Search results

  1. B

    match ya marudiano, taifa stars vs chadi ni kesho

    najiuliza sana na sasa niwaulize wadau wa soka, hivi stars imeimprove ama Chad ni vibonde? Poulsen atatatetea kibarua kesho maana nahisi kama ugenini ilikuwa kakobe!
  2. B

    Meno ya tembo 1241 yakamatwa bandari ya Zanzibar

    maswali yako ni mazuri sana, hata hivyo naomba nikukumbushe kuwa ufisadi tz umeanzia kwenye mtaa. inaonekana jamaa alitoa rushwa bara kote alikopita akaishiwa kabla ya kutoka pemba. Bara acheni umbumbumbu, nilishangaa sana kona wasomimi wanasukuma gari la jairo unafikiri itawezekana kukomesha...
  3. B

    Tuandamane kabla ya kamati ya bunge

    ni vizuri tukaambatana j3 hii tena tukakutanie mnazi mmoja kupitia morogoro road, tuanzie shekilango. watu wa mikoani waelekee viwanja vya michezo vya mikoa k.m. uwanja wa majimaji, sokoine,chilumba,mkwakwani e.t.c.
  4. B

    Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    hata hivyo hawa jamaa zetu bado ni mdebwedo tu, na watakiona safari hii.
  5. B

    Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    mechi haijaisha bado mjomba?
  6. B

    Tuandamane kabla ya kamati ya bunge

    Ni wazi kuwa wewe ni mjomba ake na Jairo, na huwa anakutuma kwa ngeleja na JK hivyo unashiriki bashasha zao. Hao polisi si wale wale japo w anaishi kwenye viota vya mabati huku wanaochumia kivulin hulia kwenye AC, NAHISI WEWE SI MTANZANIA WA UKWELI, tafadhali ambatanisha cheti chako cha kuzaliwa...
  7. B

    Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    inamaana mechi hazijaisha, naomba matokeo kwa aliye yapata hasa mechi ya tanga na moro.
  8. B

    Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    sasa ni kipindi cha pili, je wekundu wa msimbazi wanaendeleaje huko tanga wanasimba wenzangu. Yanga msichukie kama anaongoza ama vipi nijulisheni tu kwani hayo ni mambo ya uwanjani tu.
  9. B

    Tuandamane kabla ya kamati ya bunge

    uchawi si kuwanga usiku tu, wawili wangu na mama yao haiwapendezi kuona wachache wanagawana mamilion ya utajiri wa watanzania huku zipo jamii ambazo hata kupata msosi mmoja tu kwa siku ni kazi. wacha wawe wajeshi wa kupigania haki ya mtanzania anayetambua haki zake kuliko kuzeeka wakiwavumilia...
  10. B

    Kazi za CAG ni zipi?

    Haiingii akilin kwa mkaguzi mkuu koshindwa kuona '' disciplinary offence katika jambo lililowazi ambalo mamlaka yalimnyima kauli mtoto wa mkulima kufanya maamuzi sahihi. Napendekeza aliyesimamia na kufanya uchunguzi dhidi ya tuhuma hizi na aliykubali kutangaza matokeo haya wote wakapimwe kama...
  11. B

    Tuandamane kabla ya kamati ya bunge

    Wapendwa JF members, mie ndo kwanza najiunga katika ulimwengu huu adimu but very crucial for today. Jamani ninauchungu sana na hawa wanaokiuka maneno ya mwl. nyerere baba wa taifa ya watu kuiweka serikali ya nchi mkononi mwao. Sasa kilichopo hewan ni akina Jaira na Ngelejibasi kwao wanaiweka...
Back
Top Bottom