Search results

  1. Nicky nicky

    Kubadili ajira serikalini ( job recategorazation)

    Poleni na majuku! Binafsi mi ni mwajiliwa wa halmashauri moja kama mwalimu mwenye shahada ya elimu.pia nina post graduate diploma ya ununuzi na ugavi. Nina mambo mawili nayoomba mnijuze; je, kwa kuwa nina post graduate diploma ya fani mpya ninaweza kuruhusiwa kubadili ajira yangu na kuhamia...
  2. Nicky nicky

    Msc. Procurement and supply v/s Mba(procurement and supply)

    Natumai kozi zinajieleza zenyewe, shida yangu kubwa hapa mi kufahamu utofauti wa kozi hizo mbili hasa katika value na mambo mengine kwani nataraji kusoma moja wapo hivyo ni vyema nikapata ufafanuzi kabla ya kutuma application.Note. Msc. ni ya mzumbe na mba ni inayotolewa na IAA wakishilikiana...
  3. Nicky nicky

    Tecno a+ phantom

    Tafadhari wadau,mwenyeuelewa juu ya ubora na udhaifu wa Tecno A+phantom anijuze ikiwa ni pamoj na bei yake.X-mass njema
  4. Nicky nicky

    Cips mwanza ...

    poleni majuku wote wadau wa jukwaa hili hasa wale ambao ni procurement professionals. Kwa ufupi,napenda kutumia nafasi hii kuwatafuta wote ambao wanajiandaa na mitihani ya chartered Institute of Procurement and Supply hasa waliopo MWANZA. Binafsi nataraji kufanya mitihani hiyo hapo mwakani...
  5. Nicky nicky

    PSPTB syllabus

    Namba mwenye syllabus ya kozi za bodi ya ugavi anidondoshee jukwaani hapa maana nimeitafuta pasipo mafanikio.Asanteni
  6. Nicky nicky

    Internet!

    Naomba kufahamishwa kama kuna mtandao wowote wa simu unaotoa unlimited internet kwa masaa fulani kwa sasa.Pia kama kuna njia mbadala naomba kujuzwa. kalibuni.
  7. Nicky nicky

    MBA(finance)

    Mtu mwenye MBA-FINACE anaanza na 'level' gani katika mitihani ya bodi ya uhasibu NBAA?Naomba ufafanuzi.
  8. Nicky nicky

    accountancy v/s procurement and supply,ipi kati ya kozi hizi mbili inalipa zaidi.

    Mada yajieleza.Naomba kufahamu kati ya kozi hizo:accountancy na procurement yenye kulipa zaidi kwa misingi ya mazingira kazi yenye kutoa mwanya wa kutengeneza pesa zaidi ya nyingine.Kalibuni.
  9. Nicky nicky

    Inawezekana kwa mwenye bachelor ya elimu kusoma post graduate diploma in accountancy hasa SAUT?

    Kichwa chajieleza.Bachelor ya elimu kusoma post graduate diploma ya account pasipo back ground yoyote ya busness subjects. Naomba mwongozo maana nina dogo anahitaji sana na lengo lake ni kusoma kozi hii pale SAUT.
  10. Nicky nicky

    Marketing v/s accounting

    Ni kipi kati ya marketing au account kina mvuto zaidi katika soko la ajira la sasa na hata kujiajili hasa ukizingatia mtu anayesoma Masters in Busness Administration na kutaka kufanya option kati ya kozi hizo.
  11. Nicky nicky

    Kati ya CBE,T.I.A na IAA ni chuo kipi kinaongoza kwa kutoa wahitimu bora wa fani ya ugavi?

    Kama kichwa kinavyo jieleza.Naomba kufahamu ni wapi kati ya cbe,t.i.a na iaa naweza pata elimu nzuri katika fani ya ugavi(procurement & supply management) hasa katika kiwango cha post graduate diploma.Kalibuni!
  12. Nicky nicky

    mzumbe university

    Naomba kufahamu kama mzumbe wanatoa post graduate diploma in procurement and supply management.
  13. Nicky nicky

    'Review class' Mwanza

    Naomba kufahamishwa juu ya sehemu za/ya kusoma review kwa ajili ya mitihani ya bodi ya ununuzi na ugavi (psptb) jijini Mwanza.Nitashukulu!
  14. Nicky nicky

    TIA v/s IAA

    Ninataraji kujiunga na masomo ya postgraduate diploma in procurement and supply mwaka huu.Ombi langu ni kufahamishwa juu ya chuo kitakachonifaa kati ya Tanzania institute of accountancy au Institute of accountancy Arusha.ningependa kupata sababu za hoja zako ili nifanye uamuzi.Asante.
  15. Nicky nicky

    postgraduate diploma

    Naomba ushauri juu ya chuo bora cha kusoma Postgraduate diploma in procurement and supply management hapa Tanzania.Je,katika mitihani ta bodi ya ugavi,mwenye kiwaango hiki cha elimu anaanza na 'level' gani?Nafungua mlango kwa ushauri zaidi na mjadala juu ya kozi hii.Kalibuni
  16. Nicky nicky

    Kwa wale wa IAA (Institute of Accountancy Arusha)

    Naomba mwenye kufahamu 'modules' za kozi ya post graduate diploma in procurement and supply katika chuo cha Institute of Accountancy Arusha.Je, kwa mwenyeshahada ya elimu anaruhusiwa kusoma kozi hiyo?Nawasilisha
  17. Nicky nicky

    Bachelor of procurement and logistic or supply chain V/S logistic and transportation management.

    Naomba kufahamishwa ipi ni nzuri kusoma kulingana na soko la ajira la sasa na hata kujiajili pia.Nawasilisha.
  18. Nicky nicky

    post graduate diploma of law.

    Ndugu wanajamvi naomba kujuzwa juu ya chuo nachoweza soma post graduate diploma of law na sifa stahiki za kujiunga na kozi hiyo. Na je,kozi hiyo inaweza kunifanya kuwa wakili wa kujitegemea?Nitashukulu!
  19. Nicky nicky

    Kwa waliosoma procurement and supply chain management au procurement and logistics.

    Ninashahada ya elimu ' upper second class', malengo yangu ni kujiunga na masomo ya post graduate diploma in procurement and supply au procurement and logistics pale NIT ingawa hadi sasa sijui nisome ipi kati yaa hizo.Hivyo, naomba kufahamishwa utofauti wa kozi hizo na ipi ni bora zaidi kuliko...
Back
Top Bottom