Search results

  1. Biohazard

    Uchaguzi Ukraine ni mwakani, Zelensky atawaambia nini wapiga kura wake?

    Hivi unafikiliq kutumia nini? Hujui nchi ikiwa kwenye state of emmergence haiwezekani kufanya uchaguzi? Utafanyaje uchaguzi nchi ipo vitani?
  2. Biohazard

    Simu janja kutoka nchini China zachochea ukuaji wa uchumi wa kidijitali Afrika

    Kwa hisani ya Watu Wamarekani sababu ndo Wanawauzia Operating System ya Android pamoja na apps nyingi zipo chini ya Google.
  3. Biohazard

    Nilimeza dawa za Malaria nikachubuka Uume na Midomo. Je, Serikali inafahamu kuhusu haya Mambo?

    Mwamba una Gono wewe mambo ya kusingizia umechubuliwa uume na kutoka usaha ni matokeo ya magonjwa ya zinaa. Kwenye kuchubuka mdomo naweza nikakuelewa
  4. Biohazard

    AUDIO: Hili ni tatizo gani kwenye engine?

    Sawa umeweka plug mpya, Je walicheck hizo coil za plug?
  5. Biohazard

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Naomba Mkeka kama huu wa Samsung TV ili nijilipue
  6. Biohazard

    Tetesi: Yawezekana hiki ndio kilichopelekea Kinana alalamikie Traffic

    Barabara ina matuta kila center ya kijiji au mtaa how comes inawa risk?
  7. Biohazard

    China yatoa tahadhali

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Moderator asafali/tafadhali/tahadhari nk Naomba usaidie kubadili title ya mwamba... Nashindwa kujua anatoka mkoa gani. Yote heri cha muhimu ujumbe umefika. Shout out to team Putin wa Manzese
  8. Biohazard

    Natafuta Engine ya boat (Yamaha 15hp outboard)

    Hapa ndo umeongea maana nilitaka nikwambie uende slip way nikasita sababu sikujua upo mkoa gani. Kwa Mwanza ni changamoto aisee, sina idea ya sehemu wanauza ila zamani kulikua na duka la engine barabara ya Makongoro karibu na taa za pale Nela Street mchepuko wa kwenda Mwaloni. Ni duka la...
  9. Biohazard

    Natafuta Engine ya boat (Yamaha 15hp outboard)

    Upo mkoa gani tukuelekeze urahisi?
  10. Biohazard

    Chimbo la kupata vifaa vya simu- Kariakoo

    Mwamba wewe naona unajieleza sana, na inaonekana wewe ni tapeli kabisa. Toka lini biashara ikafichwa inbox? Kama una legal business iweke hapa otherwise wewe ni tapeli wa mtandao kama matapeli wengine
  11. Biohazard

    Chimbo la kupata vifaa vya simu- Kariakoo

    Mtu anataka mzigo kariakoo wewe unaleta habari za Dubai. Kama una biashara halali ya kuagiza mizigo Dubai si uweke hapa hadharani watu waone? Mzee baba nenda Mtaa wa Agrey Kariakoo uliza duka lolote wakuelekeze maduka ya jumla ya vifaa vya simu, watakuonyesha bila shida. Usiulize mafundi wala...
  12. Biohazard

    Je, wajua kwamba kunguni wanasumbuwa Ulaya na Marekani? Kama na wewe unasumbuliwa na kunguni hii ndio sumu kiboko yao

    Naomba unitajie Viambata vilivyomo kwenye hiyo Dawa Ya Kunguni (Nuvan 500 EC) Tafadhali
  13. Biohazard

    Landrover Discovery na Majanga ya Moto

    Una Nyota ya Moto wewe, Sio bure, haiwezekani ukutane na gari 6 zikiungua kwa kipindi cha miezi 9. Hiyo sio kawaida hata kidogo
  14. Biohazard

    Hata Simba wakizidi Mbugani hupunguzwa, Wamaasai wa Ngorongoro wapunguzwe na iundwe sheria

    Nakubaliana na wewe kwenye jamii ya kimasai lakini Binadamu ndo mharibifu mkubwa wa Nature, Lazima population ya watu na wanyama iwe controlled na watu wafikie makubaliano ya pamoja otherwise Ngorongoro haita exist Tena
  15. Biohazard

    Hata Simba wakizidi Mbugani hupunguzwa, Wamaasai wa Ngorongoro wapunguzwe na iundwe sheria

    Acha upopoma wewe jamaa, wapi wanafanya hivyo? Tofautisha kati ya National Park, Game Reserve na Protected Areas. Halafu ujue ni wapi wanafanya Trophie Hunting na wanyama wanotumika kama bait ni Nyati, Nyumbu na Swala
  16. Biohazard

    Hata Simba wakizidi Mbugani hupunguzwa, Wamaasai wa Ngorongoro wapunguzwe na iundwe sheria

    Hiv una Elimu ya Uhifadhi Kweli? Yani watu tunafikiria Simba awekwe kwenye Endangered Species sababu wanapungua kwa kasi sana Tanzania na Duniani. Wewe unasema hata Simba na fisi wanauawa wakizidi. Hakuna kitu kama hicho kwenye Eco System, Simba atakufa natural death au atauawa na myama...
  17. Biohazard

    Bodaboda wamegeuka kuwa wezi na vibaka

    Kuna swali unaulizwa na wadau ili wajifunze kitu lakini unalikwepa. Je Hiyo Bodaboda alipandia Kijiweni au ilikua inapita barabarani mkasimamisha? Na kama ni kijiweni je ni kijiwe gani ili watu wakikwepe wanapokua maeneo hayo? Asante
  18. Biohazard

    Toyota Rumion 2008 vs 2010; nichukue ipi wakuu?

    Kuhusiana na hizo gari mbili kama ulivyouliza ni bora uchukue toleo jipya, Ila naomba nieleze waziwazi hiyo dhambi ya kukushauri ununue Rumion mie sijashiriki. Asante
  19. Biohazard

    Toyota Rumion 2008 vs 2010; nichukue ipi wakuu?

    H Hizi Gari Bumper zake zipo chini sana utafikiri ni feeders, Nikushauri kama wewe sio bitoz, tafuta gari nyingine ambayo haina bumper hizo kama Toyota Allex au Runnx. Nakuhakikishia hiyo gari ukichukua, itachakaa ndani ya mwaka mmoja sababu ya mabarabara yetu kwa kuchubua bumber lako hilo la...
Back
Top Bottom