Search results

  1. M

    Hivi Tanzania, Kenya na Uganda ziliutoa wapi mfumo wa utawala wa Jamhuri?

    Mbona mtawala wao wa mwisho (Mwingereza) hakuwa/hana mfumo huo? Kwa nini hawakuiga mfumo wa kifalme?
  2. M

    Nafanyaje ili PC hii iweze kunipa huduma hii

    Nina Laptop mpya aina ya ACER EXTENSA 15. Ilikuja na Windows 11 nikaibadili kuwa Windows 10 Pro. Ninapenda kuscroll kwa kutumia vidole viwili badala ya kutumia Scroll bar lakini hii pc haikubali. Nimejaribu kuUpdate windows lakini hakuna mabadiliko. Nafanyaje ili pc hii iweze kunipa huduma...
  3. M

    Imekaaje wanaume tukashuhudie wake zetu jinsi wanavyojifungua!

    Je, mwanzilishi wa idea hii amechambua faida na hasara za utaratibu huu? Binafsi naona hii itawaathiri wanaume kisaikolojia wakikumbuka maumbile alivyoyaona wakati wa kujifungua na hii itaongeza tatizo la upungufu wa nguvu za kiume! Nini maoni yako?
  4. M

    Huu mwenendo una maana gani jamani?

    Demu alinivutia, nikamtokea akanitolea nje akisema ana mpenzi wake na anampenda sana. Kiufupi hawezi kumcheat na hawezi pia kunifanya mie mpango wake wa kando. Nikawa mpole, nikajikata kiaina. Mara paaap! Leo kanitext anaomba nimsaidie Tshs. 10,000 tu, amepungukiwa kwenye mishe zake. Mie...
  5. M

    Januari Swaga Katyega na Deogratias Mitima..., mko wapi?

    Jamani, nawatafuta maswahiba zangu hao wawili tulipotezana nao tangu 1990 baada ya kumaliza F4 pale St. Joseph's Junior Seminary - Ujiji. Kama wamo humu naomba wani pm au kama kuna mwenye fununu nao naomb please anitaarifu.
  6. M

    Mademu wa mjini... Aka, sioi mie!

    Bora nionekane mshamba. Demu wa town sioi mie! Hivi mnajua jamani wanawake wengi wa mjini mmepoteza mvuto wa kuolewa! Sababu nini mnajua? Mmepoteza sifa moja muhimu sana inayomvutia sana mwanaume ukiwa nayo, nayo ni AIBU. Hamna aibu tena. Demu wa kijijini ukimpiga songi anaandika chini kwadole...
  7. M

    Rangi ya ch*pi

    Ni chupi ya rangi gani unapenda mpenzi wako avae? Kwa nini?
  8. M

    Simu za mchina noma...!

    Simu za kichina sio simu kabisa aisee! Ya kwangu imeanguka kidogo tu basi camera imepasuka,redio imevunjika, credit zote zimemwagika, phonebook imechanika, picha zilizokuwemo zote zimepeperuka na watu kwenye facebook woote wamejeruhiwa!!
  9. M

    Thamani ya mwanamke ni nini?

    Hivi jamani, thamani ya mwanamke ni nini? Au kwa lugha rahisi ni nini kinamfanya mwanamke awakonge nyoyo wanaume mpaka wawe tayari kumpata kwa gharama yoyote? Hebu imagine, mwanamke awe mzuri sana eg. sura nzuri, umbo namba 8, chuchu dodo, sauti laini, tabia nzuri, nk lakini asiwe na "MBUNYE"...
  10. M

    Sherehe za CCM kufanyika Jumapili...

    Huku kitaa watu wanasema CCM walilazimika kufanya sherehe yao ya Kumbukumbu ya kuzaliwa Chama Jumapili Tar. 3 Febr badala ya 5 Febr ati sababu kwa jinsi chama kilivyopoteza mvuto, wangefanya leo tar 5 siku ya kazi wasingepata watu. Yana ukweli hayo?
  11. M

    Malezi ya Watoto.

    Heshima kwenu wanajamvi wote. Naomba maoni yenu kuhusu malezi ya aina hii. Mke wangu ananitia mashaka kwa jinsi anavyowatreat wanangu wawili ambao ni wake pia, matunda ya ndoa yetu. Hana simile, hana upole. Mtoto akikosea yeye ni kufoka, kutukana na kupiga tu. Hana muda wa kuongea na watoto...
  12. M

    Kuoa/kuoana

    hivi ni lipi sahihi hapa: mwanamme anamuoa mwanamke au wanaoana?
  13. M

    Ndoa zaidi ya ndoano!

    Heshima kwenu wana JF nyote. Ukweli nahitaji sana msaada wa mawazo yenu. Mimi nimeoa na nina watoto 2. Tatizo kubwa ni huyu mama-watoto wangu. Ukweli ananifanya niujutie uamuzi wangu wa kumwoa. Na hakika kama ningejua ndoa yangu ingekuwa hivi, kamwe nisingemuoa na pengine nisingeoa kabisa. Kwa...
  14. M

    Ngomaphobia...!

    Duh, jamani mwenzenu natatizwa kweli. Kila nikimmaind demu na kuanza mikakati ya kumtokea, mara linakuja wazo la ukimwi. Mnh, ghafla apetait inashuka mpaka -20 degrees. Mweee! Wenzangu yanawapataga haya na ni lini tatakula chakula hii freely bila woga?
  15. M

    Ngomaphobia...!

    Duh, mbona imekuwa tabu jamani! Mwenzenu kila nikimmaind demu na nikaanza mishe mishe ya kumtokea, nakumbuka ukimwi na hapo appetait hushuka ghafla mpaka 0 degree. Wenzangu yanawapata haya na ni lini tutafaidi chakula hii freely bila hofu?
  16. M

    Ngomaphobia...!

    Duh, mbona imekuwa tabu jamani! Mwenzenu kila nikimmaind demu na nikaanza mishe mishe ya kumtokea, nakumbuka ukimwi na hapo appetait hushuka ghafla mpaka 0 degree. Wenzangu yanawapata haya na ni lini tutafaidi chakula hii freely bila hofu?
  17. M

    Ushamba au...?

    Hivi ni ushamba wangu au ushorolilo wa hawa jamaa? Unakuta mtu anaongea na simu, namna alivyoweka simu sikioni ndivyo sivyo. Yani ameigeuza, sehemu ya nyuma ya simu ndio kaibandika sikioni, na si kwamba iko kwenye loudspeaker! NO. Imekaaje hii?
  18. M

    Nahitaji ka-demu ka kunichuna...!

    Mi ni mvulana, nahitaji ka demu ka kunichuna. Kawe kazuri ka wastani na kawe tayari kudo wakati wowote ninapokahitaji. Nitakagharimia kwa mahitaji yote yatakayokuwa ndani ya uwezo wangu. am serious. Aliyd tayari, please, PM me
  19. M

    Tanesco...Ewe Tanesco, NAKUCHUKIA SANA!

    Ukweli sina maneno laini yanayofaa kutumika kueleza hisia zangu dhidi ya shirika hili la umma! Ni lini yamepita japo masaa 12 mfululizo bila umeme kukatika? Sikumbuki. Leo tu wamekata na kuwasha mara 6 mchana na sasa hivi ni giza! Hawasemi kama kuna mgawo, marekebisho wala nini. Ni hujuma au...
  20. M

    ati miss wa mkoa gani?

Back
Top Bottom