Search results

  1. Litro

    Sijui kwanini nimeumia hivi

    Pole Pole na hongera watu ni wabinafsi na wakosa shukrani in a way wanaipa kutu mioyo ya watu wema nimekupenda natamani uwe rafkiangu. Well chakufanya usimuulize na umroe kwenye list ya binadamu yani unapoona call yake ujue ni nyoka na ukaribu utakuumiza zaidi. Mwambie Mungu ikumbuke sadaka...
  2. Litro

    Hii ni Breakfast ya 1500. Akili mtu wangu!

    maharage ya nazi saba ndo haya sasa
  3. Litro

    Nini kilisababisha urafiki na besti/mshkaji wako kufa?

    Sawa mkuu je kuna jingine?
  4. Litro

    Kuna wanawake Wana roho mbaya, aibu hawana na kujificha hawawezi

    huna utu na kama ni kweli u took an innocent kid kwenye uchafu wako una shida mahali a usipobadilika weka sawa makazi ya laana inakukaribia
  5. Litro

    Nini kilisababisha urafiki na besti/mshkaji wako kufa?

    kwa umbea wangu tu yani full kumteta na siri zake natangaza alinisuuuuta akamalizia i love you but i cant keep you jaman alikua ana roho nzuri msafi mtoaji mtu wa kumtegemea nililia niliomba msamaha nilituma watu akasema tupendane mbali mbali kila nilivojipendekeza waapi ananichangamkia vizuri...
  6. Litro

    Wanaume tunaokwenda kujitambulisha ukweni hivi karibuni njooni tupeane mbinu za kurahisisha jambo

    Namba 5 kwann mpk ufike ukweni ulitakiwa kuwa ushafanya
  7. Litro

    KITABU: Kamlete, akibisha mlipue by Hammie Rajab

    usitume tena
  8. Litro

    Mapenzi yanapo waunganisha watu wawili na kupelekea mushkeri katika jamii

    Lishamba jamaa kuna vitu mtu afa navyo hasemi
  9. Litro

    Mapenzi yanapo waunganisha watu wawili na kupelekea mushkeri katika jamii

    SSa nae boya kwann atangaze si angemute tu ona sasa wote tumejua
  10. Litro

    Mbinu gani inaweza kutumika kumbadilisha mtoto anayeanza kuandika kutumia mkono wa kushoto?

    Huwa mnanikeraaaaa shida iko wapi na ndo maumbile yake au ni venye dunia imetuamulia basi na wewe unaelekea t humo humo aisee siku mwanangu kaenda shue kashika kalamu na shoto wameanza kumbadilisha niliwazukia na kishindo cha wakoma bado kidogo nipige mtu nikawaambia muacheni na kula analia...
  11. Litro

    Mnaoishi Mabwepande au Chanika na kufanya kazi Posta mnaamka saa ngapi ili kuwahi ofisini?

    ikiwa ulikua umetenda mema kama ulikua muovu hakuna kupumzika lusifa amekoka moto anakungoja
Back
Top Bottom