali hili ama sivyo tusioe au kutembea nawo..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.