Search results

  1. Mr Samba

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Status inamwambia not selected for oral interview na oral interview ulifanya., unaamini hayo ndo majibu umekosa kazi 😅😅😅 ebu tutulie mimi na selected zangu miaka 3 sikuambulia kitu.
  2. Mr Samba

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mimi nipo selected tokea 2020 hadi leo both App na Web. Unaweza kupewa selected kote na kazi usipate. Ombeni Mungu acheni mchechemo..
  3. Mr Samba

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Imenibidi niwapigie na wamenielewesha vzuri sana, wanachofanya ukiomba kazi wataangalia qualifications na requirements, watakupa status ya "Shortlisted" then utapiga written watakupa "Selected for oral interview au not selected for oral interview" Mpaka hapo hawana chochote tena cha kufanya na...
  4. Mr Samba

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mkuu labda hujaelewa. Baada ya kuitwa kwenye oral means "selected for oral" hapo ndo mwisho wa ku access kwenye account yako., Ukienda kwenye oral au usiende hawarudi tena kwa account yako.
  5. Mr Samba

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ndugu zangu wale wa Selected for Oral kwenye web na Not selected for Oral kwenye App., nimejaribu kuongea na watu wa Utumishi wamenihakikishia kwamba baada ya kuwa shortlisted hakuna namna yeyote wanajishughulisha na Account yako tena. Hivyo hizo ni errors huwa zinajitokeza kwa baadhi ya watu na...
  6. Mr Samba

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nilifanya mwezi wa pili mkuu tar 18 th
  7. Mr Samba

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Status yangu kwenye web, selected for oral, app inaonekana not selected for oral.!! Shida nn hapa wakuu au ndo nishamwagiwa mboga hvyo 😟😟😟
  8. Mr Samba

    Je, hizi nafasi za udereva zilizotangazwa Halmashauri mbalimbali ni za kudumu?

    Ajira zote za halmashauri ni permanent deal. Zipo chini ya Tamisemi so ukiajiriwa huko umelamba dume. 👍✌
  9. Mr Samba

    Natafuta kazi ya udereva nina leseni class D,

    Mkuu itakua umekosa mtu wa kukupambania tuu labda au huna uelewa na mambo ya application au hufuatilii. Kwa qualifications zako unapaswa kua na ajira tena ya serikali. Kuna kazi za halmashauri zinatangazwa daily wanataka madereva na huwa ni kuanzia watu 50 ni ajira nyingi mnoo, hadi mahospital...
  10. Mr Samba

    Inachukua muda gani kupata mafao ya kuacha kazi NSSF?

    Siku hizi hamna pssf, mifuko yote imeunganishwa pamoja na mafao yote yanatolewa Nssf tuu. Kama umeacha kazi au kupata kazi serikalini unaweza kuendelea na malimbikizo ya kuwekeza kwenye Nssf yako ulipoishia au la unataka ela yako, chukua barua kutoka kwa hr inayodhibitisha kwamba wewe sio...
  11. Mr Samba

    Inachukua muda gani kupata mafao ya kuacha kazi NSSF?

    😂😂😂 mtu hajawahi hata kuajiriwa anajifanya kujua sana mambo ya mafao. Ndugu kuna tofauti ya kiinua mgongo na mafao ya nssf. Kiinua mgongo ndo ambacho hadi ustaafu na tena unapewa kuasi fulani tu kutokana na kikokotoo. Mafao NSSF haijalishi umeacha kazi au kuachishwa utapewa ela yako yote...
  12. Mr Samba

    Nafasi za Ajira 207 TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA

    Nahisi ni mfumo tuu kulemewa na watembeleaji wengi wanaotaka kuomba hizo ajira. Jaribu tena baadae
  13. Mr Samba

    Siku ya kwanza kijiweni kama dereva bodaboda

    Aisee si haba.,, 🤝🤝💪
  14. Mr Samba

    Siku ya kwanza kijiweni kama dereva bodaboda

    Chombo ni kipya kabisa 00 Kilometers
  15. Mr Samba

    Siku ya kwanza kijiweni kama dereva bodaboda

    Wazo zuri sana mkuu,, shukran sana hili nitalifanyia kazi kwa ukaribu sana🤝🤝
  16. Mr Samba

    Siku ya kwanza kijiweni kama dereva bodaboda

    Yaah nipo Dar mkuu Kigamboni
  17. Mr Samba

    Siku ya kwanza kijiweni kama dereva bodaboda

    Asante sana mkuu, hili napita nalo moja kwa moja 🤝
Back
Top Bottom