Search results

  1. Baba Nla

    Tuoneshe asili/maana ya ID yako kwa video au picha, ya kwangu ni hii

    Baba Nla Ni baba ake na nla Yani nla ni mwanangu I love you Nla all the way from Gauteng ZA 🇿🇦🤗
  2. Baba Nla

    Nilikuwa naliona jambo la ajabu ila Sasa hivi naona kawaida

    Kila kitu kawaida tu.. Sijui visimu simu Vigari Sijui ndoa Sijui Vinyumba Its just normal
  3. Baba Nla

    Ushauri bora kwa walio kwenye mahusiano

    Ilo wo wo wo la huyo dada limefuta yote uliyonielekeza🥲
  4. Baba Nla

    Kikosi Cha mizinga cha (wawami)

    Tuma na yakutolea Pumbaf😄😂
  5. Baba Nla

    Nimepokea simu na email ambazo zinanipa wasiwasi na hofu

    Utaskia tuma hela ya nauli 😂😂🚀
  6. Baba Nla

    Inachukua muda gani hadi njia ya uzazi kufunguka?

    Ila tuwekane sawa Njia (cervix) huwa inakua imefunga hadi uchungu uanze ndipo inafunguka kuruhusu mtoto kutoka, Suala la kusema sex inafungua njia labda kama kuna njia zingine.
  7. Baba Nla

    Inachukua muda gani hadi njia ya uzazi kufunguka?

    Ishu ya uzazi ni complicated kidogo Nashauri kuwa mpole, jipe muda na uwe na imani na wakunga, Atajifungua tu
  8. Baba Nla

    Nifatilie toka shambani kilimo cha mahindi, maharage na alizeti hatua kwa hatua

    Yani ukilima mahindi halafu ukawa huna hela mahindi ndo yatakutambulisha Picha linaanza yanakua hayarefuki haraka sababu hamna mbolea Then yanaanza kuwa ya njano Af yanakua weak hivi af mafupi Majani yanakuja kwa kasi kumaliza mchezo Ukienda shambani unatamani uwe kipofu😂
  9. Baba Nla

    Mchungaji Mgogo "Ukiona Mwanaume Hachepuki Basi ujue kuna Mawili"

    Naunga mkono hoja Yani kama mimi nimetulizana kisa sina hela tu Nikizipata.......... 😁😁
  10. Baba Nla

    Kama unajitafuta, nenda kaishi wilaya ya Mbarali

    Cha kuongeza Mbarali pamoja na maeneo ya jirani ya hifadhi yanakumbwa na sekeseke la mipaka ya hifadhi hivyo kwa wawekezaji kuweni makini msije uziwa maeneo yaliyo ndani ya mpaka wa hifadhi.
  11. Baba Nla

    Kama unajitafuta, nenda kaishi wilaya ya Mbarali

    Inategemea na location, hela utapiga hasa msimu wa kuvuna mwezi wa 5 hadi 8.
  12. Baba Nla

    Kama unajitafuta, nenda kaishi wilaya ya Mbarali

    Hakuna.. Maji mengi mno Lima mpunga utoboe
  13. Baba Nla

    Kati ya Fast and Furious zote ni zipi 3 kwako ni bora kuliko zote?

    1. Ile wanaiba hela kwenye makasha ya bank wakiwa na zile Muscle Cars 2. Ile yupo na Ong Bak
  14. Baba Nla

    Mwamnyeto ni tatizo Yanga sc 2023/2024

    Kiukweli mwenyeto ni muongo muongo sana Games za Taifa Star kule Afcon jamaa alikua anacheza aerials kwa woga na kijanja janja sana Hata leo amezingua sana Halafu Mwandishi wa Azam anashindwa kumuhoji maswali ya msingi anajikanyaga tu 🚀
  15. Baba Nla

    Marafiki zangu walinitenga baada ya kupata pesa

    From X platform 😄 Siku JamiiForums ikianza kulipa content creators tutaona mengi🙌
  16. Baba Nla

    Hizi laptop zimefika Bongo?

    Hiyo ni acer.. Kaa kimkakati 😀
  17. Baba Nla

    Kutamani sio dhambi

    According to New Testament Vitu vipo kiroho na mwilini ni completion tu So ukitamani tu ushafanya Na ukifanya kimwili umehitimisha tu so no double counting 😀
Back
Top Bottom