Search results

  1. Ticha

    UKAWA wanalijua hili?

    Tarehe 26 mwezi huu wa nne,sherehe za Muungano,Lazima habari za muungano zitarushwa kwa wananchi,kuwaambia swala la serikali tatu au mbili,Tarehe 27 zitatolewa katika media yaani magazeti,redio mitandaoni na watu watasoma. UKAWA wameruhusiwa kuitisha mkutano huko zanzibar tarehe 30 mwezi wa...
  2. Ticha

    Tukicheza fulsa hii ya Kikwete tutaikumbuka milele!

    Naona ndoto za kupata katiba mpya kwa sasa ni ngumu.Hebu jiulize maswali haya. 1 Kama theruthi mbili haitapatikana hasa Zanzibar itakuwaje? 2 CUF ndo kizingiti zanzibar dhidi ya selikari 2 hiyo theruthi haitapatikana je wanaweza kulegeza kamba ili tukubaliane kutokubaliana? 3 Kama katiba...
  3. Ticha

    Waliotaka kura ya siri bungeni

    Mjadara wa kura ya siri bungeni ulileta msuguano sana bungeni.Watu wengi ilionesha wanahitaji kura ya siri,hasa vyama ya upinzani wakiongozwa na kiboko yao CHADEMA. Lakini hebu angalia upigaji huo ulipofika kuwa kila mtu apike anavyotaka yaani siri au wazi,waliopiga siri hawafiki hata themanini...
  4. Ticha

    Soma hotuba ya warioba inasemaje kuhusu muungano

    Kuna watu wanachangia kuhusu hotuba ya mh kikwete hasa kuhusu watu wanaotaka serikali tatu,kuwa ni watu kidogo sana,ni asilimia 61 ya wale waliozungumzia muungano ambao ni watu 27000,na waliotoa maoni ni laki 39000 ya YA WATANZANIA.NA 27000 WALIOTAKA SERIKALI 3 NI 61%YA WATU 27000,.JE WATANZANIA...
  5. Ticha

    Nafasi za masomo pitia yaweza kuwa mhimu kwako ama jamaa zako

    Tafadhari waliosoma science na kupata alama hizo watasoma miezi 3 masomo yake mawili ya sayansi na kufanya mtihani akifaulu anajiunga na diploma ya ualimu mwezi wa saba mwaka 2014.
  6. Ticha

    Selection ya form one ya 2014 ya serikali bado?

    Wanafunzi kujiunga na form one bado?Kama kuna taarifa zinazohusiana naomba
  7. Ticha

    Chadema jijini mbeya inaelekea wapi?

    Chama cha CHADEMA JIJINI Mbeya kinapoteza umaarufu kila kuchako.Hiyo ni taarifa tu.Acheni malumbano, kama mnatetea maslahi ya wananchi.Sugu yuko hoi inawezekana akawa hajijui, au anajua.Mlijijenga vizuri ila hamfanyi ukarabati wa Wanachama.CCM WANAJENGA UKUTA WAO MTASHINDWA KUUBOMOA.HEBU...
  8. Ticha

    Chadema jijini mbeya inaelekea wapi

    Ziara ya Komred na Nape JIJINI mbeya,HAPO NI MWANJELWA.CHADEMA hiyo ni kawaida?Amkeni mtasema mengi ila hali hapa jijini si nzuri.
  9. Ticha

    Hotuba ya kaunda ililenga nini hasa?

    Sijaielewa hotuba ya MZEE KAUNDA naomba wenzangu nifafanulieni.
  10. Ticha

    Urais mwaka 2015

    Hivi kama CCM wataangukia pua na CHADEMA wakashika hatamu na viongozi wake wakawa hawahawa wa sasa.Wataalamu naomba mnipangie baraza la mawaziri.Rais si anajulikana haya edelea,ukimaliza hebu tathimini utendaji wake.
  11. Ticha

    Jamani naomba msaada

    Nimesikia mara nyingi kuna mikoa hapa Tanzania imeongezeka.Hivi sasa Tanzania ina mikoa Mingapi naomba msaada huo.Ingependeza mngenisaidia Ramani mpya ya Tanzania.
  12. Ticha

    Tusishabikie sana jamani,nchi imekwama hii.

    :loco:Nchi haiendi hii ndugu zangu tutaaibika,wasomi tunao,wanasiasa tunao ,viongozi tunao.Tutulie tuangalia namna ya kuiokoa nchi hii hatujachelewa.Tunapoteza muda mwingi kupiga kelele,najua wote hali ya nchi tunaiona ndio maana tunapiga kelele kila kukicha.Sasa hizi nguvu tujipange kuiokoa...
  13. Ticha

    Tamisemi mnataka nini kuhusu swala la uhamisho wa watumishi

    Serikali imeanzisha utaratibu mpya wa kuhamisha watumishi wake kupitia TAMISEMI utaratibu huu ni mgumu sana kwa mtumishi kuutekeleza kwa wakati.hususani walimu. 1.Unaomba kibali kule inakofanyia kazi,upitishe kwa mwalimu mkuu,afisa elimu wilaya na kwa mkurugenzi. 2.unapeleka barua hiyo kule...
  14. Ticha

    msaaba jamani

    Naomba kama kuna mtu anataarifa za Waliochaguliwa kujiunga na masters katika vyuo vifuatavyo kama bado basi yatatoka lini? 1 UDSM 2 OUT 3 MZUMBE 4 UDOM
  15. Ticha

    encater

    nahitaji encater kwa ajiri ya materials ya kusoma mambo mbalimbali, kudaunload nimeshindwa,naomba mnisaidie
  16. Ticha

    encater

    nahitaji encater kwa ajiri ya materials ya kusoma mambo mbalimbali, kudaunload nimeshindwa,naomba mnisaidie
  17. Ticha

    Kila la kheri kwa wanaofanya mtihani wa taifa wa diploma ya ualimu

    Wanachuo wote wa Diploma ya Ualimu wanatarajia kuanza mitihani yao ya mwisho jumatatu hii.Tunawatakia kila la kheri wote waweze kufauru vizuri ili waweze kuajiriwa. Tukumbuke wanachuo hawa wote wamesoma mwaka mmoja chuoni na mwaka wa pili wamefanya mafunzo hayo ya kufundisha kwa miezi sita, kwa...
  18. Ticha

    Awekwe wapi kiongozi huyu?

    Katika serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais ni JK Makamu wake ni Dkt Shain Namalizia na Mtoto wa Mkulima kama Waziri Mkuu. Naomba uiendeleze safu yetu hiyo hadi kufikia Mwenyekiti wa serikali yako ya mtaa kama unamfahamu. Na ni serikali ya Muungano wa Nchi mbili. JE RAISI WA...
  19. Ticha

    Mzee ngurumo yuko wapi?

    Ni muda mrefu sasa sijasikia kazi mpya za OTTU,Wako wapi? au wamefulia?
  20. Ticha

    Mgomo wa wafanyakazi

    Naomba tuwe na mshikamano katika hili kwani wafanyakazi wengi hasa walimu wana mafao finyu sana wengine hata malimbikizo yao hawajapata.
Back
Top Bottom