Mngekuwa mmeunganisha ile EA grid tungewasaidia hawa punda...🤣🤣
https://twitter.com/millardayo/status/1782847394687733898?t=-hnVq4oVpjujY-w8fJ9O_Q&s=19
Wewe wewe jamaa, huwa unanishangaza sana aisee
Unasahau kwamba ilikua EATV, televisheni ya kitanzania iliofanya hawa jamaa wawe ma staa hapa Africa mashariki. Nenda hata kawaulize wemyewe watakwambia, kawaulize kina jose chamillione pale Uganda watakwambia.
Sema kwa sababu wewe sio mpenda...
Mtu kama wewe utamjulia wapi DJ mkubwa kama huyo?? Unakaa kogorosho huko, unashindia chapo na maharage, ukibadili sana mutura!!!
Huna hela, tangu uzaliwe hata kilimani hujawahi fika unaona picha tu humu jamii forums.
Mtu kama huyo utamjulia wapi!?🤣🤣
Tafuta hela nyang'au wewe!!!
Mzee rostam in mtanzania 100% na kabila lake ninmbulushi. Ni kabila rasmi linatambulika. Asili yao ni huko iran, kama ilivyokuwa wangoni, asili yao ni huko Africa kusini.
Sisi hao tembo tutapiga kama wakivuka boda. Wasitupangie cha kufanya na rasilimali zetu.
Kama wanataka tembo zaidi wakaombe msaada Botswana. Wanao wengi mpaka hawajui chakufanya nao nini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.