Search results

  1. M

    Moja ya Taasisi hizi zipewe jina la Edward Lowassa kama njia ya kumuenzi

    Ni kweli kabisa na mimi naunga mkono hii hoja.Ila Noboresha hilo jina la chuo ulilolipendekeza:Hilo jina lianze kabisa hivi:EDWARD LOWASA,MONDULI TEACHERS COLLEGE.
  2. M

    Kuna nini katika tarehe 17 February?

    No correlation at all(Hayo matukio yote uliyoyaandika hayana mahusiano kabisa!) Kila moja lipo kivyake.
  3. M

    Rais Samia aache kukwepa majukumu

    Hapa Tanzania, kuwa huru kutoka makucha ya CCM ni mpaka hapo vyombo vya ulinzi na usalama vitakapogawanyika (kwamba, wengine waiunge mkono CCM, na wengine zaidi ya nusu waseme kuilinda CCM, nooo! Hata raia wazalendo ndani ya nchi, hata na nusu ya CCM au zaidi ya moja ya tatu, wote kwa pamoja...
  4. M

    Mzee Kinana: Dkt. Nchimbi ameanzia Chipukizi, UVCCM, Mjumbe wa CC ya NEC, DC, Mbunge, Waziri, Balozi kwahiyo ana Sifa zote!

    Pia Mzee wetu kinana amesahau/ameogopa kusema kwamba,2015 wakati wa mkorogano wa kumtafuta mgombea u-rais wa CCM,huyu Dr.Nchimbi aliibukia team Lowasa.Mwenyekiti wake wa CCM(JAKAYA)alipoingia ukumbini kwenye kikao cha kupitisha jina la mgombea wa CCM,..Dr Nchimbi alimuimbia Lowasa kale...
  5. M

    Dr.Dimwa ataka Katiba ya Zanzibar ibadilishwe Ili Dr Mwinyi atawale vipindi viwili vya miaka Saba badala ya mitano

    Huyu Jamaa Naona Amevimbiwa,Akajisahauu.Ajikumbushe yaliyomkuta Komandoo Dr.Salmin Amour.Alitolewa Nduki huko Dodoma,Mpaka Leo alinyamazishwa mazimaa.
  6. M

    Ombi la kuteuliwa kuwa Kamishna wa Petroli na Gesi

    Mbona hujaweka CV yako mkuu.Ili sisi tunaomshauri Boss,angalao tuone academic qualifications zako.Isije ikawa High School ulisoma combi ya HKL,na Varsity ukasoma BA in History,Halafu unataka kuwa MD wa Petrol & Gas !
  7. M

    Dr Yoni Ben: Unaweza kufuta Chama Cha Siasa lakini hautakuwa umefuta Siasa zake, ni rahisi kubomoa Mahandaki lakini siyo Itikadi!

    (1)Wekeni tume huru ya uchaguzi ya watu ambao sio waajiriwa wa Serikali,Muone Dozy mtakayobugizwa. (2)Halafu pia, hebu waacheni Police wawe Neutral wakati wa kurudisha forms za wagombea,Wakati wa kupiga na kuhesabu kura,pia wakati wa kujumlisha matokeo vituoni na kwenye ....na kwenye kuingiza...
  8. M

    Nafasi za sales & closer (5)

    Mbezi ipi mkuu.Mbezi Beach Au Mbezi ya Kimara
  9. M

    Car4Sale Nauza Suzuki Escudo

    Sio Grand Vitara.Hii ni Escudo ni cylinder 4.Muundo wa Engine yake inatumia mafuta vizuri saana.Ni tofauti na Grand Vitara ambayo huwa ni 6 Cylinders.
  10. M

    Car4Sale Nauza Suzuki Escudo

    Hizo ndio picha za gari
  11. M

    Car4Sale Nauza Suzuki Escudo

    Hizo ndizo pictures za suzuki Escudo inayouzwa
  12. M

    Car4Sale Nauza Suzuki Escudo

    Kwa wanaohitaji Picture ya hiyo gari Suzuki Escudo,Nitumie no.yako ya WhatsApp kwenye hii no.yangu 0714000068.Nakutumia Picture faster.Akhasante.
  13. M

    Car4Sale Nauza Suzuki Escudo

    Nauza gari, Suzuki Escudo. Year of manufacture 2006. Ukubwa wa Engine CC 1990. Reg No. BVK. Imetembea 185,000 kms. Ipo katika hali nzuri sana. Imekuwa ikiendeshwa na mtu mmoja tu mwanamke, Kwenda Ofisini na kanisani na kurudi home kwa hapa DSM. Haijawahi kwenda Mkoa. Bei 9 mil na laki 5 tuu...
  14. M

    Natafuta standing fan (used) ya kununua

    Natafuta Standing Fan (Fan ya kusimama yenyewe) Iliyotumika. Iwe Fan imara na siyo ya kichina. Ikiwa ni ya India, Uturuki etc ingependeza zaidi. Iwe na ukubwa size ya kati. Napatikana Boko Magengeni DSM. Mobile 0714000068
  15. M

    Wanaomkosoa sana Samia sasa hivi ndio watakaomkumbuka siku Mwigulu au Makonda ndio Rais wa Tanzania

    Kwani Mwingulu na Samia,Characters & Style za kuendesha Serikali zina tofauti gani
  16. M

    Rais Samia, kwanini unatoa msaada mkubwa kwa Prof. Jay pekee wakati wa kuwasaidia wapo wengi hospitalini?

    Mimi Naona tuitumie ile Account ya Amina Chifupa Foundations kukusanyia michango ya namna hii na inayofanana nayo,Badala ya kuanzisha Foundation nyingine.Kitakachopatikana,Wagawane hao watu wote mashuhuri wenye shida na matatizo ya ugonjwa n.k.
  17. M

    RC Makalla achana na Makonda vinginevyo utakwenda na maji

    Mimi nadhani Makonda ni kama amekiuka taratibu katika kutoa haya maagizo anayoyatoa kwa niaba ya chama(CCM) kila anapotembelea sehemu. Maagizo kama haya yanatakiwa yatolewe na KATIBU MKUU WA CCM(Comrade Chongolo) na siyo Katibu mwenezi(Makonda).
  18. M

    Si sahihi kumpa maagizo Waziri Mkuu hadharani, si kila kiongozi anaweza kupewa maagizo hadharani

    Kwani Katibu Mkuu wa CCM yupo wapi,mpaka subordinate wake Makonda ndo ampe Prime Minister Maagizo ? Hapa kuna kitu hakijakaa sawa.
  19. M

    Sophia Mjema: Rais Samia ni hadi 2035

    Yaani hapa na mimi ndo sielewi.TANZANIA YA LEO KARNE YA 21,AKINA MAMA WANALALA CHINI ILI WAZIRI AWAKANYAGE APITE JUU YAO,na bado Waziri huyo bado halazimishwi na Boss wake kwamba ni Lazima Ajiuzulu ? Utumwa huu,enzi za Nyerere,huyu Nape angekuwa uwaziri hana.Ni aibu kubwa kwa Tanzania...
Back
Top Bottom