Habari,
Binafsi nimekua nikichukizwa sana na hili suala la mgao wa umeme wadau, wakati fulani kisingizio kilikuwa ni upungufu wa maji sababu ya ukame, ila hata baada ya kushuhudia wiki kadhaa za kiwango cha juu cha mvua mfululizo bado suala la magao wa umeme limeendelea, najaribu kujiuliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.