Search results

  1. simtami

    Hongera uhuru kenyatta sasa tupe raha wa tz sisi ndugu zako ni kama yatima

    Najua mh uhuru kenyatta wewe umeshakuwa raisi sasa sisi nchi tulikokuwamo kwenye jumuia na majirani zako wa siku nyingi tanzania ni taifa la uchaguzi! Uchaguzi! Na uteuzi! Uteuzi! Tu kila siku tunawaza tumchague nani na tumteue ndio maana bado tunaunda tume hata juzi tumetoka kuunda tume ya...
  2. simtami

    Kwa Mhe. Waziri Mkuu Mizengo Pinda: Kitenisi kingine hicho, pangua!

    Sasa kila kitu bungeni akiwa anajibu waziri mkuu mawaziri wengine wanakazi gani?? Hio ni kazi ya waziri wa fedha ndugu. Ndio maana suala la madeni ya nje na kila kitu anahusika yeye. Waziri mkuu huja kuongeza tu kama kuna ulazima. Au la, subiri PM's question and answers time. Sijui kama unania...
  3. simtami

    Kwa Mhe. Waziri Mkuu Mizengo Pinda: Kitenisi kingine hicho, pangua!

    wale ni mawaziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu wanajibu kwa niaba ya waziri mkuu tu lakini swali linaelekezwa kwa WAZIRI MKUU ungejua hata raisi anaposhauriana na waziri mkuu uteuzi wa mawaziri huwa anamwonyesha wizara ambazo zitakuwa katika ofisi yake apendekeze nani atafanya nae kazi kwenye...
  4. simtami

    Wana Gangilonga mpo?

    nimefurahia sana hio list vipi na nyie SUNGU wa kitanzini aliwasumbua miaka yenu! mmenikumbusha tancut almasi mzee samweli sitta alikuwa anatoroka ikulu anakuja kwenye dansi,nimemkumbuka mzee malecela akiwa RC alimjibu katibu wa ccm mama chips alilalamika kuwa mtoto wa malecela marehemu hipi...
  5. simtami

    Nini kimeisibu Wizara ya Fedha? Malipo ya Dowans? Maadhimisho ya miaka 50 au ndio mdororo wa uchumi?

    GARBAGE IN GARBAGE OUT (GIGO) ! ujue hiyo!wizara ina walakini.
  6. simtami

    Mzungu Omba Omba ndani ya Dar

    atakuwa aliletwa na symbion kuja kusoma mita ya umeme watakaouzia tanzania sasa mpaka sasa hawajauza hata unit moja! Ungempelekea mh ngereja mwambie wawekezaji wako hawa na mama clinton
  7. simtami

    Mambo ya NAPE

    NAPE:Kikao kijacho CCM kuja na maamuzi mazito. - YouTube! mwambienieni NAPE ajue hiyo CCM ina walakini! kule kwetu ukienda kula wali kwenye arobaini ya marehemu usiemjua unakufa wewe hasa ukifika eneo la arobaini halafu ukaona hamna hata mtu mmoja unaefahamiana nae yupo hapo basi ujue siku...
  8. simtami

    CHADEMA na ofisi za biashara

    Nimepitia hapo ofisini nimemuuliza huyo mama anauza bei gani matikiti maji ? Akanijibu we chagua tu bure! Mbona mmezoea kuchagua mavichwa ya ccm haya ni yale yale toka uhuru mara mmechaguam=mkapa a=ally hassan mwinyi t=tulway sumaye i=ikaingia...
  9. simtami

    Advocate Mwakingwe hatunaye tena.

    mungu amlaze mahala pema peponi namkumbuka alikuwa diwani wa kwanza 1994 kushika kiti cha udiwani kata yaGANGILONGA kata ambayo IKULU ya mkuu wa mkoa ipo ndani yake kupitia chama cha NCCR mageuzi.alikuwa mwanamageuzi kweli hiyo kata mpaka sasa inaweza rudi upinzani kwani kuna uchaguzi mdogo tena...
  10. simtami

    Rare Pictures From My Personal Album!

    tutafutie picha ya DC wa igunga alivyokuwa anaapishwa na mkuu wa mkoa alishika kitabu gani biblia au quran itatusaidia leo kumaliza mzozo imani ya DC huyu ipo wapi?
  11. simtami

    Kabla ya mitandao

    ilikuwa issue kweli nakumbuka jamaa alikubaliana na binti aende usiku usawa wa chumba cha msichana halafu agonge ukuta na jiwe akisikia msichana atatoka bahati mbaya alivyogonga akawa akatoka babaake binti we acha tu! halafu ilikuwa mwingine mwizi wa mke wa jamaa fulani walikuwa namtindo...
  12. simtami

    Kiongozi HUYU hafai kuwa mwanasiasa

    MWANAID PAWA;2539828]Eti jamani mtu anapanda jukwaani na bastola . Huyu mtu hafai kuwa mwana-sihasa ! ALIAMBIWA KUWA MIKUTANO YA KAMPENI CCM INAHUDHURIWA NA WAPENZI WA CHADEMA ! ONA MWENZETU YULE KATEMBEA NA KABINTI KA KADA MWENZETU AKAKAPA NA 200,000/= ,TSHIRTS NA CD LAKINI KAKAMPIGIA SIMU...
  13. simtami

    50 People Who Are Screwing Up Tanzania

    mie kwa mtazamo wangu hawa wote na wengine wote wataojitokeza wanakamua maziwa ya n'gombe wetu (wanaiba kwenye serikali yetu) lakini siagi wanayotengeneza ni akili yao binafsi. Mtu mbaya kuliko wote ni katibu mkuu kiongozi philimon luhanjo ambaye anasimamia ajira ,mamlaka ya nidhamu za makatibu...
  14. simtami

    Rais Kikwete ateua wakuu wapya wa mikoa

    RAIS Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa nchini. Katika mabadiliko hayo, amewateua Wakuu wa Mikoa wapya 15, kuwabadilisha vituo vya kazi Wakuu wa Mikoa watano na wengine saba wamestaafu kwa mujibu wa taratibu. Mkuu wa Mkoa wa Singida amebaki kwenye kituo chake cha kazi HIZI...
  15. simtami

    Rais Kikwete ateua wakuu wapya wa mikoa

    Makabidhiano hayo lazima yahusishe pia kutembelea kwa pamoja baadhi ya maeneo na miradi ambayo ni muhimu kama sehemu ya makabidhiano yao. KAZI KWAKO MAMA MRISHO KABIDHI HUO MKOA WA PWANI NA USISAHAU KUMPELEKA NA PCCB NA OFISI ZA UPELELEZI AJUE KWAMBA MUDA WOTE ULIKUWA UNAPAMBANA NA WEZI WA MALI...
  16. simtami

    Rais Kikwete ateua wakuu wapya wa mikoa

    unajua baridi ya iringa huwa inafika mpaka -32 degrees centigrade!kwa hiyo lazima uweke mkuu wa mkoa anaeweza kupambana nayo.Sie wengine hatunywi pombe kutoa baridi
  17. simtami

    Hakika Lowassa ni mgeni wa sheria....

    mwambieni asitufanye wajinga !halafu anavyopenda sifa atakuwa alienda kuhani msiba na ma gum boot,huwa anatembea na gumboot kwenye gari akisikia kuna mafuriko anavaa anakwenda eneo la tukio. Hii ni mwanzo tu! mpeni nchi muone kituko kingine tena
  18. simtami

    Bw. Ludovick Utoh (CAG) uchunguzi wake ni kutaka kumfurahisha JK kama fadhila?

    nakumbuka kuna mtu tulikuwa na Canada Amerika alifanana jina kama huyu jamaa Ludovick Uttouh nakumbuka yeye alikuja pale ubalzini akaniambia anasoma kozi ya CERTIFIED INDUSTRIAL MANAGEMENT kwa kifupi ni CIMA ambayo inahusu mambo ya utawala wa viwanda ina maana amebobea katika kupanga nani afanye...
  19. simtami

    Nanyaro ahojiwa kwa saa kadhaa na polisi Arusha

    mara ya kwanza nilidhani wewe ni kati ya masheikh ubwabwa ulie bahatika kukaa PLOT namba 1, mwezi huu mtukufu!aha kumbe ni mlinzi huwa nakupita kila asubuhi kwenye hiki chumba mie nilikuwa sikuoni samahani sana kesho fagia fagia halafu uongeze na viti tunaanza na DJ(david jairo) asubuhi,mchana...
Back
Top Bottom