Search results

  1. kupelwa

    Kwanini awamu hii umeme unakatika sana?

    Waziri wa nishati anafahamiana na rais,hawezi ulizwa kitu walikuwa wizara moja mika ya nyuma
  2. kupelwa

    Msimvimbisheni kichwa Mwingira, hana uwezo wa kupambana na Serikali

    Acha kusifia uovu,pensa mema ndugu yangu Wakolosai 3 8 Lakini sasa yawekeni mbali nanyi haya yote, hasira, na ghadhabu, na uovu, na matukano, na matusi vinywani mwenu. 1 Petro 2 1 Basi, wekeni mbali uovu wote na hila yote, na unafiki na husuda na masingizio yote. 12 Mwe na mwenendo mzuri kati...
  3. kupelwa

    Msimvimbisheni kichwa Mwingira, hana uwezo wa kupambana na Serikali

    Najua wewe unazungumza bila kujua haki ya kuishi na maisha kwa ujumla.ulipo sidhani kama hata hiyo 10 milion unayo. Mwingira kachomewa mali ya 10 bilion ,ulitaka aunamaze?katishiwa kuuawa ulitaka anyamaze,anaona aliyefichua anauliwa yeye akae kimya,vipi wewe? Inawezekana serikali ikaanza...
  4. kupelwa

    Daraja la Tanzanite upotevu mkubwa wa pesa ambazo zingetumika kuimarisha sekta ya afya tungeokoa maisha ya akina mama wengi vijijini

    Wao hawaji na proposal,wewe ndiye unaandika proposal nn kifanyike,ni jukumu lako kuwaelekeza wawekeze wapi kwenye kipaumbele ili kusaidia nchi yetu,si kweli wao ndiyo walioshinikiza sema ss yuliomba daraja la hivyo nao wakalibali
  5. kupelwa

    Daraja la Tanzanite upotevu mkubwa wa pesa ambazo zingetumika kuimarisha sekta ya afya tungeokoa maisha ya akina mama wengi vijijini

    Uchambuzi wako si sahihi,uwekwzaji wa kijamii,vyema ukafanyika kwa matinki ya kioaumbele kusaidia walio wengi nankuonua uchumi kwa walio wengi ili kuondoa umasikini. Kusema tusiwekeze hiyo si hoja ya busara. Tujikite kuisaidia nchi kwa mawazo chanya yenye busara kwa nyanja mbalimbali ikiwemo...
  6. kupelwa

    Daraja la Tanzanite upotevu mkubwa wa pesa ambazo zingetumika kuimarisha sekta ya afya tungeokoa maisha ya akina mama wengi vijijini

    Hoja si kuwepo,maana ni mali ya watanzania wote,hoja yake kuwa kama taifa changa,vyema kuzingatia vipaumbele vya miradi ya kipaumbele ya walio wengi kwanza badala ya kuwana uoendeleo kimatabaka. Tanzania yetu usambazaji maji ni 20% tu na hi ipo mijini vijijini hakuna maji,sababu bajeti yetu ni...
  7. kupelwa

    Treni ya Moshi yaongezewa mabehewa, yasafirisha abiria 1500 kwa safari moja ya Moshi - Arusha!

    Hata hivyo wajibu wake si kusigiwa bali kuwatumikia watanzania kuwa na maisha bora,alichofanya ndo mamlaka yake na wajibu wake aliouapa kuomba kuaminiwa kusaidia watanzania
  8. kupelwa

    Treni ya Moshi yaongezewa mabehewa, yasafirisha abiria 1500 kwa safari moja ya Moshi - Arusha!

    Ukifanya jema ,pia usikasirike kuambiwa makosa yako kufanya jema ni wajibu kimadaraka na katiba ,na pia kusemwa na kuwajibishwa na mamlaka hiyohiyo inaelekeza hivyo maana madaraka na mamlaka ni yaumma japo watawala sikuzote wai kusemwa hapana
  9. kupelwa

    CHADEMA kama nyie ni watu wema mje mkanushe maneno haya ya Mh. Mbowe

    Kabisa nataka kujua kafanikiwa namna gani
  10. kupelwa

    CHADEMA kama nyie ni watu wema mje mkanushe maneno haya ya Mh. Mbowe

    Propagada huwa kuna video,mahita igp mstaafu ailiambiwa na watawala aseme propaganda hiyo,ikawa ya wakati huo na ikapita, Henry kileo naye alikuwa na keai ya ugaidi Tabora imetungwa na akina mwigulu chemba ucjaguzi wa igunga,nayo ilikosa ushahidi ifafutwa ya Rwakatare enzi hiyo akiwa mkurugenzi...
  11. kupelwa

    CHADEMA kama nyie ni watu wema mje mkanushe maneno haya ya Mh. Mbowe

    Bila viongozi wa chadema mm naweza kukujibu,swali hayo yaliyotajwa yalifanyika? Acha propaganda dhaifu hata IGP mmoja simtaji kwa sasa ni nsitaafy naye aliitaja CUF imeingiza makitena ya mapaga na majambia kufanya fujo,ulipofanyika uchunguzi hakukuwepi majambia mpka leo ilibakia hadhithi. Hizo...
  12. kupelwa

    Msijidanganye, hata tukipata Katiba Mpya CHADEMA haiwezi kukamata Dola

    Vijana awa lumumba hawaelewi kutenganisha propaganda na masilahi ya nchi,katiba si sula la vhama vha siasa ni sula kitafa kama mwongozi wa kila mwananchi na ustawi wake. Sasa vijana wa lumumba kwa elimu ndogo ya propaganda ni kukuruuka tu kishabiki,ukiongelea masula ya kitafa punguza...
  13. kupelwa

    Uchaguzi 2020 Kufuatia kauli ya Polepole ya kuwa CHADEMA walichapisha kura bandia ili kuchafua uchaguzi, CCM tunawataka mfungue kesi kuwashtaki CHADEMA

    Mwenye dhamana ya kuchukua uhaki na uhuru wa kusimamia uchaguzi upo mikononi mwa chombo gani? Ni NEC siyo? isipo tekeleza wajibu wake kikatiba ulitarajia watu waipongeze?vyama vya upinzani vilitekeza wajibu wao kuihabarisha njama zilizokuwepi, lakini haikuchukua hatua,mayokeo yake nayo ikawa...
  14. kupelwa

    Uchaguzi 2020 Kufuatia kauli ya Polepole ya kuwa CHADEMA walichapisha kura bandia ili kuchafua uchaguzi, CCM tunawataka mfungue kesi kuwashtaki CHADEMA

    Hakuna propaganda ni ukweli, inawezekqna vipi wapiga kura walijitokesa waka50000,kura za mbinge 35000 anayemfuatia kura 11000 ila kura A rais alizopigiwa zinakuwa 192000 zinatoka wapi? Hakuna propaganda ni wizi wa kitoto na bahati mbaya sana mahesabu yaliwachega hawakuwa wanaangaliq japo ni...
  15. kupelwa

    Magufuli na ndege, siri nyuma ya pazia?

    Anajenga kivipi?uchumi soma takwimu zilivyoporomoka
  16. kupelwa

    Yaliyojiri: Mapokezi ya Tundu Lissu Jijini Arusha - Ijumaa 14 Agosti, 2020

    Toa sabqbu tano kivipi hauziki?
  17. kupelwa

    Uchaguzi 2020 Vicent Mashinji achukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM

    Lake mwenyewe, kashindwa kujenga kanisa mika karibu 10 yeye ana ndege na helikopita ila kanisa hapana,na watu bado wanatia sadaka
  18. kupelwa

    Uchaguzi 2020 Vicent Mashinji achukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM

    Mtu anapewa mafao alishaacha ubunge,lazima watu watamabi kuona hata ukifukuzwa ccm bado mafao ubaitiwa tu
Back
Top Bottom