Search results

  1. Baba Nla

    Msaada wa mawasiliano ya simu na gazeti lolote la Tanzania

    Wakuu, poleni na Lockdown ya mtandao hope watarudisha baada ya wanachokitaka kutimia. Ninataka kuweka tangazo katika moja ya gazeti hapa nchini, hii ikiwa ni hatua ya pili katika jambo ninalolifuatilia, ni hatua ya lazima kwamba tangazo lazima liwepo kwenye gazeti then utaratibu mwingine...
  2. Baba Nla

    Natafuta msambazaji wa Take Away Food Disposable Containers

    Habarini za kazi wakuu ! Nimekua nikifanya kazi kwa muda mfupi kwenye mgahawa wa wazazi wangu kwa kusimamia wafanyakazi pindi wao wanapokua busy pindi nikiwa likizo. Mgahawa ni mkubwa na upo Mbarali Mbeya na kuna wafanyakazi watano, na daily income biashara ikichanganya ni zaidi ya laki 5 hasa...
  3. Baba Nla

    Infinix Hot 5 inauzwa

    Inauzwa
Back
Top Bottom