Search results

  1. Malipesa

    Shule kukosa madawati ni uzembe wa serikali

    Naomba wa JF mniwie radhi kama hii itakuwa imesawahi kutolewa hapa, ila ni kwa umuhimu wake ndo nimeamua kopst. Sekata ya elimu ni sekta nyeti kabisa katika nchi yoyote. Ni kitu cha ajabu kabisa kuona shule zetu hapa nchini zinakosa madawati na kupeleka baadhi ya wanafunzi wake kukaa chini...
  2. Malipesa

    Alshabab VS Tisa December

    Ikiwa kutakuwa na taarifa za ki-intelinsia ya kuwepo uwezekano wa sherehe za kilele cha maadhimisho ya sherehe ya Uhuru wa Tanganyika kushambilwa na Alshabab, basi polisi ipige marufuku kufanyika kwa mkusanyiko wowote mkubwa siku hiyo. Ni maoni binafsi tu.
  3. Malipesa

    Wabunge wa TZ wanavyowahujumu Wananchi

    Wabunge wa bunge la TZ wanawahujumu wananchi kwa kutumia muda vibaya katika vikao vya bunge kwa sababu zifuatazo:- 1. Kutumia muda mwingi kushukuru kuilko kuchangia mada iliyoko mezani kwa wakati huo 2. Kutumia muda mwngi kushutumu vyama vingine na kuwaita wabunge wenzao wanafiki badala ya...
  4. Malipesa

    Hallow wana JF

    Hallow wana JF, I salute you all.
Back
Top Bottom