Search results

  1. M

    TANZIA Julius Ishengoma Ndyanabo afariki dunia

    Nimesikitishwa sana na kifo cha wakili Julius Ndyanabo. Sihitaji kujua kama alikuwa CHADEMA ama CCM. Cha msingi ni kwamba alipigania haki za wanyonge. Kwa kuwa Bwana ameamua atutangulie kulala, tumshukuru tu yeye anayejua majira na nyakati na anayejua wakati gani ulio bora kwa kila mtu kulala.
  2. M

    Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

    CCM inajua wazi kwamba muda wake wa kuishi kwenye dunia ya madaraka umekwisha na kwamba muda si muda CCM kuwa chama tawala itakuwa ni historia. Kama mfa maji anavyotapatapa ndivyo na chama hiki kinavyotapatapa. Wanadhani wanaweza kuhamisha mawazo ya wananchi hivihivi. Wana JF mnaodai mjadala...
  3. M

    Wapinzani kumwomba radhi JK

    Kumbukeni habari ya kwamba Mzee Mtei alipingana na hoja ya Kabwe kwa sababu hata yeye alisaini Mjini Perking, Mzee Mtei alikuja kukanusha. Wakaandika tena kwamba Jaji Mark Bomani amwmwonya Dr. Slaa kuhusu madai yake ya ufisadi, akakanusha. Hata hii naamini ndani ya moyo wangu kwamba ni...
  4. M

    Jenerali Ulimwengu na makala zake

    Nampongeza jenerali Ulimwengu kwa kauli zake nzito juu ya usanii wa serikali yetu. Kama alivyosema Ibambasi ni kweli kuwa Jenerali amekuwa mwanaharakati wa kuikosoa serikali tangu muda mrefu hata kabla ya akina Slaa na Kabwe kujulikana. Naweza kusema magazeti yao hasa RAI ndiyo yaliyonifanya...
  5. M

    The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

    Historia zao zinafanana. Hiza alihamia CCM akitokea CUF baada ya kushindwa ubunge wa Temeke mara tatu mfululizo. Baada ya uchaguzi wa 2005, mwenyekiti wa CUF akafanya mabadiliko ya uongozi na yeye akaachishwa ukurugenzi wa Uenezi na Sera mara moja akarejea CCM. Wenye kumbukumbu mtakumbuka kwamba...
Back
Top Bottom