Search results

  1. M

    Car4Sale Nauza Suzuki Escudo

    Nauza gari, Suzuki Escudo. Year of manufacture 2006. Ukubwa wa Engine CC 1990. Reg No. BVK. Imetembea 185,000 kms. Ipo katika hali nzuri sana. Imekuwa ikiendeshwa na mtu mmoja tu mwanamke, Kwenda Ofisini na kanisani na kurudi home kwa hapa DSM. Haijawahi kwenda Mkoa. Bei 9 mil na laki 5 tuu...
  2. M

    Natafuta standing fan (used) ya kununua

    Natafuta Standing Fan (Fan ya kusimama yenyewe) Iliyotumika. Iwe Fan imara na siyo ya kichina. Ikiwa ni ya India, Uturuki etc ingependeza zaidi. Iwe na ukubwa size ya kati. Napatikana Boko Magengeni DSM. Mobile 0714000068
  3. M

    Natafuta nyumba ya kupanga yenye vyumba vinne

    Natafuta nyumba ya kupanga maeneo yafuatayo: (1) Mbezi Beach, Tangi Bovu, Going, Goba ya Mwanzoni ikitokea Bagamoyo Road Kibao cha shule, Makonde, Jogoo, Africana, Kilongawima. Contacts 0714000068.
  4. M

    Naomba ufafanuzi kuhusu uhakiki wa Wastaafu Serikali kupitia Wizara ya Fedha kwa mkoa wa Dar

    Kuna zoezi linaloendeshwa nchi nzima na Wizara ya Fedha kuhakiki Wastaafu.Naomba Kama Kuna mtu anayejua kwa Hapa DSM Zoezi hili linafanyika Lini na ni wapi linafanyikia, naomba msaada anifahamishe. Na Kama pia Naweza Pata mawasiliano yoyote ya simu zao hao wanaohusika na uhakiki.
  5. M

    Ushauri wangu kuhusu idadi ya wabunge wa kuchaguliwa Tanzania

    Mimi naona serikali ingebadili sera kuhusu idadi ya wabunge kwenye bunge la muungano. Badala ya kuwa na mbunge kila jimbo, kuwepo na wabunge wa-3 tu kila mkoa watakaowawakilisha wananchi bungeni. (1) mbunge mmoja mwanaume, kuwakilisha wababa (2) mwanamke mmoja kuwakilisha wamama (3) kijana mmoja...
Back
Top Bottom