Search results

  1. M

    Mdahalo wa Muungano na Tanzania Tunayoitaka 'The Tanzania We Want'

    Kabisa yule mzee wangemchukua kwa maana alisema"ZANZIBAR NDOGO LLAKINI WAKUBWA WA MAMBO"lakini Tundu Lisu sio saozi yake!
  2. M

    Mdahalo wa Muungano na Tanzania Tunayoitaka 'The Tanzania We Want'

    Wewe!Tundu Lisu peke yake mmoja anawatosha hao,tena wangekua kumi na sio wawili hatujawatendea haki kuwapelekea Tundu lisu.we subili tu.
  3. M

    Mdahalo wa Muungano na Tanzania Tunayoitaka 'The Tanzania We Want'

    Ebwana da!itakuwa poa sana maana kama na tundu lisu atakwepo i wish hoja zitasimama,tunausubiri kwa hanu kubwa tuone na tusikilize.
  4. M

    Rais J.K hateui wakuu wa Mikoa na Wilaya, kulikoni?

    Mbona maisha yanakwenda vizuri bila hao wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya!ILI KUBANA MATUMIZI KTK KIPINDI HIKI KIGUMU NI VYEMA ANGEWAPUNGUZA KABISAA,kwani kuna WAKURUGENZI,MAAFISA TAWALA na WABUNGE wanatosha kuhamasisha maendeleo ktk mikoa na wilaya,ktk kipindi kama hiki serikali inakabiliwa na...
  5. M

    Muafaka CCM, CHADEMA waiva

    Itapendeza sana kama watafika mwafaka bila MTAFARUKU,nina imani kubwa na hiyo timu ya chadema ikiongozwa na KAMANDA SLAA,kitaeleweka tu!
  6. M

    Maalim seif kuzindua kampeni za CUF igunga.

    Cuf kwani bado wana matumaini huku bara?acha aende igunga kuitafuta aibu,maana mwaka jana profesa lipumba aliona alichokipata,pamoja nakuwa anatokea huko lakini alipata kula ndogo sana,sembuse maalimu seif.kwanza atumtambui huku bara.
  7. M

    Kamati ya uchunguzi wa Jairo hii hapa

    Mh!sizani kama watakuta lolote kwa jairo.kama awali alisafishwa,na sasa wanataka kumchunguza sioni kama kuna ma ntiki yoyote,alikua wa kumpeleka mahala husika kujibu tuhuma mizinguo tu wanayotulea kama alivyosema JAIRO kuwa ni ZE COMEDY.
  8. M

    Col. Muammar Gaddafi akimbilia Zimbabwe!

    Du!atakuwa kapagawa,anaenda kwa kipusa mwenzie akafarijiwe!kaibaka democracy vya kutosha acha apate marupurupu ya upuuzi wake,kwa kuwa ameyataka walimwambia aondoke ye anang`ang`ania.Hakuona yaliyompata mwenzie MBARAKI wa Misri.nggoja tuone mwisho itakuaje.sijui watamfanya kama SADAM au...
  9. M

    Ni jairo au mfumo?

    Asilimia 100%ni mfumo.ila MCHAKATO WA KATIBA MPYA itaaakuwa ndio mwisho wa mfumo huu.
  10. M

    David Jairo wa IKULU

    Hemu tuone matokeo ya mbeleni!
  11. M

    Leo Bunge linaahirishwa, una maoni gani?

    Wasimamie masrai taifa zaidi kuliko uchama.
Back
Top Bottom