Search results

  1. Styles

    Flat screen ilioharibika kioo(kupasuka) inaweza kutengenezwa?

    Ndio inawezekana.. sio lazima upate kioo kipya unaweza nunua hata used jaribu kuongea na mafundi!
  2. Styles

    Hatma ya maisha yako unayo mwenyewe

    Shukrani kwa maneno mazuri na yenye kutia moyo. 💪💪
  3. Styles

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Uzi bomba Sana. Endeleeni kushusha nondo wakuu!!
  4. Styles

    Nimeangamiza jeshi la Kunguni kimasihara

    😀😀,hiyo ndo dawa yao,
  5. Styles

    Kuna mtu anataka kunitapeli naomba msaada

    Pole sana,lakini wew ndo mwenye makosa kumuamini huyo jamaa.!
  6. Styles

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Nipeni "likes" zangu.!
  7. Styles

    Ushauri wa namna bora ya kuzikabili changamoto za majirani

    achana nao Wala wasikuuze kichwa,Kama ni kununa acha wanune wewe endelea na mambo yako huwezi furahisha Kila mtu.!
  8. Styles

    Ushauri wa namna bora ya kuzikabili changamoto za majirani

    Fanya unachoona ni sahihi kwako !
  9. Styles

    Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

    inamaana wachangiaji wote ni ma-introverts?
  10. Styles

    Maajabu ya bata

    Duh.kumbe Kuna mengi sana tusioyajua kuhusu bata!
  11. Styles

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Nipeni likes zangu!
  12. Styles

    Ushawahi kuanzisha mahusiano mtandaoni na mtu ambaye hamjawahi kuonana

    mimi huwa nawashangaa Sana wanaoanzisha mahusiano mitandaoni na watu wasiowafahamu!
  13. Styles

    Ushawahi kuanzisha mahusiano mtandaoni na mtu ambaye hamjawahi kuonana

    Hivi inawezekana vpi kuanzisha mahusiano na mtu ambae hamjai onana!!!?
  14. Styles

    BAJAJI ya kwanza kutengenezwa na Mtanzania "imekosa kibali'

    Ebu weka picha ya hiyo bajaji tuone!
Back
Top Bottom