Search results

  1. M

    Kampuni ambayo RIdhiwani ni wakili imepewa kazi ya kuwa mawakili wa EWURA dhidi ya BP

    Wasalaam wandugu, Natumaini mnaendelea vyema na ujenzi wa taifa letu. Leo nilikuwa naperuzi mada moja inayohusu BP kufunguliwa mashitaka na EWURA. Lakini nilipoona habari hiyo kukawa na jina la GRK Advocates kama mawakili wa EWURA. Sasa nikaamua kuiperuza hiyo website ya hiyo advocate katika...
  2. M

    Ssra - social security regulatory authority vacancies

    Haya wadau wale wenye kuhitaji kazi kwenye mifuko ya hifadhi za jamii ,kazi zimetoka SSRA.japo nimeshindwa kuifungua unaweza angalia kwenye website yao www.ssra.go.tz kisha ingia upande wa employment.Nawatakieni kila la kheri.
  3. M

    Elections 2010 Kigoma: Majimbo matano yaenda upinzani!

    Hivi sasa niko kigoma mjini na matokeo ni kama ifuatavyo: Kigoma mjini : Chadema wameongoza kwa kura 400, serukamba wa ccm kagoma kusaini matokeo so wameomba recount na sasa kura zinahesabiwa, zitto yupo hapa kuweka mambo sawa. Ila so far chadema imeongoza. Kigoma kusini : Kafulila wa nccr...
  4. M

    Elections 2010 Elimu ya Mh. Abood (mgombea urais Znz) ina wasiwasi

    WAKUU KWANZA POLENI NA MIHANGAIKO YA KILA SIKU YA MAISHA. KATIKA PITAPITA ZANGU NIMEONA KUWA MH ABOOU AMBAYE NI NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA USHIRIKIANO WA AFRICA MASHARIKI AMEPATA MASTERS YA PUBLIC ADMINISTRATION, SOURCE - Parliament of Tanzania. SASA MKUU HUYU ANASEMA KUWA AMEMALIZA COURSE...
  5. M

    Kazi fbme bank jamani

    KWA KAZI ZA FBME BANK VISIT http://www.fbme.com/careers/
  6. M

    Kazi Zantel, various posts

    kuna kazi zantel, visit http://zantel.com/vacancies.html
  7. M

    Kazi tume ya ushindani (FCC)

    WAWEZA KUZIPATA HAPA PIA http://www.competition.or.tz/fcc_files/public/re_advert_for_counterfeits_director.pdf The Fair Competition Commission (FCC) invites applications from suitably qualified Tanzanian candidates to fill the post identified below. Applicants who had applied for the post...
  8. M

    Kazi tume ya kurekebisha sheria

    kazi jamani, kwa kuwa me si mjanja wa kucopy kwa ufanisi, waweza kuzipata hapa http://www.lrct.or.tz/Job%20Advertisement.pdf THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA LAW REFORM COMMISSION OF TANZANIA EMPLOYMENT OPPORTUNITIES The Law Reform Commission of Tanzania invites applications from...
  9. M

    Kazi Wizara ya maji

    Hizi hapa nyingine kwa wanaotakakuwa ma CEO. UNAWEZA PIA KUZIPATA http://maji.go.tz/userfiles/ddca(1).pdf THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF WATER & IRRIGATION EMPLOYMENT OPPORTUNITY THE DRILLING AND DAM CONSTRUCTION AGENCY (DDCA) 1.0 Introduction The Drilling and Dam...
  10. M

    Kazi wizara ya maji

    Nimejaribu kuicopy ila sina utundu sana wa mambo haya ya mtandao, but u can view it hapa http://maji.go.tz/userfiles/Tangazo(2).pdf THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF WATER AND IRRIGATION EMPLOYMENT OPPORTUNITIES The Permanent Secretary, Ministry of Water and Irrigation invites...
  11. M

    Harufu ya ufisadi Wizara ya Elimu enzi za Sitta

    Kwa maeneo ya Dar es salaam mi ni mkazi wa sinza, ila kuna siku jamaa yangu mmoja anayeishi maeneo ya masaki alitaka tukutane nami nikaitikia wito wake.Tulipanga na tukakutana Dids bar iliyopo oysterbay opossite Jackies bar. Bada ya kukaa kwa muda nilimwona anaingia mtu mmoja kwa jina la Ben...
  12. M

    Kikwete amteua Peter Noni Mkurugenzi mpya TIB!

    Jamani wana jamii wenzangu samahanini kwa kutokuwepo mtandaone kwa muda kidogo. Hivi ina maana Muungwana haoni kelele zote hizi wanazopigiwa hawa mafisadi.Yule aliyekuwa mkurugenzi BOT na aliyefacilitate wizi pale BOT kapewa ulaji bada ya kuiba BOT .Soma chini - JAMHURI YA...
  13. M

    Fununu: Mabadiliko Jumatano ya Baraza la Mawaziri

    Wana jf nimepata fununu kutoka kwenye vyombo vyangu vya habari nimepata tetesi kuwa huenda mabadiliko ya cabinet yakawa jumatano ya wiki ianzayo kesho,kisha nikaendelea kudadisi nikaja kupata tetesi kuwa mabadiliko hayo yatawakumba wengi ikiwemo mawaziri waandamizi,na katika kutafuta habari hapa...
  14. M

    Kikwete Atafanya Mabadiliko Karibuni

    [B][/B Ndugu wana jf kuna TETESI kuwa baada ya kuona hali ya hewa hapa nchini kwetu haindi vizuri,muungwana atafanya mabadiliko makubwa sana katika baraza lake la mawaziri,na zoezi hili linasemekana kufanyika moda wowote kuanzia sasa na kabla ya bunge la octoba,hasahasa atakaporudi kutoka italy...
Back
Top Bottom