Search results

  1. Emar

    Ipo Siku DP World watadahi uhuru wao

    Kama kile kipengele cha uhuru wa kumiliki ardhi ndani ya Tanzania kwa katika kitabaki vile ile😥😥😥. Naona hatari ya hawa waarabu kudahi uhuru wao maana wana haki ya ardhi, na wataongozwa na sheria zao nini kimebaki hapo Tukumbuke Dubai ni mdogo hivyo wanatumia akili kuipanua imaya yao, na kama...
  2. Emar

    Dhambi hii inaenda kuandikwa Kwa wino wa Chuma

    #1 Kijana Mdogo Mtanzania mwenye kuipenda nchi yangu,........ Kwanza kabisa nimshukuru allah(Mungu) kwa kunipa nafasi ya kuandika uzi huu huku machozi yananitoka? -Vita na Migogoro yote duniani ,chanzo ni mali na haki. *Mfano Dr.Congo chanzo ni Dhahabu, *Libya-mafuta *Israel-ardhi...
  3. Emar

    Tuanzishe Kampeni ya #Kataa Muungano

    Tutandike jamvi chini, Ndoa yoyote lazima iwe na manufaa kwa wanandoa wote ili kudumisha Muunganiko, kama mmoja anataka awe tu mmufaika pasina kutimiza wajibu au kuwa mbinafsi basi hiyo ndoa haina Maisha au haina uhai,na iwapo itaendelea kuna maafa mbeleni. Hebu tuje labda mnijuze mm sioni...
  4. Emar

    Bashe mbona unatupeleka motoni kwa fimbo, tumekukosea nini?

    Waswadata wanakilinge, Wakati tukiendelea na kilio cha ndugu zetu wa Rombo pamoja na ndugu zetu wa Uturuki {R.I.P), Basi tunaweza sema heri yao kwa sababu hawana ijara tena na wanaijua hatma yao hawawazi watakula nini wala watavaa nini, bali wanawaza kilicho mbele yao, Ok, tusiwe wambeya...
  5. Emar

    Wazazi tunafeli sana kulea watoto

    Habari wakuu, Bila kupoteza mda hebu nijikite kwenye mada Jamii yetu imezungukwa na utamaduni tofauti katika kukuza na kulea watoto, wapo wanaoamini kuwa hatupaswi kuiga tamaduni za kimagharibi za kuwapa uhuru watoto badala yake wanawafunza watoto katika kufanya kazi za nguvu na kuwa na...
  6. Emar

    Naandika Kwa Masikitiko na Machozi

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida baada ya ya lockdown binasfi ya wiki tatu , kutotoka mbali na kwangu jana kwenda kutembea nje ya mazingira ya kwangu kununua bidhaa mbalimbali na matumizi binafsi huku nikichukua taadhali... Lahaula naweza sema viongozi lazima wajibu hili kama si hapa basi wale...
  7. Emar

    Tabia za kijamii zinazoweza kuongeza maambukizi ya Covid-19

    Habari za sikukuu, Naamini mnaendelea vyema katika kuienga nchi yetu pendwa na pekee, wakati mkichukua tahadhari ya huyu Mgeni wetu aliye na meno kama simba. Hebu turushie nyavu kwenye lengo. Kuna tabia mbalimbali za kijamii ambazo zinaweza kuongeza maambukizi au idadi ya vifo vya CODIV 19...
  8. Emar

    #COVID19 Nashauri Serikali ifanye utaratibu wa kupima raia wake Corona

    Kama tujuavyo janga la Corona linavyo shika kasi. Hata hvyo serikali yetu kwa kushindwa kufunga mipaka inaongeza muingiliano hivyo ni kweli watanzania tumeuvaa. Kwamimi binafsi na mwezi wa pili na dalili zote za Corona. Kwasasa hadi baadhi ya shughuri nimeahirisha. -Kwanzia mafua (sina kawaida...
  9. Emar

    Binadamu na Maisha yake.

    Nimejaribu kufanya tafiti kuhusu Maisha ya binadamu nikagundua binadamu anaishi muda mchache sana MFANO 1. Mtoto wa miaka kumi (10) atakuwa - Ameish siku 3650 tu. -Masaa 87600 - dk 5,2560,0000 2. Kijana wa miaka 25 -Ameishi siku 9125 - Masaa 219000 - Dk 13140000 3. Mtu mzima wa miaka 50 -...
  10. Emar

    Tusifarijike Waafrika hatupati Corona bali tumshukuru Mungu

    Katika hypothesis yangu nimejaribu kukusanya Dots jinsi Sayansi inavyosema na Nadharia ya kiimani . Naweza Sema hata kama huamini Mungu sasa anza kuamini. Ni jambo lisilowezekana kisayansi kusema kuna magonjwa ya watu wa Asia, Africa na Europe. Hakuna sayansi inayosema hivyo na sizani kama...
  11. Emar

    Hichi ni nini tunachokifanya dhidi ya Tanzania

    Habari , Kwanza kabisa naomba nisikitike kidogo kwa yanayoendelea, pili nisikitikie watoto na kinamama na baadhi ya makundi maalumu. Katika harakati hapa na hapa nilishawai tembelea nchi zilizokumbwa na machafuko ya kisiasa na vita nikajionea hili linanifanya nisikitike tena. Vifo, njaa...
  12. Emar

    Tutakimbilia wapi yakitukuta?

    Habari, Kwanza kabisa naomba nisikitike kidogo kwa yanayoendelea, pili nisikitikie watoto na kinamama na baadhi ya makundi maalumu. Katika harakati hapa na hapa nilishawahi tembelea nchi zilizokumbwa na machafuko ya kisiasa na vita nikajionea hili linanifanya nisikitike tena. Vifo, njaa...
  13. Emar

    Tujiulize nani atatufikisha nchi ya ahadi (Kanani)

    Hali zenu, Poleni na majukumu na uchovu wa siku nzima. Kiukweli nimejaribu kuangalia muelekeo wa nchi yet si mbaya wala si mzuri UCHUMI: Naweza sema uchumi wa mtu mmoja mmoja unadorora ila NCHI sio mbaya kutokana na miradi mbalimbali ya maendeleo KISIASA: Naweza sema hali ni mbaya ELIMU...
  14. Emar

    Nampenda huyu dada ila wazazi wamemkataa kisa mnyakyusa

    Heri ya mwaka mpya. Naamini kila mtu anaendelea vyema katika kulijenga taifa, Mimi ni kijana msomi ila najishughulisha na biashara tu binafsi, bado sijaoa. Nimekuwa kwenye mahusiano kadhaa ila kila nikifurukuta nakutana na wanyakyusa.Nimejaribu kuwagusia wazazi wamenikatalia katakata kuwa na...
  15. Emar

    Vijana tunayumba sana

    Salute, Naomba nianze kwa kunukuu na kunukuu baadhi ya mistari kwenye vitabu vya dini "Mwanume utakula kwa jasho" "Ewe mvivu mwendee chungu" " Asiye fanya kazi na asile" "Hapa kazi tu" Okay tuendelee, jana mida fulani hivi katika harakati za mjini hapa na pale nikajikuta nimedondokea maeneo ya...
  16. Emar

    Tupia chochote ulichokifanya leo

    Wakuu nawasalimia sana, Uzi huu ni endelevu kwa ajili ya kuambiana chochote kilichokutokea leo. Mfano: 1. Umepata mchumba au umekutana na mtoto mzuri 2. Umeibiwa 3. Kuna tukio lolote mtaani kwenu 4. Birthday party na invitation ya harusi 5. Umepata kazi 6. Unaumwa 7. Una furaha 8. Umeshinda...
  17. Emar

    Unataka kuwa Mbowe unajiweza

    Mbowe is among of best leader in Tanzania It's best na mimi natamka wazi , Mm siyo CHADEMA, nasifikirii kujiunga nao Ila hili naliona kwa sababu kuu tatu 1.Hayumbishwi: hii naiyona wazi baada ya kuondoka Kwa nguli na vigogo wa chadema mfano zitto, lowasa, slaa n.k tulitegemea chama kingeyumba...
  18. Emar

    Unataka ndoa au hutaki? ?

    Habari wanajukwaa , Hongereni kwa kuendelea kulijenga taifa. kuna kijitabia kimejijenga especially kwa wa ubavu wetu, (wadada) Nasema Wadada kwasababu ndo sana. Unakuta mdada anampost either rafiki au kaka yake, whatever kwa lengo la either kumuwish birthday au graduation . Ila sifa anazompa...
  19. Emar

    Maisha hayana maana!

    Habari wanajukwaa, Naamini mnaendelea vyema katika kujenga nchii. Nimekaa nikafikiri kwa kina nikaona nitoe uzi huu. -Nilipokuwa mdogo mama aliniambia mwanangu soma kwa bidii uwe (....) hapo utaishi maisha mazuri, sasa nimemaliza kusoma sijawai ona hayo maisha mazuri. - kuna watu wamesoma...
  20. Emar

    Waarabu koko wa bongo

    Habari wana jukwaa, Kwanza kabisa ningependa kutoa shukrani zangu za dhati kwa timu yetu ya taifa kwa kipigo kizito walichotoa jana. Nahisi Guinea hawatasahau ukizingatia goli la mwamba wa Azam S.boy katika dakika za mwisho lilikuwa na raha yake bwana au sio, goli la dakika za mwisho tamu...
Back
Top Bottom