Kwa mpira wa jana Simba dhidi ya Singida nashawishika kusema TFF hawana budi kuchunguza Mechi zote ambazo simba Wanacheza.
Inawezekana ndio mpango wa maboss wao kuwarubini Waamuzi ili wapate matokeo. Haiwezekani mechi zaidi ya 5 waamuzi Wanaochezesha mechi za Simba kufungiwa/ kulaumiwa
Kibaya...
Tanzania na Kenya zimefanikiwa kuwa na Vyuo vikuu bora katika maswala ya kilimo Afrika.
1. Kenya- Egerton University; Jomo Kenyata University of Agriculture & Technology
2. Tanzania- Sokoine University of Agriculture
Sasa baada ya Kenya kuruhusu matumizi ya mbegu za GMO, wasomi kutoka Vyuo...
Viongozi wa dini hasa dini za Kikristo mnaombwa kuwakumbusha viongozi wa kisiasa kuheshimu Mimbari wakati wa ibada.
Mimbari ni sehemu ambayo Walawi wanaruhusiwa kufanya Ibada na matamko yao kama walivyoamrishwa na Mwenyezi Mungu.
Waislamu wenyewe hili lipo wazi Masheikh ndio huruhusiwa...
Kuna msemo wa Kiswahili usemao Rafiki/ Jirani wa kweli utamjua wakati wa shida. Tanzania imekua nchi ya kwanza kwa kuondokewa na Rais wake kipenzi aliyekuwa madarakani. DKT. JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI.
Ukweli ktk msiba huu nimeamini Nchi za Kenya na Uganda ndio jirani na rafiki wa kweli wa...
Namibia has been ranked as the country with the best roads in Africa for the fifth consecutive year.
=====
For the fifth consecutive year Namibia has retained its position at the top of the list of the best roads on the African continent.
According to the World Economic Forum’s (WEF) Global...
Ni muda muafaka kwa Waajiri na Makampuni binafsi kutoa mrejesho kwa Wanafunzi wa Vyuo gani Wanafanya Vizuri katika Maeneo yao ya kazi. Pia tunaomba watoe mrejesho ni maeneo gani ambayo yana upungufu mkubwa wa Wataalam wa Fani husika.
Nikimaanisha kuna Position inabidi Human Resource Officers...
Kenya imezungukwa na nchi nyingi
1. Somalia
2. South Sudan
3. Uganda
4. Tanzania
5. Rwanda
Kati ya nchi hizo ni nchi gani ambayo Wakenya wapo na Ujirani + Undugu mkubwa nayo?
Uchumi wa Tanzania unakuwa kwa kasi kuliko nchi zote za Afrika Mashariki. Huduma za kijamii zikiendelea kuboreshwa. Majengo ya kisasa yanazidi kuota kama Uyoga katika miji mikubwa ikiwemo Dar es Salaam.
Kenya’s status as East Africa’s economic powerhouse is at stake as Tanzania races closely behind, with a higher growth rate that is increasingly narrowing the gap between the two economies.
Tanzania has added impetus to its economic firepower, growing by an impressive seven per cent over the...
=======
Dar es Salaam. Tanzania has produced two companies on the list of Africa’s 100 most valuable firms. South Africa-based African Business disclosed in a ranking of the continent’s top 250 firms that TBL Plc and Vodacom Tanzania Plc are the two most valuable firms in the country. At the...
Wakuu naomba kuuliza. Hivi TFF hawaoni madudu yanayoendelea katika League ya Mpira wa Miguu Tanzania?
Timu zinapewa ushindi kwa makosa ya wazi.
Wachezaji kuwa offside. Muda wa nyongeza kuzidishwa ili kufanikisha ushindi wa timu husika. Hii ni hatari kwa Mustakabali wa mpira wa Tanzania...
Inasikitisha kuona Tanzania inashindwa kufanya vizuri Katika sekta ya michezo.
Ingawa Watanzania wengi ni wapenda michezo. Rais Mstaafu mhe. Ali Hassani Mwinyi alifikia kusema "Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu hii ni kutokana na uchungu wa nchi yake". Ni kipindi cha Mh. Mkapa alijenga uwanja...
Ni wakati umefika kwa Tanzania kuwalipa Walimu wa Science na masomo ya Hesabu Maradufu kuliko Walimu wa masomo ya Lugha na Arts.
Hii ni kutokana na Ugumu + Msuli unaotumika kusoma hayo masomo kuliko Masomo ya Sanaa.
1. Miaka ya nyuma Serikali ya Mh. Mwinyi ilikua inatoa Malipo ya ziada kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.