Search results

  1. M

    Ni kwanini wilaya ya Kigamboni maendeleo yapo taratibu sana?

    Mwezi wa Nne tunatarajia kuanzia ujenzi wa barabara DMDP. Hizo road zenye rangi Nyekundu ndio zitawekwa lami.
  2. M

    Mtu gani alisababisha upate kazi?

    Nilikua na struggle mzee, biashara unaleta mzigo unauza kwa kukopesha kwa jumla kwenye maduka. Wanalipa kidogo hata kama mzigo ameuza wote. Faida hauioni. Hizi item uzuri wake ukiwa nayo unayo. Ukiuza umeuza unasubiri cash.
  3. M

    Mtu gani alisababisha upate kazi?

    Mwanangu R. Aliniambia kuna bidhaa flani dili sana, kuna siku tulikua dubai akaniambia walijaribu tafuta kiwanda wakapata ila wanatengeneza kwa oda. Nikaweka akilini hiyo. Siku moja nikaona video mtu amepost anauza katika soko letu. Nikaingia alibaba nika search jina la hiyo product nikakutana...
  4. M

    Msaada wa Tv flat screen bajeti 200k

    Ailyons frameless 32” 200,000 Ailyons Double screen 32” 200,000 Zunne Double Screen 32@ 200,0000 Tupo Kkoo Msimbazi 0714883861
  5. M

    Utapeli kwa mawakala unakuwa hivi!

    Hii ilitokea dukani mke wangu ndio alikua anahudumia. Kuna 1m nilikua nayo kwenye simu nikasema ngoja nitoe then nikifika town nimpe namba ya wakala mwingine aitoe. N:B mke alikua mgeni kwenye uwakala nilijua atapigwa tu ili apate akili so nilikua naacha mtaji less than 400k, siku hiyo bana...
  6. M

    JBL Sound Bar 9.1 detachable Watts 820

    Nina rafiki alitakaga JBL speaker 2.1 Nikamuagiziaga Dubai. Hapo Tukatuma 494,000 Then Hela ikafika kwa supplier aka delivery kwa Ajent wangu Kilimanjaro Star Cargo Mzigo ukafika after 3 weeks Nikalipia kama 170,000 So total hadi unafika was 664,000
  7. M

    USHAURI: 63" Hisense Vs 55" Samsung

    Bei ya jumla, kwa dealer. Kama unahitaji Unatumia jina langu la uwakala, nakupeleka unachukua Tv then unanipa commission yangu.
  8. M

    Wapi naweza kubadili pesa ya Bahrain kuwa shilingi za Kitanzania?

    Mtafute mtu anaeenda dubai Kule atapata good rate.
  9. M

    Fungu la kumi / kwa imani zote linatumikaje?

    Mal 3:10-12 SUV Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema BWANA wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la. Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala...
  10. M

    Je, kila tajiri hapa Bongo anatumia ndumba (kafara, majini, uuaji n.k)?

    Mit 30:7-9 SUV Mambo haya mawili nimekuomba; Usininyime [matatu] kabla sijafa. Uniondolee ubatili na uongo; Usinipe umaskini wala utajiri; Unilishe chakula kilicho kadiri yangu. Nisije nikashiba nikakukana, Nikasema, BWANA ni nani? Wala nisiwe maskini sana nikaiba, Na kulitaja bure jina la Mungu...
  11. M

    Msaada bei ya TV flat screen aina yoyote bajeti 500,000

    Njoo nikuuzie brand New High Q tv Kwa 580,000 inch 43 double screen.
  12. M

    Najihisi kama muuaji ila inabidi nifanye

    Nawiwa kukuambia hiki, Ungekua kwenye nafasi ya watu ambao Wana Zaidi ya Miaka 10 wanatafuta hata tu kupokea majibu wameshika mimba, lakini haijatokea. Maisha yetu ni mafupi sana, huwezi jua inawezekana Huo ndio ujauzito pekee Maisha yako duniani. Leo ni aibu, kutokua tayari n.k ukiweza kushinda...
  13. M

    Mwanaume unanyoa salon ya bei gani?

    Kuna dogo ananyoa Kwa buku, me nampaga 1500
Back
Top Bottom