Search results

  1. D

    TPA: Serikali haijaipa DP World Kandarasi ya undeshaji Bandari ya Dar es Salaam kwa Miaka 100

    Kwenye miradi mikubwa ya kuleta mageuzi ya uchumi na maendeleo ya Tanzania, JPM alikuwa very ruthless kuhakikisha kuwa wasaliti wanashughulikiwa Hawa vibaraka wakiachiwa wanaweza kuvuruga nchi kwa manufaa ya mataifa ya nje Hii ni vita ya uchumi
  2. D

    January Makamba amepeleka wapi mabilioni ya pesa za ruzuku ya mafuta? Amchonganisha Rais na wananchi

    January Makamba amepeleka wapi mabilioni ya pesa za ruzuku ya mafuta? Amchonganisha Rais na wananchi Rais Samia Suluhu Hassan alimuagiza Waziri wa Nishati, January Makamba, kuweka ruzuku ya mafuta kiasi cha shilingi Bilioni 100 kwa mwezi ili kutoa ahueni kwa wananchi kwenye bei ya mafuta na...
  3. D

    January Makamba anamfanyia hujuma Rais Samia

    Ndiyo maana Magufuli alimuweka kando kwenye Serikali yake huyu
  4. D

    Vodacom Tanzania MD Rene Meza resigns over $350 million scandal

    Hii nchi yetu jinsi rushwa ilivyotawala kwenye viongozi wa serikali kuu na polisi, hata siku moja huwezi kusikia mafisadi papa wa nchi hii wakafikishwa mahakamani. Mengi alipiga kelele akachemsha, akaamua apunguze stress kwa kulea mapacha. Mpaka mwisho wa dunia kama mfumo huu wa rushwa wa...
  5. D

    Kampuni ya kigeni ya Security Group inavyokwepa kodi Tanzania

    Mkuu hapo nakuunga mkono asilimia 100!
  6. D

    Kampuni ya kigeni ya Security Group inavyokwepa kodi Tanzania

    Shughuli za makampuni ya ulinzi zinatakiwa kuchunguzwa kwa umakini mkubwa na serikali, kwani hawa ni sawa na jeshi binafsi la polisi lenye silaha zake. Sasa kama wanaachiwa wafanye madudu waziwazi tu hivi ujue kuna mambo makubwa zaidi yanaendelea. Usalama wa nchi uko hatarini!
  7. D

    Magazeti yanayomsafisha Lowassa haya hapa!

    Watu wengi hawaelewi jinsi media inavyotumika kutengeneza public perception on something. Professional mass communicators wanajua jinsi media inavyoweza kutumiwa kwenye misinformation ii ku-influence jamii in a particular way. Fisadi Lowassa anajaribu sana kutumia media ionekane kuwa vita ya...
  8. D

    Magazeti yanayomsafisha Lowassa haya hapa!

    Tutakufata huko misituni tuikomboe nchi yetu, haiwezekani tukatawaliwa na fisadi mkubwa kama yeye ambaye dunia nzima inamjua kwa uhalifu wake. TBC kwa muda mrefu sasa wamekuwa wakitumika kumpa Lowassa airtime kubwa sana kwenye TV hii inayoendeshwa na pesa za walipa kodi kwa lengo la kumsafisha...
  9. D

    Magazeti yanayomsafisha Lowassa haya hapa!

    Asante kwa kuweka mambo wazi, watetezi wa fisadi Lowassa wote wamefyata sasa. Huyu mpenda mali za wizi ni lazima afikishwe mahakamani haraka aache kuivuruga hii nchi yetu ya amani na utulivu.
  10. D

    Magazeti yanayomsafisha Lowassa haya hapa!

    Kama walivyosema wengine, dawa ya Lowassa ni ndogo tu... Apelekwe mahakamani haraka kujibu tuhuma za abuse of public office kuhusu Richmond na unexplained wealth kutokana na utajiri mkubwa alionao wa mashaka kulingana na mapato yake halali kama kiongozi wa umma. Hachomoi hapo, lazima aishie...
  11. D

    Magazeti yanayomsafisha Lowassa haya hapa!

    Ndio maana Benjamin Mkapa (Rais wa ukweli) aliwahi kusema kuwa waandishi wa habari wa Tanzania ni UCHWARA. Hao kina Kubenea am bao baadhi ya wana JF waliogizani bado wanamuona ni shujaa wao, ni watu wenye roho nyepesi kama kuku. Wote wamefika bei kwa mafisadi. Hii siyo siri, ni jambo...
  12. D

    Samwel Sitta ashangiliwa sana UDSM

    Wanafiki ni wale viongozi ndani ya serikali wanaolalamika chini kwa chini. SAMUEL SITTA ni mtu aliye straightfoward -- haogopi mtu, na daima anasema ukweli kila wakati bila kujali vitisho. Tanzania inahitaji sana viongozi kama yeye.
  13. D

    Mwananchi, Nipashe, Guardian, Mtanzania wazima habari ya Wikileaks!

    Magazeti "huru" ya kila siku, ikiwemo Mwananchi, Nipashe, Guardian, Mtanzania leo yamepuuzia habari ya Wikileaks kuhusu tuhuma za Rais Kikwete kupewa rushwa na mfanyabiashara wa Dubai anayemiliki hoteli za Kilimanjaro. Je, huu ni uzalendo? Self sensorship, kutishwa wasiendike au kujipendekeza...
Back
Top Bottom