waziri mkuu picha au pambo pia utendaji wake ni oooooooo, bunge lingeunda kamati yake siyo serikali kuchunguza maana serikali yote ipo mochwari kwa kunika rushwa. mh waziri mkuu kweli wewe ni mtoto wa mkulima ninawasiwasi na ukulima huu unaousema !!!!!!!!!
hoja kuu ni kama jailo karudishwa kazi busi mh. mizegwe kanja peter pinda<waziri mkuu> ajiuzuru maana aliapa kuwa kama angekuwa na uwezo agemfukuza kazi siku ileile.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.