Search results

  1. T

    Mchango wa makanisa katika huduma za Jamii - Kwanini makanisa mengine hayajishugulishi?

    Katika mkutano kati ya Mhe. Rais na Viongozi wa dini, Mhe Rais alitoa taarifa ya mchango wa makanisa katika huduma za jamii kama vile hospitali, shule, nk. Aidha, Mhe. Rais hakusema ni makanisa/madhehebu yapi yanamiliki hospitali au shule zipi. Nina na mashaka kuna makanisa/madhehebu mengi...
  2. T

    Yaliyojiri Ikulu: Mazungumzo kati ya Viongozi wa dini nchini na Rais Magufuli

    JPM awasema tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kuvuna sadaka na kuitumia yote bila hata kujenga choo au kuchinmba kisima katika makanisa au misikiti. Amesema ana mifano bali hataja majina. Mimi naona angewata tu.
  3. T

    Yaliyojiri Ikulu: Mazungumzo kati ya Viongozi wa dini nchini na Rais Magufuli

    Kupata muda muda au audience na Mhe. Rais ni bahati. Kuna viongozi wa dini wanatumia muda huu kwa kutoa hoja za chini mno ambazo zingeweza kushughulikiwa na viongozi wa ngazi za chini. Ingefaa zaidi viongozi wakatoa vitu/hoja ambazo ni kweli zinahitaji attention ya Mhe. Rais.
  4. T

    Shambulizi la kigaidi Kenya: Ni wakati sasa wa kuimarisha utalii Tanzania

    Kwanza kabisa napenda kuwapa pole watu wote walio athirika kwa namna moja au nyingine na shambulizi la kigaidi lililotokea Kenya tarehe 15 Januari 2019. Tunawaombea Marehemu wote Mungu awapokee kwake Mbinguni na Majeruhi wote wapate uponyaji wa haraka. Majanga kama haya yakitokea huleta madhara...
  5. T

    Theresa May ashindwa kung'oka kwa kura ya kutokuwa na imani naye

    Serikali inayoongozwa na Theresa May ya Uingereza imenusurika kuondolewa madarakani kwa kura ya kutokuwa na imani nayo. May ameokolewa na Kura 19 tu ambapo kura zilizopigwa kumpinga zilikuwa 306 na za kutompinga zilikuwa 325. Theresa May's government survives no-confidence vote after Brexit plan...
  6. T

    Do we need Press Freedom that can harm Peace?

    The correct word is REGULATION. if this word is too broad to represent the meaning that is the problem. Any state would not leave the press freedom unregulated.
  7. T

    Do we need Press Freedom that can harm Peace?

    I never put something like press freedom...North Korea.... When you respond to my post try to read and understand what was originally posted rather than putting something new to my post and respond to.
  8. T

    Do we need Press Freedom that can harm Peace?

    Nimeandika hicho ulichokisoma. Ni bora ukasoma vizuri na kuelewa chapisho badala ya kujibu kitu ambacho hakikuongelewa. Nimeandika Press freedom must be regulated.
  9. T

    Do we need Press Freedom that can harm Peace?

    Mkuu nimeandika press freedom must be regulated. Naomba usome vizuri hapo juu.
  10. T

    Do we need Press Freedom that can harm Peace?

    Freedom of the press has to be regulated to avoid unintended outcome that can harm peace. Peace is paramount to any country before the country achieves democracy. We saw what happened in RWANDA - Genocide. We don't need this to happen in our beautiful country #UhuruWakujieleza #DemokrasiaYetu...
  11. T

    The chief financial officer of Chinese tech giant Huawei has been arrested in Canada. Meng Wanzhou, also known as Sabrina Meng, faces extradition to t

    The chief financial officer of Chinese tech giant Huawei has been arrested in Canada. She faces extradition to the United States. Meng Wanzhou, also known as Sabrina Meng and Cathy Meng, was apprehended in Vancouver on December 1, according to Canadian Justice Department spokesman Ian McLeod. In...
  12. T

    Teacher fired by Catholic school for getting pregnant out of wedlock

    Catholics never supported gay marriage and they surely will never. It is a Church built on strong principles of matrimonial - covenant by which a man and a woman establish between themselves a partnership of the whole of life and which is ordered by its nature to the good of the spouses...
  13. T

    Teacher fired by Catholic school for getting pregnant out of wedlock

    Maadili lazima yazintiwe. A respected English and creative writing teacher in Pennsylvania was fired on Friday from her job at the Catholic high school where she’s been employed for four years. Her transgression? Becoming pregnant while unmarried. Teacher fired by Catholic school for getting...
Back
Top Bottom