Search results

  1. Baba Erick

    Wadau Toyota Vitz inauzwa bei 5,000,000

    Mbona nimeweka kiongozi
  2. Baba Erick

    Wadau Toyota Vitz inauzwa bei 5,000,000

    Habari za majukumu wadau nauza gari aina ya vitz na inapatikana KIVULE - UKONGA - DAR ES SALAAM 1. Year 2001 2. CC 1290 3. 123,000 kilometers 4. Model No. TA-NCP1O Kwa mwenye kuhitaji tafadhali ani pm
  3. Baba Erick

    Anataka kuniambia jambo gani kwa tabia hii ya uongo?

    Wakuu, Poleni na majukumu na kero hasa za kampeni. Nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke mmoja kwa mwaka sasa ila amekuwa na tabia akirudi kutoka kazini au kwenye mizunguko ananidanganya katongozwa mara na kona mara na mwanaume kakutana naye mara na rafiki zangu nilipoanza kumfuatilia...
  4. Baba Erick

    Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    mi lofa mwenzenu niko tangia jana mchana
  5. Baba Erick

    Pata mkopo wa matractor na zana za kilimo kwa masharti nafuu

    Piga simu mkuu upewe maelekezo zaidi
  6. Baba Erick

    Pata mkopo wa matractor na zana za kilimo kwa masharti nafuu

    Wana Jf habari. Tunauza na kukopesha zana mbalimbali za kilimo kwa bei nafuu sana na tunatoa msaada wa kiufundi na kitaalamu kwa wateja wetu. Baadhi ya zana tunazouza na kukopesha ni tractors , ploughs, powertillers, trailers , harrows and planters TAFADHALI UNAWEZA WASILIANA...
  7. Baba Erick

    PIGA KURA: Kipima JOTO ITV Leo Jumapili 5.7.2015

    Ndiyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
  8. Baba Erick

    Lema na Sugu kesho nendeni bungeni

    bunge linaendelea leo jumamosi mkuuu
  9. Baba Erick

    Nauza kiwanja Kivule Stand kwa bei nzuri sana

    Kwa aliyeserious.Nauza kiwanja chenye ukubwa wa 968 mita square kwa bei ya 150,000,000/= na kina Godown kubwa. Kipo Kivule stand ni eneo zuri la biashara. Anayehitaji anipigie kwa simu hii 0752643919
  10. Baba Erick

    Website hosting & registration packages

    Kaka aksante kwa kuonyesha nia. Nilivyotembelea website yako inaonyesha blog ambayo ulitumia free template ambayo haifai kutransfer. Tafadhali tupigie kwa 0752643919 tutakupa maelezo zaidi
  11. Baba Erick

    Website hosting & registration packages

    Today again the dollar read at 2353 for bank exchange rates which forced us to increase our hosting prices to cope with this exchange rate. For this case our new hosting rates will be Basic Plan in TZS 160,000.00 /2 years 90,600.00 /1 year 67,600.00 /6 months 44,700.00 /3 months 18,900.00/1...
  12. Baba Erick

    Majaribu jamani: Kakiri kweli amenisaliti na anaomba nimsamehe, nashindwa kufanya maamuzi

    Yaani analia kabisa eti ni shida ilimfanya afanye hivyo. Kusema kweli yeye ni mtoto wa kambo na anaishi kwa rafiki wa mama yake huko tanga ili asome. Maisha yake ni ya kuungaunga kweli
  13. Baba Erick

    Majaribu jamani: Kakiri kweli amenisaliti na anaomba nimsamehe, nashindwa kufanya maamuzi

    Nilimkuta sealed na nimekuwa naye kwa mda mrefu japo nilikuwa nishaoa mama Erick kabla ya kuachana naye
  14. Baba Erick

    Majaribu jamani: Kakiri kweli amenisaliti na anaomba nimsamehe, nashindwa kufanya maamuzi

    Habari za jumatatu wana MMU, Mwenzenu nimepatwa na janga jipya kabla ya janga la kwanza kuisha. Nina mpenzi wangu ambaye nilitamani sana kumuoa anasoma na kuishi Tanga mwezi wa kumi na mbili alikuwa anafanya field kwenye ofisi moja ya serikali kule Tanga . Wakati wa field alibadilika sana...
  15. Baba Erick

    Serious nahitaji ushauri nifanyeje ili niondokane na hili

    Jamani nashukuru kwa ushauri wenu wote mlionishauri naona jana nimeongea naye kwa busara anasema hataki kurudi kwa huyo bwana yake anaenda kijiji kuanza maisha eti
  16. Baba Erick

    Serious nahitaji ushauri nifanyeje ili niondokane na hili

    Aksante sana ndugu yangu niko ofisini yaani nimeshamuanzishia fujo yaani leo hakutalalika kaka lazima nimtoe
  17. Baba Erick

    Serious nahitaji ushauri nifanyeje ili niondokane na hili

    Duuuuuuuuuh siwezi kutunga stori ndugu yanfgu hii ni serious
  18. Baba Erick

    Serious nahitaji ushauri nifanyeje ili niondokane na hili

    Mama Erick alisha sepa na kaolewa
  19. Baba Erick

    Serious nahitaji ushauri nifanyeje ili niondokane na hili

    Aksante ndugu yangu kwa kunishauri hilo ukweli sikuwa na jinsi ya kumuonyesha kwangu kwa sababu alinidanganya mwanzoni mi nikafikiri nitaoa ndugu
  20. Baba Erick

    Serious nahitaji ushauri nifanyeje ili niondokane na hili

    Nyumbani ninakaa na dogo mmoja na dogotulimficha kuwa huyundiyo mchumba wangu ndugu kwahiyodogo anaona kamando mama mwenye nyumba amehamia
Back
Top Bottom