Search results

  1. E

    Nimetumia bajet ya TSH.11,000 kumnunulia mrembo zawad naamini atazipenda...

    Mimi naamini kinacho-matter siyo status ya mtu anayetoa wala anayepokea zawadi bali kile kilichomo ndani ya moyo wa mtowaji ambacho kimemsukuma kutoa zawadi husika bila kujali thamani yake ya kifedha. Mtu yule atoaye zawadi yenye thamani ya shilingi elfu moja kwa upendo wa dhati yu bora zaidi...
  2. E

    Serikali: Thamani ya shilingi ya Tanzania yazidi kuimarika moja ya sababu ni matumizi ya gesi asilia

    Thamani ya shilingi ya Tanzania imeendelea kuimarika na katika kipindi kinachoishia Aprili 2019, Dola moja ya Marekani ilibadilishwa kwa wastani wa Tsh. 2,300.9 ikilinganishwa na Tsh. 2,270.3 katika kipindi kama hicho mwaka 2018. Hayo maelezo[emoji115][emoji115] kama hayajakosewa basi...
  3. E

    Mchele Super wa Mbeya kwa bei rahisi sana

    Shukrani, natumaini tutafanya biashara nzuri na sintojutia uamuzi wangu wa kununua bidhaa hiyo kutoka kwako Mkuu.
  4. E

    Mchele Super wa Mbeya kwa bei rahisi sana

    Mkuu, kwa wastani mzigo unatumia siku ngapi mpaka kufika Mwanza? Mimi pia nahitaji kilogramu 30.
  5. E

    Klabu bingwa Afrika: Simba SC 1-0 Al Ahly

    SIMBA SPORTS CLUB - NGUVU MOJA Sent using Jamii Forums mobile app
  6. E

    Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

    Kwa wale ndugu wa Mwanza, wanaweza kwenda Mkafaida Farm / Kwa Kipipa - Kiseke PPF. Kitimoto yao iko vizuri.
Back
Top Bottom