Search results

  1. I

    Wananchi wa Tanzania tunakupongeza Rais Samia kwa mazuri unayoyatenda

    Wananchi wa Tanzania tunakupongeza kwa mazuri ambayo unayatenda. Usikatishwe tamaa na kelele sisi tulioishi muda mrefu na kujua mwenendo wa nchi tunakuona unaenda vyema sana. Furaha, amani, mshikamano miongoni mwa watanzania ni wa hali ya juu. Uhuru wa kuabudu, uhuru wa kutoa maoni, hata uhuru...
  2. I

    Paul Christian Makonda anafaa kuwa Waziri

    Sawa , muda ni mwalimu mzuri sana. Tutarudi hapa kukagua posts zetu
  3. I

    Paul Christian Makonda anafaa kuwa Waziri

    Paul Makonda; Secretary for Ideology and Publicity for Chama Cha Mapinduzi (CCM)
  4. I

    Maboresha makubwa hospitali ya Muhimbili

    Kalamu zetu hupenda kuandika mabaya tu, tukiona mambo mazuri twaona inda kupongeza
  5. I

    Rubani huyu anastahili pongezi

    Ndege inaenda vizuri sana; changamoto ni za kawaida kabisa. Hongera rubani mkuu. Usiogope wapingaji na wanye maneno ya kubeza hata wakiwa wao marubani, watajibeza wenyewe maana hiyo ni hulka.
  6. I

    Paul Christian Makonda anafaa kuwa Waziri

    Daah ngoja tuone......
  7. I

    Maboresha makubwa hospitali ya Muhimbili

    Leo nimepita hospitali ya Muhimbili nimefurahishwa sana na maboresho ya miundombinu kuanzia utaratibu wa kuingia na kutoka magetini, vibao vya ishara, sehemu za kupumzika wageni/wagonjwa, huduma nzuri ya Askari wa SUMA JKT, majina ya wards nk. Hongera sana uongozi wa Hospitali ya Muhimbili...
  8. I

    Kuna jambo linasahaulika kuhusu Rais Samia

    Nashukuru, wengi sasa wanaamini nilichokua nakisema wakati ule, na sasa takwimu ziko wazi kabisa
  9. I

    Paul Christian Makonda anafaa kuwa Waziri

    Hongera sana Paul Makonda kwa nafasi hii mpya.
  10. I

    Tundu Lissu, acha kumshambulia Hayati Magufuli

    Siasa zinabadilika kwa kasi sana, adui yako asubuhi, ni rafiki yako jioni kadhalika rafiki yako mchana, usiku anaweza kuwa adui yako. Ni ngumu sana kuelewa wakati gani Tundu Lisu anazungumzia machungu yake kama mtu ( binafsi) na machungu ya chama chake au tuseme ya ''wananchi'' Upepo wa kisiasa...
  11. I

    Kuanzisha Biashara Mpya (ofa ya serikali)

    Serikali sikivu imefanyia kazi mapendekezo haya tena zaidi ya vile nilivyoomba.
  12. I

    Kuna jambo linasahaulika kuhusu Rais Samia

    Nimevuta ganja
  13. I

    Kuna jambo linasahaulika kuhusu Rais Samia

    Na kama ningeandika kwa mtindo hasi ningekuwa nafukuzia nini? Kwani yale mambo bado yapo? Sikuhizi ni kwa merits tu sio kujipendekeza na uchawa.
  14. I

    Kuna jambo linasahaulika kuhusu Rais Samia

    Hata kujua kuwa kuna hela ziko China si ni mwenyewe alituambia? yaani alivyokuwa anaongea vile tayari mkono wake ulikuwa pale siku nyingi.( unajua serikali inavyofanya mambo yake?)
  15. I

    Kuna jambo linasahaulika kuhusu Rais Samia

    Mambo mengi yametajwa kuhusu mafanikio ya Mhe. Samia Suluhu Hassan katika miaka hii miwili, lakini kuna jambo kubwa sana ambalo bila kulisema hayo mengine yote ni bure na hayana maana. Ni kuhusu kujenga FAMILIA. 1. Rais ameunganisha familia- Watu wengi walikuwa magerezani, mahabusu...
  16. I

    Rubani huyu anastahili pongezi

    Una hakika uko kwenye ndege hii?
  17. I

    Rubani huyu anastahili pongezi

    Miaka miwili baadaye wengi wanakubali kuwa rubani ameimuda ndege na umahiri wake unaanza kupita hata viwango vile............................................maana hata upande wa pili wamekubali
  18. I

    UCHAFU MTAA MBEZI A & B

    Tunaomba msaada katika hili
  19. I

    Rubani huyu anastahili pongezi

    Daaah naona rubani amedhibiti ndege barabara......marubani wakongwe walijaribu kuitikisa lakini kawaonyesha umakini wake mkubwa sana. Hongera sana rubani
Back
Top Bottom