Search results

  1. Fuqin

    Nauza pumba za dengu/soya kwa jumla

    Natumai mu wazima... Nauza pumba za dengu kunde na soya kwa jumla kilo ni 200 napatikana Tandale sokoni... kama wewe unatengeneza chakula cha kuku au ng'ombe karibu sana. kwa mawasiliano 0674 864 371...
  2. Fuqin

    Msaada: Kichwa cha mtoto kimekaa vibaya

    Natumai wazima wadau. Naomba msaada wa mawazo kichwa cha mwanangu wa miezi 6 kimekaa vibaya kama hapo kwenye picha. Wapi naweza kupata msaada wa kuweka sawa au nini nifanye.
  3. Fuqin

    Nifanye nini nipandishe kiwango cha mauzo yangu kwa siku?

    Natumai mko poa kabisa watu wa humu ndani... Kama mnavyojua mimi ni mfanyabiashara wa nafaka za Jumla na mauzo yangu kwa siku ni kilo 700 hadi 1000 ndi wastani kwa siku... sasa hali ya maisha ishakuwa ngumu vitu nimepanda bei sana na kipato kinakuwa hakitoshi tena Nahitaji mawazo yenu ili...
  4. Fuqin

    Passo inakula lita 1 kwa km 9

    Wakuu nina passo 1kr piston 3 mwaka wa 2 na nusu naitumia na safari zangu ni hapahapa town ila nimegundua kwamba inakula lita 1 kwa km 9. Nadhani kwa passo labda inakula km 15 kwa lita ila naona hii yangu sio kama passo nyengine ni fundi gani niende ili ipate kuwa vizuri imetembea km 69854 mpaka...
  5. Fuqin

    INAUZWA Used bike for sale

    wazee wa baja wazee wa madede chombo hicho hakina shida bei ya nzuri 1,200,000 tu. kadi yake ipo njoo na pesa unalipa unachukua chombo... namba zangu njoo dm
  6. Fuqin

    Siri iliyojificha kwenye Nafaka...

    Wadau nadhani mupo powa kabisa... mimi ni mdau wa biashara ya nafaka na leo nataka kushare nanyi kitu katika biashara ya nafaka ambapo hata nyinyi munaweza kufanya na mukapata pesa nzuri tuu, ni hivii... Wakati biashara zinaenda kama kawaida kipindi cha mavuno bei huwa zinashuka sana mfano...
  7. Fuqin

    Nina milioni 10 Nataka kuwekeza...

    Natumaini muko powa kabisa... nina milioni 10 hapa ambayo nimeikusanya kutoka katika biashara yangu ya Nafaka nafikiria kufungua tigopesa hapahapa kwenye duka la Nafaka... sasa ambao munaijua biashara hii kwa pesa hii nitapata faida bei gani kwa mwezi??? ni hayo tuu
  8. Fuqin

    Naomba ushauri kuhusu kununua kiwanja maeneo ya Tegeta

    Mimi nipo Mwananyamala kibiashara nafkiria kutafuta kiwanja maeneo ya Tegeta au karibu na Tegeta ili nifanye makazi lakini sijawahi kufika nasikia tu Tegeta... na nimeangalia kwenye google map kuna umbali wa km 17 tu. Yaani sitaki umbali wa zaidi ya Km 20 kutoka kazini kwenda nyumbani...
  9. Fuqin

    Rangi gani inafaa kwa ukuta wa Fence?

    Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu... nimejenga fence nishapiga plasta bado rangi ... ambao mushajenga nipeni ushauri rangi ya kupaka ili ukuta uwe na muinekano mzuri na rangi isibambuke wala kupauka
  10. Fuqin

    Biashara ya Ice Cream Center

    Natumai mu wazima wadau, Katika pitapita zangu mitaani nimeona maduka yanauza Ice cream pamoja na snacks za kutafuna na unakuta pamejengwa mazingira mazuri kuna viti na meza nje watu wanatoka sehem mbalimbali wanakuja kuenjoy na familia zao. Mfano kuna magomeni Ice cream center na nyengine...
  11. Fuqin

    Nina tatizo la Moyo kwenda mbio baada ya kula

    Habari zenu wadau... natumai mupo wazima kabisaa... kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu ni kwamba mwaka wa 2 huu mimi nina tatizo la moyo kwenda mbio sana utadhani nimetoka kufukuzwa baada tu ya kula chakula mpaka kile chakula kisagike mpaka baada ya masaa 2 ndo moyo unatulia. Hasa...
  12. Fuqin

    Wapi nitapata cornflour (starch) ya 25 Kg?

    Watanzania wenzangu kuna bidhaa nataka kutengeneza ila inatakiwa corn flour bila ya hiyo kazi haiendi. Msaada ninapoweza kupata nipo Dar.
  13. Fuqin

    TARURA mnatuchosha madereva

    Mambo vipi wadau... Alhamis iliyopita nilienda mjini na gari wakaja watu wa tarura wakanipa risiti ya kulipia ilikuwa na control namba lakini cha ajabu mpaka leo imegoma kulipia kila nikiweka control namba naambiwa (control error) nikaenda kwa wakala kulipia kasema imegoma kuingia. kwahyo mimi...
  14. Fuqin

    Natengeneza tambi za dengu, Crips za muhogo na viazi

    Habari!! Mimi nimeamua kuwa mjasiriamali. Natengeneza TAMBI za dengu. Crips za viazi na muhogo na ndizi.. nauza kwa jumla 800 kwa pact na wewe utauza kwa 1000 pct. Kwa atakayetaka bidhaa awasiliane na Mimi PM. Na pia natoa ajira kwa vijana kwa atayetaka nitampa pact 30 akauze kwenye jam...
  15. Fuqin

    Pata faida 30,000 kwa siku kwa mtaji usiozidi laki 1

    Biashara ya kutembeza maandazi. Kilo 1 ya maandazi unapata faida 2000 yanatoka maandazi 40 unauza sh 100 kila andazi. Tafuta vijana 10 kila kijana mpe maandazi 120 yaani kilo 3. Hapo akiuza yote itapatikana faida ya 6000 utampa 3000 na 3000 yako. Imagine una vijana 10 tayari una 30000 kwa siku...
  16. Fuqin

    Nikinywa maji ya moto moyo unaenda mbio sana

    Wadau nipeni msaada, nini tatizo langu nikinywa maji vuguvugu ndo tatizo Hilo linaanza ila nikinywa maji ya kawaida Mambo yanaenda sawa tu.
  17. Fuqin

    Mtaalam wa magari pitia hapa

    Wiki 1 iliyopita nilitoka na family kutembea na gari yangu ni passo... Nina mtoto wa miaka 4 nikamuweka kwangu ninapoendesha wakati nipo kwenye mwendo kama speed 40 hivi akaja akaishika Gia akaipeleka kwenye R ... Gari haikusimama ila ilipungua mwendo kidogo na Mimi nikaiwahi nikairudisha kwenye...
  18. Fuqin

    Passo inakunywa wese sana

    Habari zenu. Nimenunua mpya showroom Passo ya cc 1000 ila inanishangaza unywaji wake wa mafuta ni mkubwa sana. Average yake katika screen inasoma 6.8 km/L nimeenda Posta na kurudi kama mara 3 hivi mafuta ya elfu 20 yameisha. Msaada itakuwa na tatizo gani maana nasikia Passo zinaenda 18 km/L...
  19. Fuqin

    Mazoezi haya yamenimaliza nguvu za kiume

    Habari zenu wadau. Mwanzo nilikuwa namwaga mapema ndani ya dakika 1 then naendelea tena kudoo bao la pili naenda hata lisaa lizima sijamwaga mpaka mwanamke anataka kukimbia. Sasa nikataka kusolve tatizo la kumwaga mapema liishe. Nikaingia Google nikaona zoezi hilo hapo pichani nikawa...
  20. Fuqin

    Kwanini Passo zinauzwa bei rahisi mitandaoni?

    Mambo vipi wadau. Leo nilienda showroom maeneo ya Magomeni kuangalia gari ya bei rahisi nikakuta Passo ni milioni 8.5 ndo bei rahisi zaidi. Sasa nikapita mitandaoni kuangalia bei za Passo Used nikaona mpaka milioni 5 unapata tena namba D. Sasa nataka kujua, kwanini wanauza bei rahisi...
Back
Top Bottom