Search results

  1. Feisal2020

    Linguistics and Literature Graduate Seeking Job Opportunities

    ABOUT ME - Bachelor's degree in Education, majoring in Linguistics and Literature - Strong writing skills and expertise in content creation - Proficient in Microsoft Word, Excel, and PDF management - Experience in data entry and basic SEO knowledge SKILLS AND EXPERIENCE - Skilled in written...
  2. Feisal2020

    Hatia 4 - Dizasta vina ni best story teller tangu hiphop ya bongo ianze mpaka sasa

    Mimi ni muumini wa muziki wa Rap, navutiwa sana na nyimbo za Hip-hop zilizojikita katika masimulizi. Nimesikiliza story telling rap songs nyingi mno, tangu story 3 ya Jay Moe, Sister sister ya GK, Nikusaidiaje ya Prof. J, Hayakua mapenzi ya 2 Proud mpaka Rafiki ya Sterio,Playboy ya Nikki...
  3. Feisal2020

    Mwandishi wa Makala/ Habari Online niko hapa!

    Habari wakuu. Nawasalimu nyote, kila mmoja kwa mujibu wa vigezo vya umri, jinsia na wadhifa wake. Kijana wenu niko mbele yenu leo kuomba nafasi ya kazi ya uandishi wa makala au habari katika website/blog yoyote ile. - Ninao uzoefu wa takribani miaka minne katika fani hii ya uandishi wa makala...
  4. Feisal2020

    Sitosahau Siku Nilipoamua Kupima VVU

    Mimi Naua Bin Sana, mzaliwa wa pili na wa kwanza wa kiume ktk familia ya mzee Sana yenye watoto wane nikiwa, familia ambayo watu watatu (kati ya sita) waligundulika kuwa na maambukizi ya VVU, sina historia ya kupendeza katika mahusiano. Binafsi nilianza kuwajua wanawake nikiwa bado kinda kabisa...
Back
Top Bottom