Search results

  1. D

    Mkuu wa Mkoa wa Pwani SIMUELEWI

    Mkuu wa mkoa wa pwani amefunga shule ya Bagamoyo sekondari kwa muda wa takribani miezi miwili kwasababu ya tofauti za kidini kati ya wanafunzi ambapo wanafunzi waislam walidai shule inawapendelea wanafunzi wakristu. sasa mpaka muda huu shule haijafunguliwa na wanafunzi wa form six ambao...
  2. D

    Mkuu wa Mkoa wa Pwani SIMUELEWI

    hivi mkuu wa mkoa wa pwani Bi. Mwantumu Mahiza anawaza nini kichwani kwake? kufunga shule ya wanafunzi ambao wanatarajia kufanya mitihani ya mwisho mwezi wa pili mwaka huu maana yake nini, tena mpaka leo shule haijulikani inafunguliwa lini! watoto wanaosoma mchepuo wa science wako nyumbani...
  3. D

    Ajira JWTZ

    sijapenda jinsi watu mlivyo na maelekezo yasio na kichwa wala mguu..et akimbie mpaka kunduchi..unaumwa nini... fuatilia makao makuu ya jeshi kujua lini kuna nafasi na kama una profession yako tayari maisha rahisi...
  4. D

    University of bagamoyo vacancies..

    kwa style hii lazima tusonge mbele...i real love this!!!
  5. D

    Nauliza mahali zilipo ofisi za Social Security Regulatory Authority hapa Dar es Salaam

    kweli kabisa..ni risky kupeleka by hand..much less reception...:sad:
Back
Top Bottom