Search results

  1. MKAKA HALISI

    Nauza Tangawizi Tani zaidi ya kumi

    Natumaini hamjambo, katika harakati za kujikwamua nililima Tangawizi hii imekomaa vya kutosha maana ilipaswa kuvuna toka msimu ulio pita lakini sasa ndio nipo navuna na nataraji kuvuna zaidi ya tani 10 Karibuni no 0674067474
  2. MKAKA HALISI

    Jeshi la Polisi mjitathimini na kuwajibika kwa kuzingatia haki na usawa katika jamii. Mnafanya kazi na watu na nyie ni watu

    Ni ukweli usiopingika kuwa huku mtaani tunao Hamza wengi sana ambao wengi wao ni matokeo ya utendaji kazi wenu unaobeba maslahi ya wachache na kuacha kundi kubwa likisononeka na Dunia ya sasa taarifa zinasafiri kwa haraka sana hivyo mengi tunayaona na inasikitisha zaidi pale viongozi mnakuja na...
  3. MKAKA HALISI

    Naomba kuelezwa zaidi juu ya Mashine ya kupandia mahindi

    Habari wana janvi nimesikia kuna machine inayo weza kurahisisha upandaji wa mazao kama mahindi, karanga nk je kuna mwenye taarifa sahihi juu ya hili na wapi zinapatikana bila kusahau na bei pia ? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. MKAKA HALISI

    Hii ni zawadi yako ewe dada unaetambua thamani ya mume maishani karibu tuanze maisha ya ndoa

    Natumaini hamjambo. Mm ni mkaka sasa nahitaji mwenza/ mke anae jitambua na mwenyenia ya kuolewa, umri wangu kwa sasa ni 33 hivyo mke mtarajiwa awe na umri 24 to 28 yrs. Binafsi ni mkristo hivyo nahitaji mkristo pia kabira sio kigezo kwangu bali mtu husika ndio kigezo cha kwanza. Mengine yote...
Back
Top Bottom