Baada yamisukosuko mingi inayo mukabili kanali mwamadi ghadafhi anae nyanyaswa nakuteswa na waasi wa libiya,Atimae leo ameamuwa kuonyesha yakuwa hao wahasi wanawatesa tu Raiya wema wasiyo na kosa kanakwamba yeye yuko imara na anaendelea na maisha yake kama kawaida,
Aidha waasi wangetafuta...
Wakati wananchi wote ulimwenguni masikio yao yote wametega huko libya dhidi ya waasi wanao msumbua ghadaphi bila kosa, je mahamuzi aliyo fanya Rais wa zimbambwe Robart mugabe kumtimua balozi wa libya kwa kosa la kushusha bedera inayo tambulika,na je Waziri wa mambo ya nje bwana Benardi Membe...
ni siku kadha waasi wamekuwa wakinyemelea nchi ya ghadafi huko libya kwa nia ya kumpora mafuta ambayo ndio chanzo kikubwa cha mapigano hivi ni kweli ndungu zangu, kisheria ni kweli kwamba mtu ananyanyasika kwa mali ya nchi yake. je ungekuwa ni wewe unaingiliwa katika sehemu yako ugefanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.