Search results

  1. Mwl Philemon

    Ushabiki wa Simba na Yanga wageuka uadui

    Kwa yanayoendelea sasa kwenye mpira wetu ni ujinga na upumbavu mkubwa kuoneshwa na wapenda maendeleo ya michezo hususan huu mchezo pendwa wa mpira wa miguu. Ndani ya siku tatu kumekuwa na matukio yasiyo ya kuvutia kwa wanamichezo wa kweli. Lilianza la Ali kamwe kumshambulia kwa maneno ya kejeli...
  2. Mwl Philemon

    Soka letu kivyetuvyetu.

    Kocha mmoja kufundisha timu mbili ligi moja kwa wakati mmoja kivyetuvyetu. Timu kukosa golikipa na kumtumia mchezaji wa ndani kama kipa kivyetuvyetu. Kosa moja kutendwa na watu wawili wanaosimamia na mtu mmoja mwingine akaadhibiwa na mwingine kuachwa kivyetuvyetu. Halafu anakuja mtu mmoja...
  3. Mwl Philemon

    Tabia nne tunazopaswa kumuiga paka (Nyau)

    Paka ama nyau kama wengi tunavyo mtamba ni mnyama wa aina yake na ana sifa za kipekee sana hasa ukija kwenye suala la utafutaji au uchakalikaji kwa lugha zetu za mitaa. Mnyama huyu ambaye yupo katika makundi mawili yaani paka wa nyumbani na paka wa porini anaweza kutufunza mambo kadha wa kadha...
  4. Mwl Philemon

    Tabia tatu tunazopaswa kumuiga paka

    Paka ama nyau kama wengi tunavyo mtamba ni mnyama wa aina yake na ana sifa za kipekee sana hasa ukija kwenye suala la utafutaji au uchakalikaji kwa lugha zetu za mitaa. Mnyama huyu ambaye yupo katika makundi mawili yaani paka wa nyumbani na paka wa porini anaweza kutufunza mambo kadha wa kadha...
  5. Mwl Philemon

    Wanaokula mnofu wa Tanzania

    WANAOFAIDI KEKI YA TAIFA Na Thadei Ole Mushi. Kwa Mwezi anapokea Milioni 11,000,000 Kwa mwaka atapokea 132,000,000 Kwa miaka mitano atapokea Jumla 660,0000 Huu ni mshahara tu hujaweka kiinua Mgongo, bado Sitting allowance, bado Posho mbalimbali nk. Tuachane na mawaziri na manaibu waziri...
  6. Mwl Philemon

    Rekodi za us dongo zaijambisha simba kimataifa.

    Usifikiri wabongo wote wajinga. Zinatengenezwa tu. Nilikuwa namuonya mtu huko kwa kundi jamani.
  7. Mwl Philemon

    Taifa stars na Harambee stars kupanda ndege moja.

    Hili kundi haliwezi kutoa best loose. Wote wanarudi kuja kuwaangalia wenzao kwa televisheni.
  8. Mwl Philemon

    Opera news

    Hivi kuna haja ya kuwa na hiyo kitu inaitwa opera news kama una jamii forum? Maana habari zote za huko zinatoka jamii forum.
  9. Mwl Philemon

    Shamba bora kwa mazao bora.

    Habari zenu wana Jf. Nimekuwa nikijiuliza kwa nini mama anapewa sifa sana kuliko baba? Leo nimekuja na majibu ya shamba bora kwa mazao bora. Hapa nimetafakari sana nikagundua kuwa watu wote wanaweza kuwa na mbegu ila wachache sana wanaweza kuwa na shamba. Mbali na kuwa wachache lakini bado humo...
  10. Mwl Philemon

    Material ya open university.

    Kama kuna yeyote aliyesomea open university bachelor of education teacher educator (BED-TE) na ana material please nisaidie niendelee kupitia huku nikiandaa pesa ili niweze kujitafutia mwenyewe. Kiswahili na Kiingereza inahusika niko level one.
  11. Mwl Philemon

    Tetesi:  Nani adui wa elimu yetu?

    Kumekuwa na ongezeko la matamko na vitisho kwa walimu katika nyanja hii ya elimu. Lakini je tatizo ni mwalimu ndio maana elimu inashuka? Nafikiri jibu ni hapana. Kuna mambo mengi yasiyo tajwa juu ya tatizo hili. Kwa ukweli na uwazi haya ni baadhi ya mambo yanayopelekea kushuka kwa elimu katika...
  12. Mwl Philemon

    Kilimo cha ufuta.

    Anayejua kilimo cha ufuta hatua kwa hatua msaada tafadhali.
  13. Mwl Philemon

    Kibaja(Lusinde): Upo tayari kuachia ubunge jimbo la Mtera?

    Mungu linda taifa letu tuodoe kwenye msongo wa mawazo na hofu juu ya #COVID-19, Amen. Watanzania tusisahau baada ya vipimo mbalimbali kuonesha ubora na udhaifu wa viongozi tuliowachagua mwaka 2015. Huu ni mwaka mwingine wa kutumia nafasi zetu vyema kwa maendeleo ya taifa na watu wake. Tukachague...
  14. Mwl Philemon

    Maajabu ya watumishi wa Tanzania

    Hivi sisi watumishi wa umma tupo kwenye daraja gani? Hata haki zetu hatujui tuko kundi gani? Anayetuthamini hatumuungi anayetusaliti hatuwezi sisi wa nini? Acha 25% ifanye kazi tu. Hatuna maana kabisa. Hata salary nayo tupeni 50%hatujui kujitetea wala kudai. Bora nchi ijengwe ila sio sisi tusio...
Back
Top Bottom