Search results

  1. Papa Mobimba

    Tukumbushane: What is your childhood memory?

    Nilianza darasa la kwanza nikiwa mkubwa kidogo, nilikuwa na miaka. Nikiwa darasa la pili nilikuwa naweza kucheza karata kwa ustadi mkubwa. Ikafikia point nikatega shule nikawa nakwenda kijiweni nachezea watu wananilipa. Baada ya kupigwa mkwara nyumbani nikaamishia karata darasani. Siku hiyo...
  2. Papa Mobimba

    Mwanaume kuwahi kumaliza anapofanya tendo la kujamiana

    Hili ni mojawapo kati ya matatizo makubwa mawili yanawaathiri wanaume, lingine likiwa upungufu wa nguvu za kiume. Wakati mwingine matatizo haya hutokea kwa pamoja. Mwanaume atasemwa kama ana tatizo la kuwahi kufika kileleni endapo anamwaga kabla au ndani ya dakika moja baada ya kuingia kwa...
  3. Papa Mobimba

    Hiki ndicho cheti changu cha form four

    NaonacDawa imekuingia
  4. Papa Mobimba

    Hivi mnajua tiba mojawapo ya kansa ya tezi dume ni pamoja na mwanaume kuhasiwa!

    Kwanza kabla sijaenda mbali nieleweke kwamba leo la thread hii sio kukuogopesha. Ama uogope au usiogope huo ndio kweli, kwamba tiba ya kansa ya tezi dume ni pamoja na mwanaume kuhasiwa (castration) Hatari ya kupata kansa ya tezi dume huongezeka kadri umri unavyoongezeka. Vitu vingine...
  5. Papa Mobimba

    A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi

    What is AI and it's branches, and what AI is not, lengo lao wanataka angalau 3% ya world population wajue AI japo katika basics
  6. Papa Mobimba

    A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi

    Kwa walioko interested kuna kozi ya AI inatolewa online bure kabisa kutoka chuo kikuu cha Helsinki Finland. Mtu yeyote anaweza kusoma ili kujua basics za AI. LINK YA KWENYE COURSE HII HAPA https://course.elementsofai.com/
  7. Papa Mobimba

    Ukiwa na 'mke' unatakiwa umpe vingapi ndipo ulale?

    Nianze kukiri ukweli kwamba kati ya viumbe ambao wako trickier hasa kwenye suala la ngono na tendo la ndoa kwa ujumla ni wanawake. Leo sitaki kuandika maneno marefu sana. Niende moja kwa moja kwenye point. Inapokuja kwenye suala la ngono na tendo la ndoa, ushauri wangu ni kwamba mpe mwanamke...
  8. Papa Mobimba

    Wanaume, kuleni hili tunda!

    Bahati mbaya sijui Kiswahili chake Kingereza yanaitwa cactus pear
  9. Papa Mobimba

    Wanaume, kuleni hili tunda!

    Huwezi kuona madhara kwa sababu hauna organ (kiungo) ambako zitafanya kazi.
  10. Papa Mobimba

    Wanaume, kuleni hili tunda!

    Sina sababu ya kujiapiza. Maisha yangu siku zote naona fahari kuwasaidia binadamu wenzangu. Sisi binadamu ni viumbe dhaifu sana. Ukitoa utashi tuliojaaliwa sisi si kitu mbele ya wanyama kama simba, mamba, viboko na wengine. Huu utashi na wala siyo nguvu ndio unaonisukuma kupenda kuwasaidia...
  11. Papa Mobimba

    Ujue ukubwa wa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Nguvu za kiume ni muhimu kama ilivyo nguvu za kiuchumi
  12. Papa Mobimba

    Ujue ukubwa wa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Hii umechukua sababu mojawapo katika sababu nyingi sana zinazosababisha tatizo
  13. Papa Mobimba

    Ujue ukubwa wa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Kuna matatizo mengi ya tendo la ndoa ambayo yanaathiri wanawake kwa wanaume. Kwa wanaume inawezekana ikawa ni kukosa hamu ya tendo, upungufu wa nguvu za kiume au kuwahi kufika kileleni. Leo nataka kuzungumzia ukubwa wa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume matatizo mengine nitazungumza katika...
  14. Papa Mobimba

    Nawakumbusha tena UKIMWI bado upo, msijifanye magijwi wa kwenda rafu!

    Dawa za kufubaza VVU inatolewa ndani ya masaa 72. Dawa hizi zinaweza kusaidia mwili kuangamiza VVU na hivyo usipate maambukizi
  15. Papa Mobimba

    Nawakumbusha tena UKIMWI bado upo, msijifanye magijwi wa kwenda rafu!

    Uhai na maisha yako ni dhamana yako wewe mwenyewe;
  16. Papa Mobimba

    Nawakumbusha tena UKIMWI bado upo, msijifanye magijwi wa kwenda rafu!

    Ndugu zangu maambukizi ya HIV bado, tena ndio kwanza aina nyingine( strain) mpya ya mdudu wa HIV amegundulika. Njia za maambukizi ni zile:-ngono isiyosalama, kuongezewa damu, mtoto wakati wa kuzaliwa na kutumia vitu vyenye ncha kali kama vimetumiwa na mtu mwenye maambukizi. -Ngono kinyume cha...
  17. Papa Mobimba

    My fiancee who was HIV+ now tested HIV-

    Kuna algorithm inayofuata wakati wa kupima HIV. Huwa vinatumika vipimo viwili ili kupima HIV. KIPIMO cha kwanza huwa kina sensitivity kubwa ili kuhakikisha hakiachi mtu yeyote mwenye maambukizi. Iwapo kipimo cha kwanza kikiwa positive kinafanyika kipimo cha pili. Hiki huwa kina specificity kubwa...
  18. Papa Mobimba

    Niulize swali lolote kuhusu magonjwa ya zinaa

    Unaweza kupima akawa negative kumbe yuko kwenye kipindi cha mpito (window period)..take care.. ARV hazimalizi virusi vya UKIMWI.
  19. Papa Mobimba

    Niulize swali lolote kuhusu magonjwa ya zinaa

    Vipele inawezekana hiyo ni Herpes Simplex (Malengelenge)
Back
Top Bottom