Search results

  1. Uncle dan

    Gabon maisha ya kazi kwa wageni yamekaaje?

    Wenye kuifahamu GABON naomba mnihelewesha kuhusu nchi hiyo na mazingira ya kazi kwa wageni.nsje nkaingia choo cha kike
  2. Uncle dan

    Mwenye kuijua anitajie tafadhari

    Wanajamii naombeni mnitajie (website ya Tanzania board of procurement and supplies) kwa wanaoijua tafadhari ASANTENI
  3. Uncle dan

    Kiwango cha mkopo ni kwa mwaka au miaka yote

    waliopata 100% ni wacourse za uwalimu wa sayansi na mathematic pamoja wacourse za udaktar na uhuguz ,course nyingine 50%
  4. Uncle dan

    Tigo

    Unapeleka TIGO au nimekosea,ungepeleka tigo makao makuu.
  5. Uncle dan

    Upatikanaji wa kazi airtel na vodacom

    Hata mimi sijawai kusikia wakitangaza nafasi za kazi
  6. Uncle dan

    Upatikanaji wa kazi airtel na vodacom

    Naomba mnifaamishi jinsi ya kupata kazi katika makampuni haya mawili kama una diploma ya manunuzi na usambazaji.asanteni
  7. Uncle dan

    Course ya procurement and supply na soko la ajira.

    Wana jamii naomba mnifahamishi juu ya upatikanaji wa kazi endapo utakuwa umesomea BPS/DPS (BACHELOR IN PROCUREMENT AND SUPLLY OR DIPLOMA IN PROCUREMENT AND SUPPLY) kwa hapa TZ na nimashirika yapi ya nahitaji watu kama hawa,naomba ushirikiano wenu.
Back
Top Bottom