Search results

  1. K

    Wabunge wa CHADEMA tuachane na Bunge tuungane Arusha

    Mwambieni Shibuda aache posho aje huko.
  2. K

    Mapinduzi hayaletwi na watu wanaofurahia viyoyozi maofisini; ni hao walala hoi tunaowaona mitaani

    We Everybody nashukuru everybody can understand why u are verybody and everybody can think different! Walalahoi kama ulivyowaita ni kweli ndo wenye kuleta mabadiliko kama ilivyotokea Kenya na nchi zingine kama Libya, but try to think critically hawa watu ni very easy kuwashawishi kuingia...
  3. K

    Libyan Lebels ni sawa na CHADEMA nchini, tukiwachekea watatuletea maafa!

    Hivi CHADEMA nje ya kufikisha mafisadi mahakamani na kutoa posho ambazo hata wao bado wanazitamani,na uongo wa kusomesha watoto bure kitu ambacho hawawezi ni longolongo tu, ni muujiza gani watafanya?
  4. K

    Libyan Lebels ni sawa na CHADEMA nchini, tukiwachekea watatuletea maafa!

    Peoples power means democratic changing of regime failed, slogan shows that if we fail democratically we can use our hands to change the regime! Hawa cdm is very true ni kama Libya rebels, tukiwaendekeza watatuletea maafa, hawafai hata kidogo! Na ukiwatazama deeply most of them wananjaa kali na...
  5. K

    Hamis Kigwangalla amjibu Bashe kuhusu CCM kujifunza kwa Zambia

    Dr Kigwa please tumikia wananchi wa jimbo lako achana na marumbano ya akina Bashe, mi binafsi nakuchukulia kama ni mtu wa kubebwa tu! Bila God father usingekuwa hapo! Bashe can fight on his own japo ana maadui wengi, nakumbuka hata kwenye uchaguzi NEC mi ni mjumbe nilikuwepo alichofanyiwa...
  6. K

    Ikulu vs Gazeti la Mwananchi: JK akana kuwasamehe waliomuua Lut Jen Kombe

    Kwa uwelewa wangu hawa jamaa walitekeleza amri toka juu na kitendo cha kukaa jela ni kwamba walisalitiwa na waliowatuma, it means kuna kitu kilikosewa na hao viongozi wa juu, in short kifo cha Kombe was planned, ikulu msidhani watanzania bado ni wajinga! Hizo statement fupi with a lot of pumbas...
  7. K

    Mkoa mpya Simiyu: Wananchi kuweka kando tofauti za kisiasa kwa kudai haki yao

    <br /> <br /> Kweli serikali ya JK imelogwa! Swala la mkoa wa simiyu umeenzania kwenye kuchakachua jina la mkoa, badala ya kuita mkoa wa MASWA ukaitwa simiyu, afu vikao vilifanyika na wajumbe toka Maswa ni pamoja na mkuu wa wilaya ya Maswa kepten wa jeshi mstaafu na mkuu wa mkoa wa shinyanga...
  8. K

    CCM maji shingoni Igunga

    <br /> <br />
  9. K

    Kadhia ya VODACOM na Utaifa wetu: LUNDENGA Kufungwa Kengele Rasmi

    Kuanzia siku ile ya Miss Vodacom, nimejitoa kwenye mtandao wao! Wamepoteza good social image! Hakuna maana yoyote ya kuonyesha corporate social responsibility kwa kugopa hasara ya kukodi ukumbi na vipodozi, wangekubali kupata hasara hiyo but in other side they could show their social concern na...
  10. K

    Zitto Kabwe aomba Bunge lisimamishe shughuli zote juu ya Jairo!

    Wabunge naomba muondoe kabisa uchama ndani ya bunge na muwe kitu kimoja kuondoa udhalilishaji wa bunge na kuburuzwa na watendaji wa serikali, mi binafsi ni mwana CCM na mbishi kutetea chama changu ila kwa hili siko pamoja na mwenyekiti wangu na ninakubali kweli nchi inaendeshwa kisanii! Pamoja...
  11. K

    Hii Ya Katibu wa Mbunge Lema Imekaaje?

    Tatizo cdm mnatetea hata visivyotetewa kisa ni mtu wa cdm, inawezekana kabisa hata huyo Lema ni jambazi mi naamini na kama sio basi aende mahakamani kudai fidia hata ya shilingi moja kwa kuchafuliwa na Zombe! khaa! na kama ni majambazi wao sio cdm! kwani CCM wote ni mafisadi? mi sipendi kutetea...
Back
Top Bottom