Search results

  1. H

    DAWASA: Kunduchi/Bahari Beach Je kuna mgao?

    Kwa muda sasa pamekuwepo na shida ya maji. DAWASA hamjatoa taarifa yoyote. Inaelekea huu mradi imewashinda kuendesha. Ingependeza sana kama mnaweza kutoa taarifa nini tatizo. Mna mkataba na wenye magari ya maji?
  2. H

    Audi Q3 vs Audi Q6

    Ningependa kupata advice/maoni kuhusu uzuri/ubaya/matatiza za Audi Q3 na Audi Q5.
  3. H

    Naomba kujua utaratibu wa kuanzisha ulinzi shirikishi kwenye shina

    Ninaomba kujua taratibu kuanzisha ulinzi shirikishi kwenye shina letu. Kisheria, je ni lazima kujiunga?
  4. H

    Government/Public vehicles specifications

    Imefika wakati serikali/bunge ikaweka sheria kuhusu matumizi na manunuzi ya magari. Magari ya serikali yawe chini ya ya cc 3000. Exceptions iwe kwa idara za usalama lakini siyo V8. Jirani zetu Kenya wanatumia huu utaratibu. Hii itapunguza fuel expenses na bei ya manunuzi. Pia tufanye sensa ya...
  5. H

    Baada ya Uber kusitisha huduma kutokana na regulations mpya za LATRA, waliobaki hawana standards na discipline

    Uber wamesitisha huduma kutokana na regulations mpya za LATRA. Binafsi ingekuwa jambo la busura kuacha market forces kudetermine wanataka nini. Kama Uber wanachukuwa 25% na wewe unaona ipo juu basi nenda to another operator. At the moment quality of services being provided by remaining...
  6. H

    Fundi wa Harrier(MCU15) Steering System

    Natufuta fundi mzuri wa Harrier (MCU15) hasa hasa kwenye steering system.Natanguliza shukurani
  7. H

    Serikali ifanye uhakiki wa expatriates wa Tanzania ili kujua kama bado wanahitajika kisheria

    Serikali ya awamu ya tano wanafanya na wanaendelea kufanya uhakiki wa wafanyakazi, wanafunzi, walipa kodi na madeni. Hili ni jambo zuri ambalo itatuwezesha kujua takwimu sahihi ya nchi yetu kama elimu ya wafanyakzai, idadi kamili ya walipa kodi nk. Nadhani ni vizuri pia serkali ingefanya...
  8. H

    Softwood Furniture Makers

    I am looking for softwood makers of kitchen units, wardrobes, chest of drawers, sideboards etc preferably kiln dried.
  9. H

    Softwood Furniture

    Natafuta wapi nitapata mtu/watu wanaotengeneza furniture za softwood. Interest yangu ipo kwenye kitchen units, milango za wardrobe, sideboards, chest of drawers etc preferably kiln dried.
  10. H

    Secondary Schools Bora

    Ninaomba msaada wa kujua shule za secondary bora katika mikoa ya Morogoro, Iringa, Mbeya, Arusha na Kilimanjaro. Natafuta kwa ajili ya mtoto wa kiume.
  11. H

    Sasatel

    Contact numbers listed in Sasatel website are not reachable. Please can anyone provide/help me with their contact numbers.
  12. H

    Biashara ya Transport

    Ninaomba kupata ushauri juu ya biashara ya transport pamoja na changamoto zake hasa kwenye upande wa operations. Ninafikiria kufanya hii biashara na ningependa kufahamu wapi pa kuanzia yaani aiana mfano Fuso (less than 10 tons) au rigid bodies (ton 10 - 20) na semi trailers.
  13. H

    Brela

    Ninaomba kuuliza ni kitu gani cha kufanya iwapo Director ana resign/retire kwenye limited company? Procedure na process BRELA.
  14. H

    Ushauri kwa Vyama vya Upinzani

    Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu wa wabunge na madiwani. Nini iwe strategy ya vyama vya upinzani ile viweze kutoa changamoto kwa CCM. Mimi nadhani , kwanza vyama hivi vingekubaliana kusimamisha mgombea mmoja iwe kwa wabunge au madiwani. Kila mmoja akisimamisha mgombea , watagawana kura na...
  15. H

    Baraza la Mawaziri

    Kwa muda mrefu pamekuwa na mawazo kuwa baraza la mawaziri ni kubwa . Hii inatokana na katiba kumpa Rais uwezo wa kuamua kuwa na ukubwa gani wa baraza hilo. Ingekuwa vizuri, ikiwezekana (kabla ya 2010), bunge lipitishe muswada kuhusu ukubwa wa baraza hilo. Ioneshe ni wizara zipi ziwepo na...
  16. H

    Wabunge

    Ninaomba kuuliza, Katika one calender year , mbunge wa Tanzania anatumia muda gani katika jimbo lake.? Mbunge anatumia siku ngapi katika session za bunge katika mwaka? Mbunge anatumia siku ngapi katika kamati za bunge katika mwaka? Nchi nyingine in comparison , mbunge anatumia muda gani...
Back
Top Bottom