Search results

  1. Emar

    Wazazi kuweni makini na watoto/vijana wadogo kutembea Usiku mitaa ya Sinza na Kinondoni

    Uyu professor ushuzi anaandika nyuzi aftatu zote uongo
  2. Emar

    Asilimia 80-90 Kuhusu Member wa JF

    Vijana wake 70 ni Kataa ndoa, wakati wameoa na mitoto mitatu mitatu. Wote ni mabingwa na mafundi wa kuchakata mbusususu. 90%hawamkubali bashite Wote Wana connection na michongo ya maana -Rais wao ni Mshana Jr jamaa anakubalika sana Wote et hawamkubali Lucas mwashambwa , Mtu anayefuatiliwa...
  3. Emar

    Je, Wanawake mnaweza Kweli kusahau Wapenzi wenu wa Zamani?

    Kweli kweli dah, asieee pia asije kuwa kaleft group
  4. Emar

    Tukuyu, Rungwe Mbeya wilaya ya kipekee sijaona Tanzania

    Hivi kule kilimanjaro marangu upajua kweli
  5. Emar

    Je, Wanawake mnaweza Kweli kusahau Wapenzi wenu wa Zamani?

    Mzee unaogopesha,ila ndoa ni jambo jema
  6. Emar

    Je, Wanawake mnaweza Kweli kusahau Wapenzi wenu wa Zamani?

    Mm baba watoto wako,nakiri ulikuwa mtamu sana,Sema ulikuwa na kiburi
  7. Emar

    Ushauri: Rafiki yangu katelekezewa watoto mlangoni

    Apeleke watoto KWA wazazi wake kama wazazi wanaeleweka, awawekee mdada wa kaz I awahudumie ,avunje aina zote za mawasiliano, aende ustawi aeleze apewe haki ya malezi, Maana wanawake ni wachawi sana,usikute anapima upepo aongezewe hela
  8. Emar

    Ushauri: Rafiki yangu katelekezewa watoto mlangoni

    Ndivyo wanaume tunapaswa kuwa
  9. Emar

    Kijana kubali ndoa, Wanaokataa ndoa wengi ni loosers na kuna walakini katika Uanaume wao

    Narudia tena wanao wanahasara, Wewe unahisi pesa ndo malezi🙄🙄 Kazi kweli kweli kumpata baba wa ovyo kama ww
  10. Emar

    Kijana kubali ndoa, Wanaokataa ndoa wengi ni loosers na kuna walakini katika Uanaume wao

    Malez Malezi siyo degree ,master au doctorate, malezi ni mchakato unaratibiwa na watu wawili wenye jinsia tofauti kudeliver kila mtu kutokana jinsia yao kwenda kwa zao lao(watoto), Malezi pesa,gari, nguo nzuri,chakula etc unajua why wazungu wanakila kitu lakini malezi ni zero,mtoto wa miaka...
  11. Emar

    Kijana kubali ndoa, Wanaokataa ndoa wengi ni loosers na kuna walakini katika Uanaume wao

    Sasa ukimkuta kyoto shoga,fisadi, mla madawa usiulize sababu umeona sasa
  12. Emar

    Kijana kubali ndoa, Wanaokataa ndoa wengi ni loosers na kuna walakini katika Uanaume wao

    Nawaonea huruma sana wanao kwa Kupata baba mwenye mindset za hv,sizani kama baba yako.angekuwa kama Wewe ungefika ulipofika
  13. Emar

    Kijana kubali ndoa, Wanaokataa ndoa wengi ni loosers na kuna walakini katika Uanaume wao

    Mkuu nani kakwambia mm nimeona sijaoa,ila nasupport Mfumo wa maisha . Na kwa appearance ,nina appearance ya Kati ya wanawake 10.,sita hawachomoi nikiwa seriously ilà wengine wananitongoza wao. Sijisifu nasifu ukuu wa Mungu wa kunipa muonekano wa kishababi, Hivyo lazima nioe mke kutoka kwa...
Back
Top Bottom