Search results

  1. N

    Arusha: Kituo cha mabasi ni mali ya chama

    Katika jiji la Arusha, kituo kikuu cha mabasi kinamilikiwa na chama cha mapinduzi(ccm) na wala sio chini ya jiji. Je wana wa Arusha hili mnalitambua? Katika hali ya kustaajabisha, kituo hicho hukarabatiwa kwa gharama za jiji la Arusha.
  2. N

    Tanesco na mgao wa umeme na bili isipungua

    Ndg zangu wanajamii nisaidie kwa hili la mgawo wa umeme na bili isibadilika. Kabla ya mgawo matumizi yangu nyumbani ni unit 85-100, cha kushangaza mgawo ulipoanza rasmi ambao hadi siku mbili hakuna umeme, bili ni vilevile. Je, kunani tanesco?
Back
Top Bottom