Search results

  1. yuppie boy

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Good for us kwa kupunguziwa competition ambazo sio size yetu now its time to focus kwa makombe ya maana
  2. yuppie boy

    Egyptian billionaire: I found the island I want to buy for refugees

    Mkuu hivi kwa sasa Greece kuna raha?
  3. yuppie boy

    Series (Special thread)

    Season zipo kumi, kuhusu kuipata itafute torrent au ntakuwekea link later http://projectfreetv.so/free/smallville/
  4. yuppie boy

    Morogoro: Magufuli - Elimu Bure kuanzia Msingi hadi Kidato cha Nne; Makamba awavaa Lowassa, Sumaye

    hahaha kuna ule usemi wanasema mabogus wakiwa wengi wewe ambae sio bogus uko hatarini
  5. yuppie boy

    Utabiri juu ya Arsenal kuchukua ubingwa wa EPL

    That's true broh wenger akifanya hizo sajili tutakuwa na nafasi nzuri ya kuchukua EPL kufika mbali UCL na kutetea kombe letu la FA
  6. yuppie boy

    SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

    Nlichokinote kwenye hiyo series anything is possible yeyote anaweza kufa ANY moment
  7. yuppie boy

    Wapi naweza kudownload movie zisizo na size kubwa

    Mp4HDMovies.org - Bollywood Movies,Hollywood Movies,Hollywood Hindi Dubbed Movies,South Hindi Dubbed Movies in Mp4,Mkv,Avi,HD Mp4,High Quality Mp4 For Mobile,Android,PC,Laptops or Tablets
  8. yuppie boy

    UC Browser for Windows

    Ngoja nishushe huo mziigo niliusubiria kwa muda mrefu
  9. yuppie boy

    Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    Dowload latest uc web browser inadownload video yoyote utakayoplay
  10. yuppie boy

    Anayolalamikia Reginald Mengi kama ni kweli, tunaelekea kwenye udikteta usiomithilika

    I can see now tunaelekea kuwa North Korea mdogo mdogo
  11. yuppie boy

    Marekani yabuni risasi yenye uwezo wa kumfuata mlengwa bila kukwepa

    Du sasa wanaanza kuconvert fiction into reality, sio mchezo
  12. yuppie boy

    EA SPORTS vs KONAMI VIDEO GAMES SPECIAL THREAD (KENYA)

    NFS cjaiona BTW EA sport wako vizuri sana kwenye games za sports kucompare na konami, EA sport to the game
  13. yuppie boy

    Simu enzi hizo: Njoo tukumbushane tulipotoka

    mb 8 naposurf internet na hiyo simu inatosheleza kabisa kucompare na hizo simu nyingine ambazo mb 8 inaisha kwa kufungua page tu ya site so ninapokuwa sina matumizi makubwa ya net natumiaga hiyo simu
  14. yuppie boy

    Simu enzi hizo: Njoo tukumbushane tulipotoka

    Dah umenikumbusha mbali nmetumia simu nyingi sana za kichina included but nlizokubali ni hizi n6030b - maujanja yangu ya internet kwa asiimia kubwa yalitokea humu hii ilipotea, n3600 slide - 1 of my favorite hii rafiki yangu nliyemuazima alitapeliwa na watoto wa mjini buguruni last year...
  15. yuppie boy

    How the new Cyber Law will land you in Jail...

    Exactly mkuu information sources zote kwa hiyo sheria yao ziko hatarini
  16. yuppie boy

    Iran iko tayari kwa vita na Marekani, Israel

    Somehow it can be true
  17. yuppie boy

    Iran iko tayari kwa vita na Marekani, Israel

    Samahani mkuu, February kwa kiswahili ni mwezi wa pili hiyo thread ilipostiwa tarehe 13/2/2014 last year(mwaka jana) sio recently kama unavyodhani
  18. yuppie boy

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    hiyo hapo na yenyewe iko vizuri japokuwa haina drama nyingi http://sensen.tv/
  19. yuppie boy

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    tafuta the masters sun na yenyewe iko vizuri bila kusahau the heirs
Back
Top Bottom