Search results

  1. CHIBA One

    Nikisafiri kwenda sehemu sipendi kufikia kwa Mtu

    Hili jambo kwa kweli labda naweza nikaonekana nna roho mbaya au Ant-Social, ila kiuhalisia katika utu uzima wangu huu, kama ikitokea safari fulani nahitaji kwenda sehemu kwa siku mbili tatu...sipendi kufikia kwa rafiki au ndugu, lakini naweza kuwapa taarifa kwamba ntafika Mkoani kwao na tunaweza...
  2. CHIBA One

    Wakuu kwanini Uhonge mwanamke Mpaka uishiwe?

    Maisha yamebadilika sana...tulizoea kuwapa zawadi za pipi, chupi, saa, wapenzi wetu lakini sasa hivi wanataka i phone 15, gari kali, kulipiwa kodi etc Vijana wana stress za maisha, lakini wakati huo huo wana stress za kumantain mahusiano yao, wako tayari wasile ili kuwafurahisha mademu zao...
  3. CHIBA One

    Nyasi kuota kwenye maungio ya pavements

    Wakuu, Naomba msaada, nafanyaje ili kuzuia hii hali ya nyasi kuota kwenye maungio ya paving blocks ambazo zimekwishawekwa? Kadri mvua zinavyonyesha majani yanastawi sana kwenye maungio inakuwa kama sina pavements kabisa ndani ya Nyumba. Naamini ntapata msaada juu ya namna ya kutoa nyasi na...
  4. CHIBA One

    Neno "Tafuta Hela" na Kichaka cha Kupendwa

    Tukubaliane duniani kote kwa sasa kuna changamoto kubwa sana ya Mapenzi ya kweli, ndani ya miaka 20 dunia imebadirika kwa kasi sana kimatendo, hisia, busara, na namna watu wanavyochukuliana.. kila Mwanamke awe mbovu, msimbe, mzuri, mwenye shape na asiye na shape, anajitutumua kuwaambia wanaume...
  5. CHIBA One

    Ngono inakuzwa sana, sioni sababu ya kupagawa na wanawake

    Kwa ma legend na watu ambao tuna experience na tendo la Ngono mnaweza kuungana na mimi kwenye hili. Kwa ufupi, nimejaribu taste za kila aina, wazungu, wabongo, wanyarwanda etc. Nilichogundua ni kwamba sisi wanaume huwa tunayakuza tu Mambo, mbususu ni kitu cha ovyo tu na wala hakina sababu ya...
  6. CHIBA One

    DAR iko overrated, Majority ya watu wanaishi maisha ya ovyo sana

    Vijana wengi na watu wa mikoani, na pengine kwa kukosa Exposure hudhani Watu wanaoishi Dar wanafaidi sana pengine kwa Maisha mazuri, hali ya hewa nzuri na pesa za kukidhi kila mahitaji Yao. Lakini asilimia kubwa ya watu Dar es salaam wanaishi mazingira magumu sana, Chumba kimoja kilichojaa ndoo...
  7. CHIBA One

    Rais linda heshima na imani ya wananchi kwako fukuza hao tamaa mbele tafadhari

    Mhe Rais, Kwanza nikupongeze kwa nia yako ya dhati ya kupambania maslahi ya nchi na watu wake. Umeonyesha utu, ari, na malengo ya dhati ya kuhakikisha mambo yanaenda na kutekelezeka kwa wakati, ninakupongeza. Mhe Rais, Katika mikutano yako kadhaa na waandishi wa habari, umekuwa ukionyesha...
  8. CHIBA One

    Wafatiliaji wa Big Brother Titans SA tukutane hapa hadi final

    Ni wiki ya 8 sasa Vijana wanapambania dolla laki moja kwa mshindi Mmoja pekee atakayepatikana. Washiriki wametoka mataifa mawili, Nigeria na South Africa. Walianza wakiwa 24, 12 kutoka SA na 12 Kutoka Nigeria. Baada ya wiki ya kwanza, Big Brother aliwagawa katika pair ya watu wawili wawili...
  9. CHIBA One

    Ladies: Msitulazimishe Kuwaoa aisee sio Lazima

    Propasal za "Una mpango gani na mimi" natamani uwe Baba wa wanangu, Oooooh unajua sa hv na mimi nataka niwe na ndoa yangu" Unakuta mtu tayari ni Single Maza anakulazimisha kabisa watoto wake watatu wakuite Baba kwa Lazima, Mara Njoo umuone mtoto anaumwa anataka aone angalau Mapenzi ya Baba...
  10. CHIBA One

    Tunakufa Kwa ajali Sometimes sababu Ya usalama Mdogo wa Magari yetu

    Umiliki wa magari kwa sasa ni hitaji Muhimu sana kwa maisha yetu. Na ni ndoto ya kila mtu kuwa na gari kwa sasa, kijana wa kiume na wa kike ukimuuliza katika "To do Goal" yake Kununua gari ni moja ya Lengo lake. Soko la magari mengi yanayoingia nchini ni kutoka Japan na ni gari zetu hizi za...
  11. CHIBA One

    Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani

    Kwa wingi wa haya magari barabarani, jinsi watu wengi wanavyoyazungumzia na wengine wakiyataja Kama magari ya ndoto zao, nilikuwa Napata sana Shauku ya kuyaendesha, Ama kuyatumia Na ku feel ile Taste iliyomo ndani yake. Juzi kuna Jamaa akaniletea Moja akiwa anaiuza. Katika kuendesha hii gari...
  12. CHIBA One

    Ni kweli haishauriwi kutumia Coolant pelee (Antifreeze) bila kuchanganya na maji kidogo?

    Nimepitia makala mbali mbali kuhusu cooling system za kwenye magari, baada ya kumpa jamaa yangu gari kwa zaidi ya miezi miwili ( nilisafiri mkoa wa mbali kikazi) Nimerudi baada ya kuchukua gari, nime experience kitu kipya, nimetoka vzuri tu lakini baada ya kutembea Km kama 10 gari ikaanza...
  13. CHIBA One

    Chuki yangu kwa matrafiki imegoma kuisha

    Huwa najitahidi sana kuwa Positive na kuwachukulia hawa watu kama wafanyakazi wengine wenye wajibu wao kisheria, Lakini hawa watu wamejiweka kwenye Zone Yao ya URAFI, KUKOSA UTU, TAMAA NA UPUMBAVU, Imagine hawa watu wako pale kujipatia elfu 5 na elf 2 za watu bila huruma, hawanaga utamaduni wa...
  14. CHIBA One

    Chuki yangu na trafiki imegoma kuondoka

    Huwa najitahidi sana kuwa Positive na kuwachukulia hawa watu kama wafanyakazi wengine wenye wajibu wao kisheria, lakini hawa watu wamejiweka kwenye zone yao ya ULAFI, KUKOSA UTU, TAMAA NA UPUMBAVU. Imagine hawa watu wako pale kujipatia elfu 5 na elfu 2 za watu bila huruma, hawanaga utamaduni wa...
  15. CHIBA One

    Baada ya Kufulia sasa nahisi Gari inatumia mafuta vibaya

    Hili linawezekana ikawa ni kwa sababu ya tabia yangu ya sasa baada ya Kuyumba kiuchumi, naweka mafuta ya 30, 20 mpaka 10. Gari yangu ni 1.8L petrol, trip zangu nyingi ni town trip then home ambazo hazizidi Km 13, nilizoea nikiweka mafuta ya 40k ambapo nilikuwa napata karibu lt 17 niliweza...
  16. CHIBA One

    Tafadhari Endesha Kwa kujihami

    Wamiliki wa magari wameongezeka, siku hizi kila Mtu ndoto Yake ni kumiliki gari, Miongoni Mwao kuna madereva wabaya, kuna waliojifunzia uchochoroni baada ya Wiki anaingia barabarani... Nje Ya hapo kuna Bodaboda, kuna watu wanaotembea na stress/ depression, kuna waendesha baiskeli, kuna malori...
  17. CHIBA One

    Madereva wa subaru, IST, Alteza Na Cown sikieni

    Mtu aki kuovertake, ame kuovertake kwa haraka zake, Hajakudharau, Hajaovertake safari Yako ni Gari Yako Ndio Kaipita, Punguzeni Ligi barabarani. Dhana kwamba Mtu akikupita Amekuzidi, au gari yako haina speed Achaneni Nayo. Mimi Nakimbia Traffic Mtu kaniungia balaa Mpaka tumefikishana...
  18. CHIBA One

    Utaratibu Kuhusu Kustaafu kwa hiari kwa watumishi wa Umma

    Sheria ya utumishi wa Umma inasemaje kwa mtumishi ambaye anataka kustaafu kwa hiari kabla ya miaka ile 60 ya kisheria.. Mfano ana miaka 55. ila kwa sababu ya changamoto ya ugonjwa anaamua kustaafu kwa hiari.. Je anatakiwa kufata taratibu gani? Katika kipindi ambacho anasubiri mafao ataendelea...
  19. CHIBA One

    Gari Yako inatumia Mafuta kiasi gani kwa Km 500?

    Kwangu mimi, Gari Toyota Premio X 1.8 L Mwanza_Arusha Zaidi ya 700+Km Mafuta ya 140k Sawa na Ltr 54 za petrol kwa bei ya 2560
Back
Top Bottom