Search results

  1. M

    Simba Day bila umeme

    Nashangaa Tanzania nchi yangu leo ni siku kubwa ya Simba Day na siku kubwa ya Nanenane lakini umeme hakuna hivi tunalipia Luku ili iweje maeneo ya Mbagala umeme hakuna waziri mwenye mamlaka leo ni siku kubwa nchini bila umeme, kazi iendelee [emoji375]
  2. M

    Leo ndiyo ufafanuzi wa Serikali kuhusu nyongeza ya 23% ya mwezi Julai, 2022

    Leo ndiyo ufafanuzi wa serikali kuhusu 23% ya mwezi July nangoja nione watasema nini maana nilikuwa na tumaini na mama anatulea kumbe mama naye katuchoka mapema. Mungu tusimamie watumishi kikombe kigumu kwetu[emoji120]
  3. M

    UHAMISHO WA NDANI YA MKOA

    Nisaidieni jamani mtu akitaka uhamisho wa ndani ya mkoa yaani wilaya moja kwenda nyingine inachukua muda gani adi upate kuhama?
Back
Top Bottom