Search results

  1. CHIBA One

    Nikisafiri kwenda sehemu sipendi kufikia kwa Mtu

    Hili jambo kwa kweli labda naweza nikaonekana nna roho mbaya au Ant-Social, ila kiuhalisia katika utu uzima wangu huu, kama ikitokea safari fulani nahitaji kwenda sehemu kwa siku mbili tatu...sipendi kufikia kwa rafiki au ndugu, lakini naweza kuwapa taarifa kwamba ntafika Mkoani kwao na tunaweza...
  2. CHIBA One

    Unaweza kumfanya hivi mpenzi wako kwenye bodaboda

    Nje ya Mada, mbona App ya jamii forums imebadilika sana napata tabu
  3. CHIBA One

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Story ni nzuri sana, inafundisha mengi Mno, ila kuna watu wasenge wasenge wanaume kama wanawake vilr hawawezi kutulia midomo inawawasha sana, Critics kwenye uzi ambao unaona hauna faida kwako ni za kazi gani? Bladfaken adultmen
  4. CHIBA One

    Wakuu kwanini Uhonge mwanamke Mpaka uishiwe?

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  5. CHIBA One

    Wakuu kwanini Uhonge mwanamke Mpaka uishiwe?

    Maisha yamebadilika sana...tulizoea kuwapa zawadi za pipi, chupi, saa, wapenzi wetu lakini sasa hivi wanataka i phone 15, gari kali, kulipiwa kodi etc Vijana wana stress za maisha, lakini wakati huo huo wana stress za kumantain mahusiano yao, wako tayari wasile ili kuwafurahisha mademu zao...
  6. CHIBA One

    Umeshakutana na shida gani kwenye gari lako upewe suluhisho?

    Gari yangu nikipark, kwa siku 1 au 2, nikija kuwasha nasikia harufu kali ya petrol ndani na nje ya gari, tatizo nini? Ila nikiitumia mfululizo nikiwasha sisikii hyo harufu, shida ni ikikaa hata siku 1 bila kuitumia, kesho yake ukiiwasha harufu inatoka
  7. CHIBA One

    Masharti ya nyumba za kulala wageni kuzuia jinsia moja kulala chumba kimoja

    Ni upuuzi sana wanaume wazima kulala chumba kimoja, hii ni mentality ya kipuuzi sana, mnabambianaje kitanda kimoja na mwanaume mwenzio?
  8. CHIBA One

    Hizi taasisi bila mjomba na mganga anayeeleweka hupati kazi

    Sasa world vision kuna kipi cha maana Bro? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. CHIBA One

    Hivi MWAUWASA wanatuuzia maji ya mvua?

    Pole sana mkuu, inashangaza, mtaani kwangu mimi jana maji hayakuwepo, na kila ijumaa na jumatatu hayapo kabisa, uko mtaa gani? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. CHIBA One

    Nyasi kuota kwenye maungio ya pavements

    Wakuu, Naomba msaada, nafanyaje ili kuzuia hii hali ya nyasi kuota kwenye maungio ya paving blocks ambazo zimekwishawekwa? Kadri mvua zinavyonyesha majani yanastawi sana kwenye maungio inakuwa kama sina pavements kabisa ndani ya Nyumba. Naamini ntapata msaada juu ya namna ya kutoa nyasi na...
  11. CHIBA One

    Paving blocks zimefubaa mno. Je, nitumie rangi gani ziwe mpya?

    Mimi kwangu zinaota nyasi kwenye maungio, nifanyeje ili kuzuia nyasi kuota? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. CHIBA One

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Naombeni ushauri kati ya underseat Subwoofer na zile za mtungi zipi nzuri? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom