Search results

  1. mbutamaseko

    Dr. Josephine Kimaro wa Makongo juu. Uchapaji kazi wako na Una roho ya kipekee

    Dhamiri yangu inanituma kuandika haya mapema ili kama yumo au anapita pita humu ajue mazuri anayoyafanya yana mark history kwenye maisha ya watu. Kwanza ni open minded maelezo kidogo tu ameshaelewa kwa muktadha wote. Najua sio maarufu na watu hamumjui Sana humu Ila mtambue tu Dr. Josephine...
  2. mbutamaseko

    Hivi zile ajira elfu 13 za waalimu wa msingi na sekondari zimeishia wapi?

    Ni muda kidogo umepita toka ajira hizi zitangazwe kwa mbwembwe sana. Nilishuhudia wasaka ajira walizipokea kwa matumaini sana japo wengi walihisi ni suala la kisiasa zaidi kutokana na ajira hizo kutangazwa ghafla katikati ya kampeni. Vipi kuna mtu anamjua mtu aliyeajiriwa kupitia ajira hizo...
  3. mbutamaseko

    Harmonize wimbo wa Yanga usingeimba singeli ungetoboa sana, hapa ni kama umecopy na kupaste tu

    Ifike wakati washauri wa wasanii hawa wawaze nje ya Box. Kwanza kutumika tu na Yanga ni kuiga walichafanya Mikia (Simba) lakini Kama haitoshi na nyimbo uliotunga ni umecopy Kama sio kubadili tu maneno. Huo wimbo wa Yanga ungeimba kwa mahadhi tofauti na singeli ungeenda mbali sana, Ila kwa...
  4. mbutamaseko

    Kukosa mishahara sekta binafsi: Ni muda wa Social Security Funds kutoa hata 30% ili watu wajikimu

    Kulingana na yanayotokea kwa watu kukosa mishahara mfano shule binafsi kama tusiime, st Anne Marie na zingine nyingi ilhali watumishi hao wanachangia vizuri tu nssf. Serikali aioni haja ya kuruhusu watu wachukue sehemu ya asilimia 30 tu ya mafao yao ili kujilinda kipindi hiki cha janga la...
  5. mbutamaseko

    Toka Harmonize aondoke Wasafi nyimbo za Diamond zimekuwa na tungo za kawaida sana kama sio mbaya. Ni kweli Harmonize alikuwa mwandishi tegemeo?

    Ukifuatilia kwa makini utagundua tu hili. Tazama mashairi ya wimbo kama I miss u wa Diamond unauona kabisa uandishi wa Harmo. Cheki na nyimbo zingine kabla ya harmo kuondoka! Leo unakuja kuimbiwa wimbo kama gere melody mbaya, mashairi ya kawaida sana na ndio maana ulidumu kwa Sikh tatu tu...
  6. mbutamaseko

    Mitandao ya Simu: Huwa mnarudisha vipi fedha zilizopo kwenye akaunti za simu za watu wanaofariki kwenye majanga kama ya moto au maji?

    Fikiria tu mfano wa kilichotokea Morogoro jana. Watu waliungua wakiwa na simu zao mifukoni na lazima baadhi walikuwa na fedha kwenye Tigo pesa au Mpesa zao. Je, hizi pesa mwisho wake huwa nini? Sijawahi kusikia mtandao wowote unatangaza kurudisha pesa kwa familia za ndugu ambao wanahofiwa...
  7. mbutamaseko

    Nathibitisha: TERIOS KID ndio gari inayofaa kwa Dar kulingana na hali ya kiuchumi ilivyo

    Hakika ni gari ambayo ni very economy mafuta kiduchu yaani hata mwalimu wa serikalini anaweza kuimudu cc 650. Service very cheap zaidi ya vitz na ist. Kwa dar yaaani unaweza pack sehemu yoyote. Nafurahia na kujiona nilifanya uamuzi sahihi kuanzia gari hili. Nawashauri pia wanaotaka kununua...
  8. mbutamaseko

    Kuhusu kualikwa kwa walimu ikulu wazungumze na Rais juu ya changamoto zinazowakabili

    Kama tunavyoshuhudia wadau mbali mbali wa maendeleo wakialikwa ikulu na kujadili na Mkuu juu ya changamoto zinazowakabili, na Mh hutoa maelezo sanjari na kushughulikia baadhi ya changamoto. Nadhani ni Muda mwafaka akaigeukia na hii kada ya elimu kwani nako kuna mengi yakupatiw ufumbuzi ili...
  9. mbutamaseko

    Kama mwanachama nina haki ya kufahamu jumla ya kiasi cha pesa kilichoko kwenye mfuko ninaochangia NSSF? Sanjari na taarifa na matumizi yake?

    Mimi ni mwanachama wa mfuko husika hapo juu. Swali langu naweza pewa taarifa ya pesa zetu zoote sisi kama wanachama? Pia kujua tunazitumia vp kwenye miradi na kama kuna watu au taasisi tulizozikopesha ni kina nani na tunawadai sh. Ngapi ? Maswali ni mengi ila LA msingi ni je naweza kupewa...
  10. mbutamaseko

    Vidole vya mikono majina na maana zake vivikwapo pete

    nachoelewa kimoja huitwa kidole gumba kinachofuata huitwa kidole cha shahada mbali na hivi naomba kujuzwa majina ya vidole vilivobaki na maana zake vivikwapo Pete. Mfano kufahamu ni mwanandoa, kaachika ,kafiwa au anatafuta mchumba. Karibuni
Back
Top Bottom