Search results

  1. M

    Afrika Kusini kubadilisha Sheria ili kukwepa kumkamata Putin

    Mwanaume gani anayeogopa kuiface ICC!!
  2. M

    Huyu askari bado yupo kazini kweli?

    Hahahaha.....we jamaa feki kweli! Unalazimisha tu mpaka uiseme CDM, inahusikaje sasa hapa!!??
  3. M

    Anahitajika Matroni wa kukaa na wanafunzi hosteli

    Kazi hiyo inayobagua mpaka dini hapa Tanzania haifai. Waislamu mtaacha lini udini? Mbona wenzenu Wakristo wanaajiri kila mtu mwenye sifa bila kubagua dini?? Acheni hizo!!
  4. M

    Ni sahihi kwa mtoto kuona picha ya baba yake alipokuwa mtoto?

    Cha ajabu ni nini hapo? We unadhani huyo mtoto anaamini wewe baba ulizaliwa ukiwa mtu mzima?
  5. M

    Tabora: Oparesheni 255 yakumbushia Ripoti ya CAG. Wananchi Wabubujikwa na Machozi

    We mwepesi mno na maswali yako ndio basi kabisa!!! Damu ya kijani inakutesa!
  6. M

    Hii ndiyo sababu inayonifanya nisikutane na mwanaume hasa wa mkoani

    Hakika. Unaona humu anamkasirikia kila mtu wakati ngono walifanya wao, sisi hatukuwepo!!!
  7. M

    Hii ndiyo sababu inayonifanya nisikutane na mwanaume hasa wa mkoani

    Pisi kali ya wapi ndugu, pisi mbovu tu hii! Angekuwa pisi kali jamaa angeendelea kufaidi na wala asingekimbia! Pisi kali haijiuzagi. Inafuatwa, haijipeleki kudanga!
  8. M

    Hii ndiyo sababu inayonifanya nisikutane na mwanaume hasa wa mkoani

    Kumbe ndio maana ukaachwa kwenye mataa upambane na hali yako. Nani angevumilia mdomo mchafu kama huu! Hata hivyo mkaka wa watu muungwana sana mpaka kakuachia na laki kabisa na bado hushukuru!! Duh..,.. Mie ningekuachia deni zima ukomaenalo mwenyewe, na asali nishapakua! Hahahaha..... Badilika...
  9. M

    Hii ndiyo sababu inayonifanya nisikutane na mwanaume hasa wa mkoani

    Uwe mkweli tu, ww unajiuza. Tujue bei ili tuje kupata huduma fasta. Miezi ya baridi inakuja, unaweza kutufaa zmsana!
  10. M

    TANZIA Joel Misesemo afariki dunia kwa kujirusha kutoka ghorofani jengo la Derm eneo la Makumbusho, Dar

    Mnatuchanganya bwana. Mbona taarifa zingine zinasema alijirusha toka ghorofa ya 7 kwenye jengo lenye ghorofa 15? Nani mkweli sasa?
  11. M

    Magufuli ni miongoni mwa Wakristo wachache sana Duniani walioruhusiwa kuingia ndani ya Msikiti, mwingine ni Papa!

    Kwani kuna nini so special msikitini mpaka Magufuli aonekane kama alipendelewa hivi kuingia msiitini?
  12. M

    Tohara ya ring imeekaeje wakuu?

    Jinga kweli ww!!!
  13. M

    Inafikirisha: Miujiza ya Mchungaji Mwamposa

    Wajinga ndio waliwao.
  14. M

    Kuchelewa kuoa na kuwa na familia japo nimejipanga kiuchumi kwa 70%, mnahisi mimi mpumbavu?

    Mbona makasiriko, nini kimekusibu? Baba yako kakulaani??
  15. M

    Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya

    Hivi kinyume cha SINGLE MOTHER ni nini ? Au DOUBLE MOTHER?
  16. M

    Maalumu kwa ajili ya watumiaji wa mtandao wa Telegram

    Telegram mtandao wa wapenda porno tu!!!!
  17. M

    Zitto: Baadhi ya mitambo ya Vyombo vyetu vya na dola mlitumika kumchafua BM

    Kwa mawazo yako unadhani Zitto amekurupuka? Umekosea sana!
Back
Top Bottom