Search results

  1. JBravo_Bmlo

    Je, Hii Afrika Ni Yetu Kweli?...

    Kulingana na Ukandamizwaji wa kikoloni uliopita miaka ile, nina mashaka hii Afrika bado sio yetu... Angalia Namna Rasilimali za Afrika zinavyohujumiwa tena in a good, smart and soft language na Bado hatuna jeuri ya kuzuia badala yake tunamulika tu mambo ya kihamiaji, mipaka na kubaguana huku...
  2. JBravo_Bmlo

    CHADEMA inakubalika sana Biharamulo!! Usipime

    Siwasemei isipokuwa Angalia hata Mbenge wa Biharamulo ni chama gani? na Fuatilia Historia Uone kisiasa Biharamulo imekaaje!!!
  3. JBravo_Bmlo

    To be honest, I love Gadaffi...

    Asante Kaka, Umenishika kwelikweli.... Big Up!! Mungu awe mlinzi wake hasa kivita na hata akishindwa au akishinda, namuombea ushindi natamani sana Mungu angeeshuka LIBYA, Mungu anafanya mzaha sana Mtu km Gaddafi Mungu alipaswa ampe ulinzi na kuuonesha Ulimwengu kwamba anaweza live, nadhani...
  4. JBravo_Bmlo

    Waislam Dodoma watoa Tamko kumwombea mwislam mwenzao Gaddafi

    Nakupa Pole sana, Right Ungejua Chimbuko la kiswahili lilikotoka, basi sheria na sharia ungechanganua weak curiosity!!
  5. JBravo_Bmlo

    Waislam Dodoma watoa Tamko kumwombea mwislam mwenzao Gaddafi

    Ewe Kiumbe uliyeumbwa Kutokana na Majimaji yatokayo kwa mwanume kisha yakaa ndani ya mwanamke miezi kadhaa, na bado usishangae hayo yawezeshwa na nani? Hakika uko ktk hasara kubwa... Wa Kumponda Allah uwe weye? Hujui usemalo nakuombea Allah Akuondolee utando km siku ile ulipozaliwa..... ALLAHU...
  6. JBravo_Bmlo

    Waislam Dodoma watoa Tamko kumwombea mwislam mwenzao Gaddafi

    Nakuunga Mkono na waeleze wagumu wa kubadilika, Mbona kwa mitume wengine walikubali mabadiliko? iweje kwa Muhamad(S.A.W) wawe na vichwa maji? Hakika Ilsam ndo din ya haki na Ulinmwengu mzima, Allahu Akbar!!
  7. JBravo_Bmlo

    Waislam Dodoma watoa Tamko kumwombea mwislam mwenzao Gaddafi

    Hakika Naungana nao bega kwa bega, tumuombeeni Gadafi Jamani... Eee Mola Shuka Uwainue watu kama Gadafi, Hebu kwa machahe sana aliyofanya kwa ajiri yako Allah, basi Mnusuru na awashinde Adui wa Uislamu na Maendeleo ya Libya. Usifumbe macho Ewe Mola Muumba wa Mbingu na Ardhi, Gadafi katumia...
  8. JBravo_Bmlo

    CHADEMA inakubalika sana Biharamulo!! Usipime

    Kulingana na Mapenzi ya WanaBiharamulo, wanazipenda sana sera za CHADEMA hasa ukizingatia ni mambo mangapi ambayo CHADEMA wameyamulika na hivyo kuleta msisimko kwa wananchi na kuwaamsha akili. Huu ni Mtizamo wangu na kwa jinsi niyaonavyo mambo hapa Biharamulo, Kuna Mtu mmoja nimekutana naye...
  9. JBravo_Bmlo

    Mapenzi ya dhati yakoje? Yanafananaje?

    Mapenzi ya dhati hupatika pale ambapo Wapenzi hupendana bila masharti wala vigezo. Hii ina maanisha kwamba pesa, mali, uzuri havina nafasi. Pili Mapenzi ya dhati hupatikana pale ambapo wapenzi wamechukua muda kufahamiana vyema na sio haraka km inavyokuwa kwa wapenzi wengi wa siku hizi, hapa...
Back
Top Bottom